Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #341
Utakuja kutulia siku si nyingi. Tutaelewana tuLissu atashinda ,sawa bavicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuja kutulia siku si nyingi. Tutaelewana tuLissu atashinda ,sawa bavicha
Mafanikio ya Tanzania????😂😂😀😀Aisee....yaani wewe ulidhani hao wangehudhuria?!?! Hizo nchi ndizo imperialists powers ...zote Zina hofu na mafanikio au mwelekeo wa TZ kisiasa, kiuchumi na kijamii...zote zinaiona TZ kuwa ni nchi hatari kwa maslahi yao kiuchumi na kisiasa ...Zina hofu na Tanzania kuwa msimamo wa kiongozi wake mkuu yaani JPM unaweza kuziambukiza nchi nyingine za afrika...kumbuka bara la Afrika ndilo bara tajiri kwa raslimali...nchi za ulaya zimetajirika kwa sababu ya Afrika...kwa hiyo Kama Afrika itajitegemea ni Jambo la hatari mno kwa status quo ya dunia...kwa hiyo Magufuli anaogopwa mno na watafanya Kila wawezalo kuiangamiza Tanzania..
Nimewahi kuwaona salmin Amour ,Karume Jr,SheinNadhani kama sikosei Kanuni za Bunge haziruhusu Rais wa Zanzibar kuhudhuria Bunge la JMT.
Anyway inawezekana siyo level yako kulielewa hili...Mafanikio ya Tanzania????😂😂😀😀
Ya watu kunywa matope badala ya maji safi na msasani, bonde la msimbazi, kinondoni na jangwani kujaa Maji kwa mvua ya masaa 5 ???
Au mafanikio ya watanzania wote kuwa wachuuzi na kujenga vibanda vya machinga barabarani???
Mna nini waafrika hadi muondoke mkiani?Kwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......
Haahahahaha.kumbe.jiwe.alipeleka.mboga.china.etyKwa hiyo watanzania tujiandae kuwa kama Zimbabwe muda si mrefu?
Yaaani inaoneka hadi South Korea na Japan wanataka kumwambia akale huko China alikopeleka mboga. kweli hali si hali!
NikweliMie viongozi wetu wa dini (ila sio akina gwajima) nawalaumu sana kwa ukimya na kutokemea haya yanayoendelea.
Nawasimu sana viongozi majasiri kama Askofu Bagoza na Sheikh Ponda. walisimama ktk kweli siku zote,
Waulize mabalozi wa nchi zaidi ya 80 waliohudhuria siku anaapishwa mshindi wa uchaguzi ulioisha.Kwani mshindi wa huu uchaguzi ulioisha ni nani??
China ni rafiki maslahi sana, hana utu hata kidogo. Tukija kushtuka tutajikuta nusu ya bara la Afrika ni koloni lake. Masharti yake ya mikopo ni hatari kupita maelezo, dhamana anazotaka serikali ziweke ni za kimkakati kweli kweli. China si rafiki wa kweli wa bara la Afrika.Tutashirikiana na China mkuu
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!
Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Nawaonea huruma Kabudi na Mpango.Wakati anahutubia na baada ya hotuba,mkulu hakuwa na uso wa bashasha,alionekana hana raha na mwenye feelings nyingi,japo mzee wa mjengoni na gwajboy walichombeza vijembe vingi kwa upande ule ulioshindwa lakini mkulu alikunja viganja vya mikono na kuonekana anaomba Mungu amsaidie kwa magumu yajayo.Kwa kweli politocal strategic iliyotumika kupata ushindi wa kimbunga dhamiri zao zinawahukumu mpaka wanakosa furaha na matokeo ya ushindi mnono
Mkuu nipe address yako nikutumie za kutosha usisumbue bajeti yako. Ikifika 2025 tupeane tathmini.Kuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Mfuko wa Cement 1 unapata visimu vya tochi 2.Mfuko wa cement 35,000/ sukari kg 3500/.....
Cha ajabu zaidi kuna baadhi ya viongozi wa dini wanasema jiwe ni chaguo la Mungu!Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
I expected that, hata simshangai, ndivyo alivyo.Nimesikiliza hot Ubalozi ya Jiwe na kama kawaida yake imejaa maidai, majivuno,mbwembwe,kebei na dharau kwa kundi moja la Upinzani!
Jiwe ana guts za ajabu na aghalabu hana hisia kabisa ya kundi moja likiumia maadamu haliko upande wake.
Magufuli a.k.a Jiwe hajali króna kwamba kuna watu amewaumiza sana kwa kupora,kuiba na kudhulumu kura zao!
Bunge halina KUB-Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni kwa vile CCM waliamua kufanya uhuni kwene Uchaguzi mkuu wa 2020!
Anafikiri kusema ati DEMOKRASIA siyo fujo imetosha......!??
Kwamba uhuru una mipaka na hakuna Haki pasipo na Wajibu.......!!!Is ok but kwa muktadha upi hapa??
MAGUFULI ANAKIUKA KATIBA KWA KUTUMIA UBABE ILI KUFANIKSHA CHAMA CHAKE CCM,,,,WATZ wapenda Haki na Amani wameona kilichotokea wakti wa Uchaguzi! Kuna Watz say hii wake nje ya Tanzania wameomba POLITICAL ASYLUM nchi za nje baada ya kutishiwa maisha yao !
Tulitegemea Rais mwene busara azungumxie INCLUSIVITY ya Watz walioonesha DHAMIRA YA DHATI kutaka kuongozwa na vyama tofauti na chama chake CCM! Lakini wapi bhana! Magufuli ni shidaaaaaa!!!