Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Umewaza kitumwa Sana, yaani Taifa huru kama Tanzania liishi kwa kumuogopa boya mmoja anayeitwa Robert Amsterdam? Hivi anagalau unauelewa japo mdogo tu wa Case zinazoshughulikiwa na ICC na jinsi mashtaka yanavyofunguliwa huko? Au kwa vile umesikia Robert Amsterdam ni Wakili unajua anaweza anafanya kila kitu dhidi ya nchi hii?
Nasikitika kuona vijana wa Africa bado tupo kwenye utumwa wa kifikra wa kunyenyekea watu weupe.
Japo ana mapungufu yake kama Binadamu, lakini amini usiamini kama Africa itapata wakuu wa nchi 10 tu wenye Spirit kama ya JPM, Africa itakuwa imara na itaogopwa kama ile Africa iliyoongozwa na J.K. Nyerere, Kwame, na Haile Selassie.
Unajua Africa ni bara pekee linaweza kujitegemea yenyewe na kuwa na ziada ya bidhaa na huduma ikiwa itaamua kutumia ipasavyo rasilimali zinazopatikana kwa manufaa ya Africa yote?
Emancipate yourself from mental slavery, non but ourselves can free our mind~Bob Marley
 
Sasa ndo mtajua kuwa tunajifariji au la
Hakuna lolote la maana zaidi ya ngonjera zile zile za miaka yote.

Hao wazungu wanaumia baada ya sisi kutumia bilioni 330 pesa ya ndani kwa ajili ya uchaguzi bila ya kuwafuata na kuwabembeleza.

Ukija kua mkubwa ndugu Lord utawajua vizuri sana hao wazungu unaowaona wa maana sana leo hii.
 
Kwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......
Tuna safari ndefu Sana Mkuu, na wenye akili hizi ndiyo wanaamini Africa ni bara giza kama walivyolishwa matango pori kwa propaganda za kimagharibi.
 
Utajifunzaje kujitegemea wakati serikali yako inawategemea na haiwezi kuishi bila wao.
Hayo mawazo ya " rais" wenu Lissu ndo maana nae kaona hawezi kuishi bila wazungu kaamua kujipeleka.
Chadema jifunzeni kujitegemea.
 
Umewaza kitumwa Sana, yaani Taifa huru kama Tanzania liishi kwa kumuogopa boya mmoja anayeitwa Robert Amsterdam? Hivi anagalau unauelewa japo mdogo tu wa Case zinazoshughulikiwa na ICC na jinsi mashtaka yanavyofunguliwa huko? Au kwa vile umesikia Robert Amsterdam ni Wakili unajua anaweza anafanya kila kitu dhidi ya nchi hii?
Nasikitika kuona vijana wa Africa bado tupo kwenye utumwa wa kifikra wa kunyenyekea watu weupe.
Japo ana mapungufu yake kama Binadamu, lakini amini usiamini kama Africa itapata wakuu wa nchi 10 tu wenye Spirit kama ya JPM, Africa itakuwa imara na itaogopwa kama ile Africa iliyoongozwa na J.K. Nyerere, Kwame, na Haile Selassie.
Unajua Africa ni bara pekee linaweza kujitegemea yenyewe na kuwa na ziada ya bidhaa na huduma ikiwa itaamua kutumia ipasavyo rasilimali zinazopatikana kwa manufaa ya Africa yote?
Emancipate yourself from mental slavery, non but ourselves can free our mind~Bob Marley
Nakuonea huruma sana. Unasema humuogopi Amsterdam wakati huyo bwana wako Magufuli aliposikia tu Amsterdam kawasilisha maombi ICC alfajili akashtuka na kuteua waziri wa mambo ya nje akajaribu kuzima upepo 😂😂

Unajiona una akili kumbe ni mjinga tu, hizo rasilimali za Africa mnayo teknolojia ya kuzichimba peke yenu??? Alafu mtaziuza wapi ili koste hela za kujiendesha??? Huna akili kabisa
 
Tuna safari ndefu Sana Mkuu, na wenye akili hizi ndiyo wanaamini Africa ni bara giza kama walivyolishwa matango pori kwa propaganda za kimagharibi.
Kama watu wanaiba uchaguzi na kuua wenzako kisa tu waweze kutawala Kwa nini lisiitwe bara la Giza??!
 
Hakuna lolote la maana zaidi ya ngonjera zile zile za miaka yote.

