Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Reforms means CCM Kuna majimbo watapotezaYaani wamevurugwa!
Nadhani kuna wengine wametema mate chini na kusonya kwa hasira!
Reforms means CCM Kuna majimbo watapotezaYaani wamevurugwa!
Nadhani kuna wengine wametema mate chini na kusonya kwa hasira!
Ila Kuna vilaza hii nchiHakuna cha reforms ni geresha kamavile zipo reforms kumbe kalaghabaho!!
Nani alikwambia bunge likivunjwa na uwaziri unaishia hapo ?Hawawezi kabisa kufanya reform hapo kuhairishwa ili serikali ili iwe na mawaziri waendelee kufanya kazi
Wamepishana na gari ya mshaharaMimi sio mwanasiasa ila hili la kuhairishwa ni mwiba mkali kwa wabunge maana huenda pia stahiki zao zitachelewa wakati huo mchakato wa kura za maoni unaendelea ambapo wengine walikuwa wanasubiri hizo pesa ili wapitishe takrima kwa wajumbe.
REforms unazipataje kwenye keyboard .?Ipo kikatiba kwamba ukivunja bunge then ndani ya siku 90 lazima uwe na bunge jipya..So election ni Oct..do the math..hana jilya huyo mama ndugu zangu hapa ni kukoleza No refirms no Election!
Ni kweli au hearsay tu? Maana watanzania ni wazuri katika utunzi.Watu vipofu, hapo Kuna electrol reforms
Lazima demonsrations tusijidanganye kwa keyboardREforms unazipataje kwenye keyboard .?
Na mchakato wa kuchukua fomu CCM lazima usimameNi kweli au hearsay tu? Maana watanzania ni wazuri katika utunzi.
That is what it means..Tusijipe moyo tuendelee kujua namna ya kustopusha huu udhalimu called UchaguziBunge halijavunjwa leo limeahirishwa
Reforms lazima madam,,CCM hawajapenda ila no wayLazima demonsrations tusijidanganye kwa keyboard
Kama bunge halijavunjwa means na uchaguzi unasimamaThat is what it means..Tusijipe moyo tuendelee kujua namna ya kustopusha huu udhalimu called Uchaguzi
Sababu nini?Mzee Uko Nyuma Sana Bunge Halijavunjwa Mpaka Tarehe 3 Mwezi August
Prophet Kabugumila anasema akili ya kawaida tu inakuambia lazima pawe na reforms. Uchaguzi wa nchi unataka kushindwa na uchaguzi wa monitor wa darasa kwa uwazi na kuaminika jamaniMsumari wa NRNE umewaingia. Kwa kiburi na jeuri waliyonayo CCM na Serikali yake Bunge lingevunjwa Leo, mpaka hapa huu ni ushindi mkubwa sana Kwa Chadema.
Zikisitishwa maana take si zinaitishwa tena kama kuna ratiba mpya!? Uliishia drs la ngapi!? Kusitishwa maana bunge lipo ila liko mapumziko linasubiri kipyenga kurudi kazini!! "KUVUNJWA" maana yake halipo .Hizo reform zitafanyikaje wakati shughuli za bunge la 12 zimesitishwa? Linavunjwa mwezi wa nane ili kuendeleza shughuli za mawaziri.
Uchaguzi unasimama kivipi wakati maza kaahidi uchaguzi wa haki?Kama bunge halijavunjwa means na uchaguzi unasimama
kusitisha ..Differed ..or suspend ...unaweza kuliitisha kwa vile wabunge bado wapo na hadhi zao za ubunge ila kuvunja bunge wanakuwa hawapo completely ..Dissolved.Hizo reform zitafanyikaje wakati shughuli za bunge la 12 zimesitishwa? Linavunjwa mwezi wa nane ili kuendeleza shughuli za mawaziri.
Kwani uzoefu unasemaje kuhusu muda wa kuvunja bunge ?Ipo kikatiba kwamba ukivunja bunge then ndani ya siku 90 lazima uwe na bunge jipya..So election ni Oct..do the math..hana jilya huyo mama ndugu zangu hapa ni kukoleza No refirms no Election!