malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Hapo hakuna election reforms mnahadaiwa simmezoea kwenda na trendsWatu vipofu, hapo Kuna electrol reforms
Hapo hakuna election reforms mnahadaiwa simmezoea kwenda na trendsWatu vipofu, hapo Kuna electrol reforms
Mwezi si mrefu,tuombe uhaiWatu vipofu, hapo Kuna electrol reforms
Jasusi la mbinguni!Kaka tunaendelea kukufuatilia mwenendo wako kisiasa🤣🤣 ni utani
tu lakini View attachment 3386048
We kweli ni chenga.Hawawezi kabisa kufanya reform hapo kuhairishwa ili serikali ili iwe na mawaziri waendelee kufanya kazi
Fafanua kivipi?Watu vipofu, hapo Kuna electrol reforms
InaendeleaSasa michakato ya vyama kupata wagombea itakuwaje??
Utulivu umekosekana bungeni,CCM ya sasa ina watu wenye akili sana hicho kitendawili kukitegua kunahitajika akili ya ziada
Ila Raisi yuko sahihi.Nimeona wabunge wengi wamenyongonyea sana baada ya Raisi kusema bunge litavunjwa mwezi.wa nane tarehe tatu
Miaka mingine walipokuwa wanavunja kulikuwa hakuna serikali.?Hawawezi kabisa kufanya reform hapo kuhairishwa ili serikali ili iwe na mawaziri waendelee kufanya kazi
Bunge halijavunjwa leo limeahirishwaIpo kikatiba kwamba ukivunja bunge then ndani ya siku 90 lazima uwe na bunge jipya..So election ni Oct..do the math..hana jilya huyo mama ndugu zangu hapa ni kukoleza No refirms no Election!
Hapo uchaguzi sio October tenaSasa michakato ya vyama kupata wagombea itakuwaje??
Inawezekana Kwani Unafikiri Inashindikana Nini..Shughuli za bunge zimesitishwa leo,kuvunjwa agosti 3, je kutakua na vikao vya bunge ndani ya mwezi mmoja?
Je KJ katika kusukuma kete kaona Bunge likivunjwa hivi sasa kuna uwezakano wa TWJZ kuweka meza juu chini au lengo ni lipi la kusongeza mbele?Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Vipi kuhusu baraza la mawaziri na kuvunja bunge?..miaka yote ya uchaguzi bunge lilivunjwa julai?Inawezekana Kwani Unafikiri Inashindikana Nini..
Na Kama Hujui Kisheria Huwezi kubadili sera Wala Sheria Ukishavunja Bunge wala Huruhusiwi Kusaini Sheria Mpya za Bunge..
Kwa maana Ukivunja Bunge Inabaki Serikali ambayo Inaitwa CareTaker Government au Serkali ya Mpito..
Inakuwa Haina Meno makali kama Serikali Ikiwa na Bumge
Unajua Mawaziri Wanakoma Kufanya kazini Lini?Hawawezi kabisa kufanya reform hapo kuhairishwa ili serikali ili iwe na mawaziri waendelee kufanya kazi
Jwtz halina akili hizo,acha kujipa matumainiJe KJ katika kusukuma kete kaona Bunge likivunjwa hivi sasa kuna uwezakano wa TWJZ kuweka meza juu chini au lengo ni lipi la kusongeza mbele?
Kelele na minnongono ya wabunge baada ya kauli Ile ikupe majibu juu ya Nini kilikuwa behind the scenesJe KJ katika kusukuma kete kaona Bunge likivunjwa hivi sasa kuna uwezakano wa TWJZ kuweka meza juu chini au lengo ni lipi la kusongeza mbele?