Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Bila ya kuwa na ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania si chochote Duniani..

Hata kama mnaringia hizo rasilimali,mkitengwa hizo rasilimali mtamuuzia Nani?
Na bado,
Hata wakiingizwa tu kingi kama Kongo,Somalia,Sudani kusini, rasilimali zinachotwa bureeeeeeeeeeee.....kwa mabomu na mtutu........huku mmeikimbia nchi kabisa.
Huyo dikteta keshawaingiza kingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni wakati upi wewe umewahi kuwapenda viongozi wa CCM?

Eti hapendwi na wengi, hao wengi ndio Waliopuuza maandamano ya huyo anayependwa na wengi siyo?
Kwanza huwezi wapenda viongozi wote kwa wakati mmoja, iwe ni viongozi wa ccm au upinzani. Ila kiongozi wa juu kabisa (Rais) hutazamwa zaidi. Jiwe alikuwa na nafasi ya kuwa Rais bora kabisa ila ubabe na ushamba +Bashite vimemwaribia sana. Jk alichukiwa sana lakini not to that extent na katika utawala wake hakuwahi kuombewa mabaya au mauti.
 
Bado mnajifariji tu hata baada ya kipigo na chama lenu kusambaratika?
Mmeshaigizwa boksi nyie,huyo nguli jiwe wenyu keshawaponza kwa hasira na kiburi alonalo......mabeberu tutawalamba raslimali hadi basi, ni heri mgebakia tu na utii wa sheria za chaguzi, haki na amani.....ngoja tuje kuwakomboa upinzani na raia wanaonyanyaswa...mtatamani hamgekua na rasilimali hizo zote.
kalb hayawam.
 
Naona mmeanzisha uzi wa kujifariji! Hivi TL wenu si yupo ubelgiji kaunganeni nae huko sisi ni Nchi huru!.Hivi kwa akili zenu mnategemea hao mabeberu wenu watawasaidia? ,kutokuudhuria kwao si kitu kwetu!.Haizui sisi kuendelea na mambo yetu!.
Mnajitia jeuri, soon mtanyoosha maelezo tu.!!!
 
Kwanza huwezi wapenda viongozi wote kwa wakati mmoja, iwe ni viongozi wa ccm au upinzani. Ila kiongozi wa juu kabisa (Rais) hutazamwa zaidi. Jiwe alikuwa na nafasi ya kuwa Rais bora kabisa ila ubabe na ushamba +Bashite vimemwaribia sana. Jk alichukiwa sana lakini not to that extent na katika utawala wake hakuwahi kuombewa mabaya au mauti.
Vuta kumbukumbu sawasawa
 
Hamna namna nikunyooshwa mrejee kwenye njia ya demokrasia, inapendeza Marekani sasa ilivyo chini ya Democrat Biden, hizo miradi za sgr sijui stiegler na mengineyo ndio keshakauka hivyo labda ziwe mali ya wachina huku mkila kipodo cha mbwa mwitu kwasababu ya mtu mmoja mjeuri.
 
hata mie nikiwa na wife nacheki tv nili note hiyo(kutokuwepo kwa mabalozi wengi hasa kutoka Ulaya), lazima kuna tatizo...japo watawala & vibaraka wao watajimwambafy!.

mabalozi wengi waliohudhuria walikuwa kutoka nchi wenzetu za kiafrika na uarabuni.
 
Tulishagundua janja yao so hatuwahitaji kwa janja janja ila tunawahitaji kwa maendeleo ya pande zote kwa usawa.
 
Hamna namna nikunyooshwa mrejee kwenye njia ya demokrasia, inapendeza Marekani sasa ilivyo chini ya Democrat Biden, hizo miradi za sgr sijui stiegler na mengineyo ndio keshakauka hivyo labda ziwe mali ya wachina huku mkila kipodo cha mbwa mwitu kwasababu ya mtu mmoja mjeuri.
Democratic hawanaga masikhara walitakaga hadi kumpiga sanctions Saudi Arabia kwa mauaji ya Jamal Kashoghi pamoja na Saudia kuwa mnunuzi mkuu wa silaha kutoka Marekani. Yaaani Democrat wameingia madarakani kipindi kizuri sana.
 
Tumeshafikia uchumi wa kati, na wale wapinzani waliokua wanarudisha nyuma maendeleo ya Tanzania wote wamefukuzwa Bungeni, tutegemee maendeleo makubwa zaidi, na Arusha kuizidi Califonia ndani ya miaka miwili, after all hata hao wazungu wakiweka vikwazo bado tuna marafiki zetu hasa Burundi, Zimbabwe na Uganda, CCM hoyeeeee, ushindi asilimia 99.9 sisi ni donor country
 
Kwanza huwezi wapenda viongozi wote kwa wakati mmoja, iwe ni viongozi wa ccm au upinzani. Ila kiongozi wa juu kabisa (Rais) hutazamwa zaidi. Jiwe alikuwa na nafasi ya kuwa Rais bora kabisa ila ubabe na ushamba +Bashite vimemwaribia sana. Jk alichukiwa sana lakini not to that extent na katika utawala wake hakuwahi kuombewa mabaya au mauti.
Wewe ukimuombea ndio inakuwaje?

Mungu siyo amsterdam
 
Tumeshafikia uchumi wa kati, na wale wapinzani waliokua wanarudisha nyuma maendeleo ya Tanzania wote wamefukuzwa Bungeni, tutegemee maendeleo makubwa zaidi, na Arusha kuizidi Califonia ndani ya miaka miwili, after all hata hao wazungu wakiweka vikwazo bado tuna marafiki zetu hasa Burundi, Zimbabwe na Uganda, CCM hoyeeeee, ushindi asilimia 99.9 sisi ni donor country
😂😂😂😂
 
Mmeshaigizwa boksi nyie,huyo nguli jiwe wenyu keshawaponza kwa hasira na kiburi alonalo......mabeberu tutawalamba raslimali hadi basi, ni heri mgebakia tu na utii wa sheria za chaguzi, haki na amani.....ngoja tuje kuwakomboa upinzani na raia wanaonyanyaswa...mtatamani hamgekua na rasilimali hizo zote.
kalb hayawam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una hasira sana!

Mwambie mbelgiji wako ajipange kwa 2025
 
Back
Top Bottom