ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Hakuna Sababu inayoeleweka Maan Haijawekwa WaziSababu nini?
Hakuna Sababu inayoeleweka Maan Haijawekwa WaziSababu nini?
Uliwahi Kusikia Lini na Je katiba Inasemaje Kuhusu Uchaguzi mkuu na BungeKuhitimisha na kuvunja leoleo tu haiwi vema sana kwani lolote linaweza kutokea na bunge kuhitajika kufanya maamuzi. Hivyo ni bora kuongeza siku kadhaa mbele, gripper allowance days endapo itatokea dharura
Mzee kasome katiba vizuriSalaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Wataendelea kulipiwa mshahara na stahki zngnMimi sijaelewa.
Bunge litavunjwa August 3.
Kwa hiyo hawa Wabunge wataendelea kuwepo Dodoma mpaka August 3?
Vijana wa siku hizi hamsomi mko kiushabiki,someni katiba vizuriInawezekana Kwani Unafikiri Inashindikana Nini..
Na Kama Hujui Kisheria Huwezi kubadili sera Wala Sheria Ukishavunja Bunge wala Huruhusiwi Kusaini Sheria Mpya za Bunge..
Kwa maana Ukivunja Bunge Inabaki Serikali ambayo Inaitwa CareTaker Government au Serkali ya Mpito..
Inakuwa Haina Meno makali kama Serikali Ikiwa na Bumge
Hii Comments Unaniambia Mimi au?Vijana wa siku hizi hamsomi mko kiushabiki,someni katiba vizuri
Uwaziri unakoma masaa kadhaa kabla ya Rais mpya kuapishwa, uwaziri haukomi kwa sababu ya bunge kuvunjwa. Msiwe wavivu wa kujisomea.Hizo reform zitafanyikaje wakati shughuli za bunge la 12 zimesitishwa? Linavunjwa mwezi wa nane ili kuendeleza shughuli za mawaziri.
Safi sana Endelelea KuwaelimishaUwaziri unakoma masaa kadhaa kabla ya Rais mpya kuapishwa, uwaziri haukomi kwa sababu ya bunge kuvunjwa. Msiwe wavivu wa kujisomea.
ELazima demonsrations tusijidanganye kwa keyboard
NdioMimi sijaelewa.
Bunge litavunjwa August 3.
Kwa hiyo hawa Wabunge wataendelea kuwepo Dodoma mpaka August 3?
Kalalwe hukoWewe umewahi ku demostrate katika maisha yako tangu umeanza kujitambua ?
E
KAtibiwe kwanza hiyo UTI suguKalalwe huko
Ikiwa halijavunjwa kwasababu ya No Reform, No Election basi NIKUAPIE mimi Mtoto wa Shule nitakunywa sumu ya HEMLOCK nikijirekodi live ili uone nikifa!Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Ni swali, usifanye conclusion.Jwtz halina akili hizo,acha kujipa matumaini
Hata Mimi nawaza hivyo ila ni mabadilikoSalaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Mkuu RabbonKelele na minnongono ya wabunge baada ya kauli Ile ikupe majibu juu ya Nini kilikuwa behind the scenes
1984 somo halikuitwa uraia bali siasa,mpaka 1992 ndipo likaitwa uraia na lilikua tofauti na lililokua siasa,this means umesoma elimu ya msingi 1990sHii Comments Unaniambia Mimi au?
Ukitaka Kufundishwa Uliza Pole pole Kijana Wangu!
Mimi Nimeanza Kuisoma Katiba Mwaka 1984 Kipindi hicho tunaisoma Kwenye Somo la Uraia shuleni..
KIpindi Hicho Niko Sekondary
Walipigwa mikelele ghafula, ni kama hawakutegemea kauli Ile.
Umesoma Nilichoandika? Kuna Mahali Nimeandika Shule ya Msingi?1984 somo halikuitwa uraia bali siasa,mpaka 1992 ndipo likaitwa uraia na lilikua tofauti na lililokua siasa,this means umesoma elimu ya msingi 1990s