Hao wazungu wanaumia baada ya sisi kutumia bilioni 330 pesa ya ndani kwa ajili ya uchaguzi bila ya kuwafuata na kuwabembeleza.

Ukija kua mkubwa ndugu Lord utawajua vizuri sana hao wazungu unaowaona wa maana sana leo hii.
Hayo maneno yako ni propaganda za miaka ya 70 ambazo hazifanyi kazi kwenye dunia ya leo. Mzungu akuonee wivu wewe ambae anakujengea hadi vyoo wakati yeye anawaza kwenda kuanzisha maisha sayari ya Mars huko???😂😂😂

Embu kajipange upya
 
IMG_6010.jpg
 
Nakuonea huruma sana. Unasema humuogopi Amsterdam wakati huyo bwana wako Magufuli aliposikia tu Amsterdam kawasilisha maombi ICC alfajili akashtuka na kuteua waziri wa mambo ya nje akajaribu kuzima upepo [emoji23][emoji23]

Unajiona una akili kumbe ni mjinga tu, hizo rasilimali za Africa mnayo teknolojia ya kuzichimba peke yenu??? Alafu mtaziuza wapi ili koste hela za kujiendesha??? Huna akili kabisa
Kutumia lugha za matusi inadhihirisha kuwa huna hoja thabiti dhidi ya allegations unazotoa na inaonyesha upeo wako wa kufikiri ulivyo finyu. Lakini mimi sitakutukana nitakusaidia ili kutoa huo upepo kichwani na uweke utilio, kwakuwa nikikuelimisha nitakuwa nimeliokoa Taifa na Africa kwa ujumla dhidi ya utumwa wa kifikra.
Kwa kuanzia tumia kifurushi chako kuongeza maarifa kwa kupakua (Download) Mkataba wa Roma (Rome Statute) ili angalau uwe na uelewa kuhusu hiyo ICC.
Kukua sio kurefuka miguu tu bali ni kupevuka akili pia
 
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!

Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
nani atanunua madini yetu kama wakitususa? sidhani kama wanaweza
 
"Waache wabweke kwa raha zao lakini wewe kaza mwendo."
Bavicha endeleeni kubweka, nchi inasonga
 
Kutumia lugha za matusi inadhihirisha kuwa huna hoja thabiti dhidi ya allegations unazotoa na inaonyesha upeo wako wa kufikiri ulivyo finyu. Lakini mimi sitakutukana nitakusaidia ili kutoa huo upepo kichwani na uweke utilio, kwakuwa nikikuelimisha nitakuwa nimeliokoa Taifa na Africa kwa ujumla dhidi ya utumwa wa kifikra.
Kwa kuanzia tumia kifurushi chako kuongeza maarifa kwa kupakua (Download) Mkataba wa Roma (Rome Statute) ili angalau uwe na uelewa kuhusu hiyo ICC.
Kukua sio kurefuka miguu tu bali ni kupevuka akili pia
Kama hujui moja ya makosa ambayo mtu anaweza kupelekwa na kushtakiwa ICC ni crime against humanity. Kwa akili yako yaliyofanyika Zanzibar na dhidi ya wapinzani ikiwemo kubambikiwa makesi na kuwekwa ndani bila kusahau kina Rwabaje na Ben Saanane huoni crime against humanity hapo???
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Lissu aliwapa nini mabalozi waliomsindikiza airport kwenda Belgium salama usalimini? Nadhani kuna jambo linakuja
 
Balozi wa China alikuwepo?

Basi huyo anatosha, kwa maana tumejisalimisha kuwa koloni la wachina.
 
Unakipi chashindana na Mzungu au mnalishana ujinga tu! Mzungu alikuwa naakili miaka mingi mpaka kaja kutawala babu zetu niambie mtu mweusi alimtawala Nani...mnalishana matango pori tu!
Sawa mwenzio keshaenda kuhudumiwa huko ubelgiji na wazungu nawe Kama huna akili nenda huko aliko Lissu.
 
Kama hujui moja ya makosa ambayo mtu anaweza kupelekwa na kushtakiwa ICC ni crime against humanity. Kwa akili yako yaliyofanyika Zanzibar na dhidi ya wapinzani ikiwemo kubambikiwa makesi na kuwekwa ndani bila kusahau kina Rwabaje na Ben Saanane huoni crime against humanity hapo???
Unafana na wale wa Baby class ambaye amekaririshwa kuimba A-Z lakini ukimwambia aandike anachokiimba hawezi.
Jifunze kuelewa na sio kukariri
 
Back
Top Bottom