Karudie tena kusoma hukuelewaUwaziri unakoma masaa kadhaa kabla ya Rais mpya kuapishwa, uwaziri haukomi kwa sababu ya bunge kuvunjwa. Msiwe wavivu wa kujisomea
Karudie tena kusoma hukuelewaUwaziri unakoma masaa kadhaa kabla ya Rais mpya kuapishwa, uwaziri haukomi kwa sababu ya bunge kuvunjwa. Msiwe wavivu wa kujisomea
Sekondari haliitwi uraia bali civics,na usikimbilie kwenye tafsir 🤣🤣,hata huko sekondari liliitwa siasa lilipobadilishwa likaitwa civics, walimu wa siasa wakakosa ajira,kisa kiingerezaUmesoma Nilichoandika? Kuna Mahali Nimeandika Shule ya Msingi?
Nimesema Secondary...Siku Nyingine Soma Between Lines
Lolote laweza fanyikaaa....Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Ila Mimi Niliandika Secondary au Primary..Sekondari haliitwi uraia bali civics,na usikimbilie kwenye tafsir 🤣🤣
Liliitwa siasa hadi miaka ya tisini huko sekondari, pale a bakwata kinondoni kuna mwalimu alikua mwalimu wa siasa,likifundishwa kiswahili,lilipokuja civics akahamia ofisini, alikua mwalimu mmoja nimemsahau jina ila alikua kama dish limeyumbaIla Mimi Niliandika Secondary au Primary..
Na Nikusahihishe Tu Sisi Hatukusoma Civics..
Maana Civics Ilianza miaka ya Tisini tulisoma Somo Lilikuwa Likiitwa kwa Utani Haki na Wajibu wa Raia Au Kw lugha ya Kufundishia Likiitwa Political Education..Kwa Kifupi Tuliita Uraia..
Karibu Kama Una swali zaidi
Liliitwa Siasa Halafu Likifundishwa Kwa Kingereza?Liliitwa siasa hadi miaka ya tisini huko sekondari, pale a bakwata kinondoni kuna mwalimu alikua mwalimu wa siasa,likifundishwa kiswahili,lilipokuja civics akahamia ofisini, alikua mwalimu mmoja nimemsahau jina ila alikua kama dish limeyumba
Liliitwa siasa likifundishwa kiswahili,lilipoitwa civics waalimu wa siasa walipoteza ajiraLiliitwa Siasa Halafu Likifundishwa Kwa Kingereza?
Ok Tuendee kubishana Vingine Kwa Vile Vinavyokuzidi Umri achana navyo
Andika vizuri bhana , mbona hakuna code hapo!😀Je KJ katika kusukuma kete kaona Bunge likivunjwa hivi sasa kuna uwezakano wa TWJZ kuweka meza juu chini au lengo ni lipi la kusongeza mbele?
Mpaka waseme NRNE
CHAUMA, ACT, wameumia saaana
Mabadiliko yakitaka kutokea hakuna wa kuyazuia yatakuja kwa njia usiyoitegemea. Nakumbuka wale G55 walivyo kuwa wana tamaa ya viti vya ubunge mpaka kufikia hatua ya kuhamia CHAUMA. Huko nako mambo halijojoCHAUMA, ACT, wameumia saaana
NO Reforms No ElectionSalaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Ata reforms mbili zikifanyika Chadema washiriki,,itakuwa pigo kubwa saaaanaMabadiliko yakitaka kutokea hakuna wa kuyazuia yatakuja kwa njia usiyoitegemea. Nakumbuka wale G55 walivyo kuwa wana tamaa ya viti vya ubunge mpaka kufikia hatua ya kuhamia CHAUMA. Huko nako mambo halijojo
Watageukana believe me, Hawana mgombea uraisiMabadiliko yakitaka kutokea hakuna wa kuyazuia yatakuja kwa njia usiyoitegemea. Nakumbuka wale G55 walivyo kuwa wana tamaa ya viti vya ubunge mpaka kufikia hatua ya kuhamia CHAUMA. Huko nako mambo halijojo
Wabunge wengi akili ni zero,juzi tu Dr.Mwinyi alisitisha shughuli za Bunge but hakulivunja-sasa Mbunge wa Tanganyika anashindwaje kufahamu kiti kidogo kama hicho.Walipigwa mikelele ghafula, ni kama hawakutegemea kauli Ile.
Sasa wewe unadhani litakuwa halijavunjwa kwa sababu gani???obviously hiyo ndio sababu ni lazima wawe cautious.Huwezi jua CDM huo msimamo wao unamanisha nini maana sio hali ya kawaida chama kikubwa cha upinzani kususia uchaguzu halafu ukabaki salama.Ikiwa halijavunjwa kwasababu ya No Reform, No Election basi NIKUAPIE mimi Mtoto wa Shule nitakunywa sumu ya HEMLOCK nikijirekodi live ili uone nikifa!
Usikitajetaje kifo,Ikiwa halijavunjwa kwasababu ya No Reform, No Election basi NIKUAPIE mimi Mtoto wa Shule nitakunywa sumu ya HEMLOCK nikijirekodi live ili uone nikifa!
Sababu za kuingia late bado hazijulikani.It's very simple ndugu Rabbon
Na kwanini watu wanakuwa na mioyo migumu kuelewa..?
Jamani, iko hivi: IF THERE'S NO ELECTORAL REFORMS, THEN THERE WILL BE NO GENERAL ELECTION THIS YEAR, 2025...!!
Shida ya CCM ni makenge. Mnyama Kenge ili aelewe, ni mpaka apigwe sana kiasi cha kutoka damu kwenye kila matundu (via) ya mwili wake..!
Huyu mama (Rais Samia Suluhu Hassan) kachelewa almost 2hrs kuingia bungeni leo ktk muda uliotangazwa mapema...
Hii sio kawaida, na kumbukumbu yangu inaniambia haijawahi kutokea huko nyuma kwa Marais waliopita, kuwa ratiba ya kulivunja (dissolve) Bunge inapowadia na kuwa set, halafu Rais akaingia late ukumbini kwa kiwango hiki kama alivyofanya yeye leo.
This shows that something abnormal is troubling her and her cabinet & CCM, kwa sababu wanajaribu kila hali kupambana Ili kuukwepa UKWELI wa hitataji la nyakati na majira haya, yaani MABADILIKO a.k.a ELECTORAL REFORMS...!
Ndo kusema kuwa alitaka atangaze hili akiwa huko huko alikokuwa. The decision kuwa aende, came very late, akawa amechelewa lakini akaenda hivyo hivyo. That was too 😞😞...
Kisiasa halikuwa limewakalia vyema kwa sababu tayari kwenye social media zilishazagaa taarifa kuwa Bunge haliwezi kuvunjwa leo. Asingeenda, rumours zingewapa credit wapinzani wake. Washauri wake wakamwambia nenda kazuge, lakini usivunje Bunge leo...
Just, sikilizeni na kuangalia hotuba yake ya leo. It was very awkward ikiongelea petty issues na taarabu za Kizimkazi huku akiacha mambo ya msingi yanayolisumbua taifa kwa sasa ambayo yangeweza kutoa mwelekeo mpya wa taifa. Definitely, hakusema lolote tangible la maana kuhusu haya leo. That was very big political mistake...
Kwa kifupi sana ni kuwa, there's no way kuwa wataikimbia pressure ya demand ya mabadiliko hata wacheze makida makida yao mpaka wavue na nguo...!!