ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Kelele za mlango hazitatunyima usingizi...Tupo huru kama wao! Wao wana yao nasi tuna yetu! Na kila nchi itajijengea mustakabali wake wa aina ya maisha wayatakayo bila shinikizo licha ya kiherehere cha vizabizabina na mamluki wasiojiamini na kujiona kuwa hawajakamilika bila ya misaada ama hadi washikwe makalio na wadhungu!UNAJITUTUMUA UKWELI UNAUJUA.KAHARIBU SANA
Sasa kwenye awamu hii ndo mtajua mzungu ni naniHivi, mzungu ndiyo nani. Sawa hawakuonekana wapo wamamtongoza TRUMP achie kiti maana 20 January 2021 nikaribu asije aibisha duniani. So after all kwetu uchaguzi umekwisha tunafikiri namna ya kupata wawekezaji wa HELIUM, our dream to be a DONA KANTRI sasa inakaribia kutimia.
😄😄😄Atalipwa kadili ya matendo yake, vyeti feki mpaka Rais feki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz mnavituko sana
Nchi zipi zimetoa hiyo pesa ya ufadhili tuambie wewe mfatiliaji?Ni pesa ya wafadhili. Uwe unafuatilia
Kama unaelewa kingereza soma link hapo....Nchi zipi zimetoa hiyo pesa ya ufadhili tuambie wewe mfatiliaji?
Sasa tulia uone kama kelele hazitakunyima au zitakunyima usingiziKelele za mlango hazitatunyima usingizi...Tupo huru kama wao! Wao wana yao nasi tuna yetu! Na kila nchi itajijengea mustakabali wake wa aina ya maisha wayatakayo bila shinikizo licha ya kiherehere cha vizabizabina na mamluki wasiojiamini na kujiona kuwa hawajakamilika bila ya misaada ama hadi washikwe makalio na wadhungu!
Ccm wamejaa matahira ndugu. Waonee huruma tuKama unaelewa kingereza soma link hapo....
Benki ya Dunia imetoa ela za REA - TZ-Rural Electrification Expansion Program
Norway, Swden na Jumuiya ya Ulaya pia imetoa ela ya REA - JOINT PRESS STATEMENT - NORWAY, SWEDEN AND EU FOR REDP 2A
Uwe unasoma mambp si kubisha tu kwa ajili kuubishana
Tatizo hawataki kueleeeshwa piaCcm wamejaa matahira ndugu. Waonee huruma tu
Mie nilivyoona kuwa hajui kuwa Mradi wa umeme vijijini ni ufadhili wa hao anaowaita mabeberu nikaona niachane nae ni mpuuzi tu.Tatizo hawataki kueleeeshwa pia
Nasubiri kuona atajibu utumbo gani...Mie nilivyoona kuwa hajui kuwa Mradi wa umeme vijijini ni ufadhili wa hao anaowaita mabeberu nikaona niachane nae ni mpuuzi tu.
Mnageuka kuwa manabii wa majanga.Nani anajikomba kwa wazungu?? Kwani nyie mnawategemea kina nani?
Kunyenyekea kwa Mungu kwa kuua watu na kuiba uchaguzi?Mnageuka kuwa manabii wa majanga.
Rais Magufuli hawezi kushindwa kwa hizi ramli zenu, anaelewa umuhimu wa kunyenyekea kwa Mungu.
Ameona aibu. Shule za kata na kushinda Lumumba kumefifisha sana akili zao.Nasubiri kuona atajibu utumbo gani...
Huwezi kuweka ushahidi mbele ya watu hivyo hizo ni siasa za kujifariji mitandaoni.Kunyenyekea kwa Mungu kwa kuua watu na kuiba uchaguzi?
Sasa ndo mtajua kuwa tunajifariji au laHuwezi kuweka ushahidi mbele ya watu hivyo hizo ni siasa za kujifariji mitandaoni.
Mkuu hao mawaziri walioteuliwa ni akina nani