Wamesha tuletea shida yani club imejitahidi kufika robo na zawadi tukapewa timu 4 Sasa ndio fadhila zenyewe hizi? Yule katoka mapema huyu toka safari ya mwanzo alihangaika inamaana hawakujifunza? Hivi waliocheza nao walirudi vipi kwao? Zile wiki 2 nazo mlishindwa kuzifanyia kazi?. Leo inakuwa shida kiasi hiki!, inasikitisha sana.Siyo jambo la kufurahisha hata kidogo kwa wapenda michezo wote nchini.
Nakuheshimu sana, acha nitunze comment yangu.Hapana. Kuna sababu mbili za Biashara Utd kultolewa ni:-
- Laana ya kula njama na Yanga kutaka kuifunga Simba kwenye mechi ya ligi.
- Nuksi ya Happi kuitunuku vijihela vyake
[emoji23][emoji28]Andika vizuri!au upo chooni unakunya???
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Hii Wizara haina Waziri kwa sasa. Kwani mnamuona kwenye matukio gani siku hizi?Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Inasikitisha sana....hao ndo watu wanaostahili lawama na si vinginevyo,lkn Mwijaku FC wanampayukia sana Ali Hapi.Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Acha ufala shenzi mbona wengine wamemuelewa. Suala LA michezo nchi hii ni ajira kwa wengine na mashindano makubwa kama hayo hutoa fursa kwa vijana wakitanzania kuonekana nje.Andika vizuri!au upo chooni unakunya???
Waziri yupo bussy na nini?Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Simba inaonekana ndio mmeihujumu biasharaHapana. Kuna sababu mbili za Biashara Utd kultolewa ni:-
- Laana ya kula njama na Yanga kutaka kuifunga Simba kwenye mechi ya ligi.
- Nuksi ya Happi kuitunuku vijihela vyake
Wizara haina waziri mwezi wa ngapi huu?Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa