SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka,pigo takatifu
Hizo reform zitafanyikaje wakati shughuli za bunge la 12 zimesitishwa? Linavunjwa mwezi wa nane ili kuendeleza shughuli za mawaziri.Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Nimesikia mkuu mpaka 3.8.2025Umesikia hotuba Hadi mwisho?
Umesikia 3 August?
Baraza La mawaziri bado Hubaki Kufanya Kazi mpaka Litakapoapishwa Baraza Jipya...Vipi kuhusu baraza la mawaziri na kuvunja bunge?..miaka yote ya uchaguzi bunge lilivunjwa julai?
Hujui KatibaHizo reform zitafanyikaje wakati shughuli za bunge la 12 zimesitishwa? Linavunjwa mwezi wa nane ili kuendeleza shughuli za mawaziri.
Kwani bunge likivunjwa ,mawaziri wanakoma kuwa mawaziri?Hizo reform zitafanyikaje wakati shughuli za bunge la 12 zimesitishwa? Linavunjwa mwezi wa nane ili kuendeleza shughuli za mawaziri.
Wataitwa tena kupitisha miswada tatika kipindi cha kuanzia 27 July hadi 3 Agosti 2025.
Leo hakutaka kutangaza wamekubali No Reforms No Election, lakini miswada ya dharura ya mabadiliko inategemea kutua bungeni kabla halijavunjwa rasmi tarehe 3 Agosti 2025.
TOKA MAKTABA :
Wakili msomi Edson Kilatu aliye pia mchambuzi wa maswala ya sera na katiba anatupitisha exclusively kuchambua mamlaka ya rais wa Jamhuri ya Muungano na pia rais wa SMZ katika kurefusha ukomo wa bunge au Baraza la Wawakilishi :
26 June 2025
BUNGE LA MUUNGANO DODOMA
Kwa upande wa Bunge la Dodoma je hali ipoje kisheria na kikatiba, wakili msomi anafafanua
View: https://m.youtube.com/watch?v=109seI462uQ
Wakili msomi Edson Kilatu : ibara ya 65 ya katiba ya 1977 kuhusu Bunge la Muungano kuvunjwa, bunge huvunjwa ikiwa limemaliza miaka 5 , pia ibara ya 90 inaweza kuvunjwa kabla ya wakati au ibara ya 91 kurefusha muda Bunge la Dodoma na la Baraza la Wawakilishi haitakiwi kutofautiana hivyo inawezekana Bunge la Dodoma kuongezewa muda ...ikiwa ...
(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukiisha wakati wowote ambapo Jamhuri
ya Muungnao iko katika vita Bunge laweza mara
kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara
ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na
miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi
kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo
hii kwa muda unaozidi miaka mitano.
(4) Kukitokea hali ya hatari au kama kuna hali ya
hatari ambayo Rais anaona inasababisha kuitisha
Mkutano wa Bunge na iwapo wakati huo Bunge limevunjwa na matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu hayajatangazwa basi Rais aweza kutoa Taarifa Maalum ya kuitisha Mkutano wa Bunge na kuagiza kwamba Spika na watu wote waliokuwa
Wabunge mara tu kabla Bunge halijavunjwa wahudhurie Mkutano huo wa Bunge na watu hao pamoja na huyo Spika, watahesabiwa kuwa ndio
Wajumbe wa Bunge kwa madhumuni ya Mkutano
huo na watahesabiwa hivyo mpaka usiku wa manane wa siku yatakapotangazwa matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu.
91.-(1) Rais atalihutubia Bunge Jipya katika Mkutano wake wa Kwanza na kulifungua rasmi
Bunge hilo.
(2) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya
(1), Rais aweza wakati wowote kulihutubia Bunge
Rais aweza kulihutubia Bunge
Sheria ya 1984 Na. 15 ib.
14
Bunge la zanzibar nalo wameahirisha,nako kuna reforms?Baraza La mawaziri bado Hubaki Kufanya Kazi mpaka Litakapoapishwa Baraza Jipya...
mKuu Tambua Haya..
1. Serikali haivunjwi Rais anaendelea kuwa madarakani
Rais wa Jamhuri ya Muungano anaendelea na madaraka yake hadi rais mpya atakapoapishwa (Ibara ya 37(5)).
bunge sio Moja ya Serkali kwahyo hakutakuwa na ombwe la uongozi wa juu serikalini.
