KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
"Kutongoza"?Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!
Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Wewe ni dada tunakujua,uko na mbele plus nyuma,wahi kwa jobu kuna nafasi yako moja.Mimi naweza kukuoa na kulisha ukoo wako wote
Nakumbuka ulisema Lisu lazime awe raisi, vipi amekuwa raisi?Kuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Ujambazi unapitia hatua zifuatazo:CCM hawata liona hilo. Maana ni vipofu, viziwi ila wamejaliwa mdomo wa kuongea na ubongo wa mende. Kuna siku watashtuka lakini itakuwa too late.
Wahutu mnatuponza sasa dah..hakuna visa tena za kwenda UlayaKwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......
Chadema mnaumiza vichwa kila dakika ilimradi tu mjifalijiNi swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Jamaa wana mawazo ya kijinga Sana sijapata kuonaaaKwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......
Hahahahahha kweli kabisaaNakumbuka ulisema Lisu lazime awe raisi, vipi amekuwa raisi?
Nakumba ulisema maandamano lazima yatokee, vipi yametokea?
Sasa hivi unasema kunakitu unahisi kinakuja, ndugu yangu utahisi sana na pole sana kwa kuhisi.
Nakushauri ukimaliza Popcorn, agizia mahindi ya kukoboa kula yakiisha agizia na pumba za mahindi kula shushia na maji ya bariiiiiiiidi.
Ila tundu lissu aweza kutongozaa[emoji3][emoji3][emoji3]"Kutongoza"?
Nani anajua kutongoza. Jiwe mwenyewe angejua kutongoza asingevuruga uchaguzi. Hajui kabisa kutongoza. Yeye ni kuvamia tu!
Na huyo aliyeteuliwa uwaziri wa 'kutongoza', sura yake pekee, hasa ile mijicho na mdomo unaotoa mate, pamoja na kujua kujinyenyekesha akiwa mbele ya hao wakubwa, hana ushawishi wa kuweza kumtongoza yeyote.
Kwani nani aliyeshinda kweli uchaguzi wa mwaka huu???Nakumbuka ulisema Lisu lazime awe raisi, vipi amekuwa raisi?
Nakumba ulisema maandamano lazima yatokee, vipi yametokea?
Sasa hivi unasema kunakitu unahisi kinakuja, ndugu yangu utahisi sana na pole sana kwa kuhisi.
Nakushauri ukimaliza Popcorn, agizia mahindi ya kukoboa kula yakiisha agizia na pumba za mahindi kula shushia na maji ya bariiiiiiiidi.
Si sheria in fact...Je ni mazoea ama ni Sheria imeelekeza lazima wawepo.
Ulitaka tuwe coroni la USaBalozi wa China alikuwepo?
Basi huyo anatosha, kwa maana tumejisalimisha kuwa koloni la wachina.
Lissu atashinda ,sawa bavichaNakuonea huruma sana. Unasema humuogopi Amsterdam wakati huyo bwana wako Magufuli aliposikia tu Amsterdam kawasilisha maombi ICC alfajili akashtuka na kuteua waziri wa mambo ya nje akajaribu kuzima upepo [emoji23][emoji23]
Unajiona una akili kumbe ni mjinga tu, hizo rasilimali za Africa mnayo teknolojia ya kuzichimba peke yenu??? Alafu mtaziuza wapi ili koste hela za kujiendesha??? Huna akili kabisa
Haaaahaaa mimi ni mfuasi wako lazima nisome post au comments zako zinanikoshaga roho sana ////jiwe amevuruga nchiMungu wabariki Wazungu
Sio kosa lako, huenda ni upunguani wa akili ndio unakusumbua tu.Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
π€£ π€£ π€£Donor Country!!πππ ππππ