Kutolewa kwenye mashindano Biashara united ni uzembe wa TFF na Waziri mwenye dhamana

Musharaf

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
183
Reaction score
66
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!.

Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili na namwomba Rais na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa.
 
Siyo jambo la kufurahisha hata kidogo kwa wapenda michezo wote nchini.
Wamesha tuletea shida yani club imejitahidi kufika robo na zawadi tukapewa timu 4 Sasa ndio fadhila zenyewe hizi? Yule katoka mapema huyu toka safari ya mwanzo alihangaika inamaana hawakujifunza? Hivi waliocheza nao walirudi vipi kwao? Zile wiki 2 nazo mlishindwa kuzifanyia kazi?. Leo inakuwa shida kiasi hiki!, inasikitisha sana.
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa

Achen siasa za kishamba wizara na tff wanahusika vip apo wenye changamoto ni wao wenyewe biashara
 
Hii
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Hii Wizara haina Waziri kwa sasa. Kwani mnamuona kwenye matukio gani siku hizi?
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Inasikitisha sana....hao ndo watu wanaostahili lawama na si vinginevyo,lkn Mwijaku FC wanampayukia sana Ali Hapi.
 
Andika vizuri!au upo chooni unakunya???
Acha ufala shenzi mbona wengine wamemuelewa. Suala LA michezo nchi hii ni ajira kwa wengine na mashindano makubwa kama hayo hutoa fursa kwa vijana wakitanzania kuonekana nje.
Unachukulia kila kitu ni mzaha......shame on you. Nakutangazia vita halali ya matusi kama uko tayari. BLADIFAKENI.
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Waziri yupo bussy na nini?
 
Hapana. Kuna sababu mbili za Biashara Utd kultolewa ni:-
  • Laana ya kula njama na Yanga kutaka kuifunga Simba kwenye mechi ya ligi.
  • Nuksi ya Happi kuitunuku vijihela vyake
Simba inaonekana ndio mmeihujumu biashara

Kwa kauli zenu inaonyesha mna bifu na Hawa watu.

Kwamba up ushaidi umeshindwa kupeleka takukuru waufanyie kazi?

Kwamba nyie mtashinda kila mechi na litimu libovu ?
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Wizara haina waziri mwezi wa ngapi huu?
 
Back
Top Bottom