2. Mawaziri wanaendelea kushika nafasi zao
Mawaziri, pamoja na Waziri Mkuu, wanaendelea kufanya kazi kwa kipindi kifupi hadi serikali mpya itakapoundwa, japokuwa wanakuwa kama "caretakers" yaani wanatekeleza majukumu ya msingi tu bila kufanya maamuzi makubwa ya sera.
Ibara ya 51(2) inaruhusu Waziri Mkuu kuendelea kushika wadhifa hadi rais mpya atakapoteua mwingine.
3.Kama Hakuna Bunge Mambo ya Sheria Mpya na Bajeti hayafanywi
Kwa kuwa hakuna Bunge, hakuna sheria mpya zinazopitishwa, wala mijadala ya kibunge kufanyika hadi uchaguzi mkuu ukamilike na Bunge jipya lifunguliwe rasmi.
4. Madaraka ya Serikali yanadhibitiwa
Serikali inaendelea kutekeleza majukumu ya kawaida (routine functions), lakini haipaswi kufanya maamuzi makubwa (major policy decisions) hadi serikali mpya iundwe baada ya uchaguzi.
gopa hawatarudKelele na minnongono ya wabunge baada ya kauli Ile ikupe majibu juu ya Nini kilikuwa behind the scenes
Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba:Ipo kikatiba kwamba ukivunja bunge then ndani ya siku 90 lazima uwe na bunge jipya..So election ni Oct..do the math..hana jilya huyo mama ndugu zangu hapa ni kukoleza No refirms no Election!
Wabunge wamepiga makelele na kulalamikia Nini?Baraza La mawaziri bado Hubaki Kufanya Kazi mpaka Litakapoapishwa Baraza Jipya...
mKuu Tambua Haya..
1. Serikali haivunjwi Rais anaendelea kuwa madarakani
Rais wa Jamhuri ya Muungano anaendelea na madaraka yake hadi rais mpya atakapoapishwa (Ibara ya 37(5)).
bunge sio Moja ya Serkali kwahyo hakutakuwa na ombwe la uongozi wa juu serikalini.
2. Mawaziri wanaendelea kushika nafasi zao
Mawaziri, pamoja na Waziri Mkuu, wanaendelea kufanya kazi kwa kipindi kifupi hadi serikali mpya itakapoundwa, japokuwa wanakuwa kama "caretakers" yaani wanatekeleza majukumu ya msingi tu bila kufanya maamuzi makubwa ya sera.
Ibara ya 51(2) inaruhusu Waziri Mkuu kuendelea kushika wadhifa hadi rais mpya atakapoteua mwingine.
3.Kama Hakuna Bunge Mambo ya Sheria Mpya na Bajeti hayafanywi
Kwa kuwa hakuna Bunge, hakuna sheria mpya zinazopitishwa, wala mijadala ya kibunge kufanyika hadi uchaguzi mkuu ukamilike na Bunge jipya lifunguliwe rasmi.
4. Madaraka ya Serikali yanadhibitiwa
Serikali inaendelea kutekeleza majukumu ya kawaida (routine functions), lakini haipaswi kufanya maamuzi makubwa (major policy decisions) hadi serikali mpya iundwe baada ya uchaguzi.
Uko sahihiWabunge wamepiga makelele na kulalamikia Nini?
Uamuzi huu hawakuupenda,
Nadhani kuna mipango yao immeharibiwa.
Kwani we unahisi reform ni Tanganyika au ni Tanzania?Bunge la zanzibar nalo wameahirisha,nako kuna reforms?
Wasingehairisha means wangeendelea na uchaguzi,so lazima na wao wahairisheBunge la zanzibar nalo wameahirisha,nako kuna reforms?
Mimi sio mwanasiasa ila hili la kuhairishwa ni mwiba mkali kwa wabunge maana huenda pia stahiki zao zitachelewa wakati huo mchakato wa kura za maoni unaendelea ambapo wengine walikuwa wanasubiri hizo pesa ili wapitishe takrima kwa wajumbe.Bunge halijavunjwa leo limeahirishwa
Huu mwaka wa motoooUko sahihi
Yaani wamevurugwa!Kwamba wanasikitika zinaenda kufanyika reform wanao
gopa hawatarud
Mchakato wa uchaguzi unasimama,yaani raisi akivunja bunge ndo vacant zinakuwa waziMimi sio mwanasiasa ila hili la kuhairishwa ni mwiba mkali kwa wabunge maana huenda pia stahiki zao zitachelewa wakati huo mchakato wa kura za maoni unaendelea ambapo wengine walikuwa wanasubiri hizo pesa ili wapitishe takrima kwa wajumbe.