Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

Ili Nchi ibaki salama lazima hatua za kinidhamu zichukuliwe
 
Yeye mwenyewe ndie msaliti namba moja!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti ya Nchi na Serikali usichanganye mambo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nadhani Sasa umefika wakati wa kuchambua mbichi na zilizoingia.watu hao Sasa hivi wamejaa maofisini,kwenye siasa nk.serikali ianze kuscreen na kuwajua hasa Nani raia wa nchi hii.wengi ni wazamiaji na Wana dhamana kubwa serikalini hivyo nashauri vipimo vya Dna vitumike kuwabaini raia wa nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe inaonekana huelewi unachosema, ifutie uraia wananchi halali wa Tanzania ili waende nchi gani? Ndiyo maana naona una shida kubwa kwenye ufikiri wako. Wakati mwingine kuna haja ya kuwa na ufikiri ulio sahihi....acheni ushabiki wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…