Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hilo beberu lenu amsterdam na shoga hawawezi kuitisha Tanzania. Kama nawe muoga Kama Lema nenda ukimbizini Kenya.CCM hawata liona hilo. Maana ni vipofu, viziwi ila wamejaliwa mdomo wa kuongea na ubongo wa mende. Kuna siku watashtuka lakini itakuwa too late.
Hv walifuata nini hao Mabalozi siku alipoapishwa Rais?Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!
Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Wewe ndio punguani, Misaada yoyote inayoondoa utu na heshima ni upumbavu na ujinga!Yaelekea elimu na mwamko wako mdogo. Morocco na Misri zinazoipa misaada Tanzania, zo zenyewe zategemea misaada ya nchi zilizoendelea. Leo ukisema Tanzania haihitaji misaada…...nadhani unasikiliza mno hotuba za CCM. Punguza.
For y'all prophets of doom stop morbid speculations, it won't do you good.Kuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Hakuna sifa ya Mtanzania anayokubali mgombea ashinde kwa kura feki. Yaani wananchi wapige kura then zisihesabiwe na wahesabu kura feki alafu useme huyo asiyekubali hilo hana sifa ya utanzania?Mkuu,
Wewe ndio ulitakiwa kueleza ni kwanini hawakuhudhuria ufunguzi wa bunge la 12 sio kuanza kuuliza kinafiki watu wengine.
Vitisho vya kushitaki Mahakama ya ICC acha afanye wajibu wake ila aibu itakayompata hata kuzimu watakataa kumpokea huyo mfanyabiashara ya utetezi wa kutunga.
Iwapo wewe unaishi katika ardhi ya Tanzania kwa sasa, kwa mada yako hii basi umeshapoteza sifa ya Utanzania hata wa kununua!!!
Kuua watu na kupora uchaguzi ndo kujiamulia mambo yenu??Wewe ndio punguani, Misaada yoyote inayoondoa utu na heshima ni upumbavu na ujinga!
Tupoteze Uhuru wetu kisa ni msaada, Tushindwe kujiamlia mambo yetu kisa ni msaada,
Sikatai wewe kuwa miongoni mwa wajinga Kwa vile Dunia ndivyo ilivyo
Hakuna sifa ya Mtanzania anayokubali mgombea ashinde kwa kura feki. Yaani wananchi wapige kura then zisihesabiwe na wahesabu kura feki alafu useme huo asiyekubali hilo hana sifa ya utanzania?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848], Nyinyi vilaza ndiyo mnawapa kichwa hao watawala wenu.
Ndiyo huyo huyo aliyesema million 50 kwa kila kijiji acha na ile kauli ya tunajenga kwa fedha zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Baada ya muda akasema kwani mkopo pia ni fedha yetu kwani tutailipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mh.Rais kasema Uchaguzi ulikuwa wa amani na utulivu,sasa wasi wasi wa nini kwa hawa jamaa kutohudhuria?
Walaaniwe TISS na Mhutu wao!Huyu babu ametuharibia nchi kabisa
Hai mabeberu wanakulisha na kukusaidia Nini kwa kiasi kikubwa Sana ambacho huwezi kujitafutia? Halafu naona umeandika wanawalisha ina maana wewe na familia yenu au chadema ndo maana Lissu kaona ahamie hukohuko au wewe na Nani?Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Marekani Ile juzi mapolice waliiwauwa watu weusi lile tukio ilikuwa Ibada siyo?Kuua watu na kupora uchaguzi ndo kujiamulia mambo yenu??
Mbona mwinyi alikuwepo!Stay tuned, kwani Dr. Mwinyi alikuepo? Yanapigwa furushi la vikwazo si mda
Hizi ni zama za information technology,ingia Google tafauta.habari usizibaeUna uhakika na unacho kisema?
Mleta mada nilikuonya kwamba baada ya uchaguzi utaishi kwa stress sana.Kwa hiyo watanzania tujiandae kuwa kama Zimbabwe muda si mrefu?
Yaaani inaoneka hadi South Korea na Japan wanataka kumwambia akale huko China alikopeleka mboga. kweli hali si hali!
Wewe umeanzisha ipi yenye kichwa miguu na kiwiliwiliWao si makamanda wanakimbiaje sasa! Mlihamasisha maandamano yakashindikana ,mnakuja humu kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu!
Chadema ndo vilaza walidhani Tanzania itasimama bila mwenye saccos kuwa waziri mkuu ndani ya saa72?CCM vilaza sana , wanadhani dunia itasimama bila Tanzania
Hilo lipo wazi,je kwamba inafanya biashara Us na Europe kuliko Africa unazo takwimu?Hizi ni zama za information technology,ingia Google tafauta.habari usizibae
China ina hisa nyinyi tu Katika Benki za Marekani na biashara nyengine nyinyi
Umemsikia Gwajiboy lkn leo? Vision ya Presidaa ni moto wa kuotea mbali,mabeberu lazima wachanganyikiwe.