Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kelele za mlango hazitatunyima usingizi...Tupo huru kama wao! Wao wana yao nasi tuna yetu! Na kila nchi itajijengea mustakabali wake wa aina ya maisha wayatakayo bila shinikizo licha ya kiherehere cha vizabizabina na mamluki wasiojiamini na kujiona kuwa hawajakamilika bila ya misaada ama hadi washikwe makalio na wadhungu!UNAJITUTUMUA UKWELI UNAUJUA.KAHARIBU SANA
 
Hivi, mzungu ndiyo nani. Sawa hawakuonekana wapo wamamtongoza TRUMP achie kiti maana 20 January 2021 nikaribu asije aibisha duniani. So after all kwetu uchaguzi umekwisha tunafikiri namna ya kupata wawekezaji wa HELIUM, our dream to be a DONA KANTRI sasa inakaribia kutimia.
Sasa kwenye awamu hii ndo mtajua mzungu ni nani
 
Kelele za mlango hazitatunyima usingizi...Tupo huru kama wao! Wao wana yao nasi tuna yetu! Na kila nchi itajijengea mustakabali wake wa aina ya maisha wayatakayo bila shinikizo licha ya kiherehere cha vizabizabina na mamluki wasiojiamini na kujiona kuwa hawajakamilika bila ya misaada ama hadi washikwe makalio na wadhungu!
Sasa tulia uone kama kelele hazitakunyima au zitakunyima usingizi
 
Aliwadanganya " msiwe na wasiwasi uchaguzi utakuwa huru na wa haki"
Wamemjua ni muongo sasa yanini kujihusisha na muongo?!

Ni bora kumuacha afie mbali.
 
Back
Top Bottom