Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Aisee....yaani wewe ulidhani hao wangehudhuria?!?! Hizo nchi ndizo imperialists powers ...zote Zina hofu na mafanikio au mwelekeo wa TZ kisiasa, kiuchumi na kijamii...zote zinaiona TZ kuwa ni nchi hatari kwa maslahi yao kiuchumi na kisiasa ...Zina hofu na Tanzania kuwa msimamo wa kiongozi wake mkuu yaani JPM unaweza kuziambukiza nchi nyingine za afrika...kumbuka bara la Afrika ndilo bara tajiri kwa raslimali...nchi za ulaya zimetajirika kwa sababu ya Afrika...kwa hiyo Kama Afrika itajitegemea ni Jambo la hatari mno kwa status quo ya dunia...kwa hiyo Magufuli anaogopwa mno na watafanya Kila wawezalo kuiangamiza Tanzania..
Mafanikio ya Tanzania????😂😂😀😀

Ya watu kunywa matope badala ya maji safi na msasani, bonde la msimbazi, kinondoni na jangwani kujaa Maji kwa mvua ya masaa 5 ???

Au mafanikio ya watanzania wote kuwa wachuuzi na kujenga vibanda vya machinga barabarani???
 
Anyway inawezekana siyo level yako kulielewa hili...
 
Kwa hiyo watanzania tujiandae kuwa kama Zimbabwe muda si mrefu?

Yaaani inaoneka hadi South Korea na Japan wanataka kumwambia akale huko China alikopeleka mboga. kweli hali si hali!
Haahahahaha.kumbe.jiwe.alipeleka.mboga.china.ety
 
Wale wa “akili za samaki” watachukulia poa tu, ila watu wa diplomatic license wanajua kuna mngurumo wa radi huko nje....
 
It means they are here in Tanzania and Africa to do Politics not business like china
 
It is up to them China is in Tanzania to do business not politics like them that is why you can't miss a Chinese product in any Black African home in Africa
 
Mie viongozi wetu wa dini (ila sio akina gwajima) nawalaumu sana kwa ukimya na kutokemea haya yanayoendelea.
Nawasimu sana viongozi majasiri kama Askofu Bagoza na Sheikh Ponda. walisimama ktk kweli siku zote,
Nikweli
IMG_20200924_141427_8.jpg
 
Tutashirikiana na China mkuu
China ni rafiki maslahi sana, hana utu hata kidogo. Tukija kushtuka tutajikuta nusu ya bara la Afrika ni koloni lake. Masharti yake ya mikopo ni hatari kupita maelezo, dhamana anazotaka serikali ziweke ni za kimkakati kweli kweli. China si rafiki wa kweli wa bara la Afrika.
 
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!

Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.

Nimesikiliza hot Ubalozi ya Jiwe na kama kawaida yake imejaa maidai, majivuno,mbwembwe,kebei na dharau kwa kundi moja la Upinzani!
Jiwe ana guts za ajabu na aghalabu hana hisia kabisa ya kundi moja likiumia maadamu haliko upande wake.
Magufuli a.k.a Jiwe hajali króna kwamba kuna watu amewaumiza sana kwa kupora,kuiba na kudhulumu kura zao!
Bunge halina KUB-Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni kwa vile CCM waliamua kufanya uhuni kwene Uchaguzi mkuu wa 2020!
Anafikiri kusema ati DEMOKRASIA siyo fujo imetosha......!??
Kwamba uhuru una mipaka na hakuna Haki pasipo na Wajibu.......!!!Is ok but kwa muktadha upi hapa??
MAGUFULI ANAKIUKA KATIBA KWA KUTUMIA UBABE ILI KUFANIKSHA CHAMA CHAKE CCM,,,,WATZ wapenda Haki na Amani wameona kilichotokea wakti wa Uchaguzi! Kuna Watz say hii wake nje ya Tanzania wameomba POLITICAL ASYLUM nchi za nje baada ya kutishiwa maisha yao !
Tulitegemea Rais mwene busara azungumxie INCLUSIVITY ya Watz walioonesha DHAMIRA YA DHATI kutaka kuongozwa na vyama tofauti na chama chake CCM! Lakini wapi bhana! Magufuli ni shidaaaaaa!!!
 
Wakati anahutubia na baada ya hotuba,mkulu hakuwa na uso wa bashasha,alionekana hana raha na mwenye feelings nyingi,japo mzee wa mjengoni na gwajboy walichombeza vijembe vingi kwa upande ule ulioshindwa lakini mkulu alikunja viganja vya mikono na kuonekana anaomba Mungu amsaidie kwa magumu yajayo.Kwa kweli politocal strategic iliyotumika kupata ushindi wa kimbunga dhamiri zao zinawahukumu mpaka wanakosa furaha na matokeo ya ushindi mnono
 
Nawaonea huruma Kabudi na Mpango.
 
Kuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Mkuu nipe address yako nikutumie za kutosha usisumbue bajeti yako. Ikifika 2025 tupeane tathmini.
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Cha ajabu zaidi kuna baadhi ya viongozi wa dini wanasema jiwe ni chaguo la Mungu!

Kiongozi kama huyo mimi akianza kuniswalisha 'swala ya jamaa' nafungua swala naenda swali 'maamuma'
 
Nimesikiliza hot Ubalozi ya Jiwe na kama kawaida yake imejaa maidai, majivuno,mbwembwe,kebei na dharau kwa kundi moja la Upinzani!
Jiwe ana guts za ajabu na aghalabu hana hisia kabisa ya kundi moja likiumia maadamu haliko upande wake.
Magufuli a.k.a Jiwe hajali króna kwamba kuna watu amewaumiza sana kwa kupora,kuiba na kudhulumu kura zao!
Bunge halina KUB-Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni kwa vile CCM waliamua kufanya uhuni kwene Uchaguzi mkuu wa 2020!
Anafikiri kusema ati DEMOKRASIA siyo fujo imetosha......!??
Kwamba uhuru una mipaka na hakuna Haki pasipo na Wajibu.......!!!Is ok but kwa muktadha upi hapa??
MAGUFULI ANAKIUKA KATIBA KWA KUTUMIA UBABE ILI KUFANIKSHA CHAMA CHAKE CCM,,,,WATZ wapenda Haki na Amani wameona kilichotokea wakti wa Uchaguzi! Kuna Watz say hii wake nje ya Tanzania wameomba POLITICAL ASYLUM nchi za nje baada ya kutishiwa maisha yao !
Tulitegemea Rais mwene busara azungumxie INCLUSIVITY ya Watz walioonesha DHAMIRA YA DHATI kutaka kuongozwa na vyama tofauti na chama chake CCM! Lakini wapi bhana! Magufuli ni shidaaaaaa!!!
I expected that, hata simshangai, ndivyo alivyo.
 
Back
Top Bottom