chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Hapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi
Uwe unakumbuka ku logout
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi
Sio kwamba Mod ame-merge ID zake?Mkuu, nadhani ulitaka kulog in kwa user nyingine ili ujicomentie comment hii,lakini kwa bahati mbaya umejikuta ukicomment kwa user hii hii. Nimecheka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mijinga kama hiyo ndo hazina kubwa ya fisiemu.Yani mpaka 2020 bado majinga kama haya yapo?
[emoji115][emoji115] huoni aibu ana ji qoite mwenyeweHapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi
Yani hata kuja na ID tofauti kaona tabu?[emoji115][emoji115] huoni aibu ana ji qoite mwenyewe
Kwahiyo unamshauri asiruhusu demokrasia kama Venezuela? Ndo ushauri wako?Rais wetu mpendwa Magufuli usicheke na wasaliti wa nchi, simama imara kama walivyosimama imara wazee wetu
Hii Nchi yetu ni muhimu kiliko mtu mmoja anaetukana Nchi yetu
Tumekukabidhi Nchi ili iwe salama
Angalia venuzuela ilivyofikia ni Kwasababu waliruhusu sana demokrasia
Kwahiyo unamshauri asiruhusu demokrasia kama Venezuela? Ndo ushauri wako?
Dhumuni la kutumia ile I'd ingine limekwama ona ullivojiumbuaHapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi
Hii nchi si Mali ya CCM...Lumumba mnajidanganya sana..Haiwezekani watu wanazurura duniani kuichafua Nchi yetu. Wamesoma kwa kodi za Watanzania
Wanaheshimika huko nje kwa siha njema ya Nchi yetu. Wakifika kule wanaanza kuitukana Nchi yetu
Hii Nchi yetu ipo kwa sababu kuna watu walijitolea maisha yao yote kuijenga hii Nchi
Kuna watu walimwaga damu.
Kuna watu walienda Uganda kuipigania Nchi wakarudi wamekatika miguu, wengine walirudi hawana mikono, wengine walirudi ni maiti.
Nchi hii ilikombolewa toka tukiwa tumboni mwa mama zetu
Anatokea mtu mmoja mropokaji, msaliti pengine hana hata dna na Tanzania yetu anaenda kwa Mabeberu kutukana Nchi yetu
Wanamtukana Rais wetu mpendwa Magufuli, Wanatukana Maendeleo anayotuletea
Wengine ni Wabunge wanaenda amerika kukutana na Mabeberu ati kuisema vibaya nchi yetu
Serkali watu kama hawa Kwanini mnawaacha huru? Kwanini wasihukumiwe kwa kusaliti wazee wetu waliopigania hii Nchi
Dawa ya usaliti hata huko kwa mabeberu inajulikana
Hao marikani haijawahi kucheka na msaliti wa Nchi adhabu yake inajulikana
China haijawahi kucheka na msaliti nenda popote msaliti wa Nchi zawadi yake inajulikana
Serkali acheni kuwachekea Wasaliti wa Nchi watatuharibia taifa letu
Kama kina kambona wenye heshima zao waliondolewa Uraia kwa manufaa ya Nchi Yetu mnaogopa nini kuwapokonya hawa wasio kuwa hata na historia ya ukombozi wa Nchi yetu!
Tumechoka kila siku Nchi yetu kutukanwa na wanasiasa wasaliti
Hatutaki tuwe kama Congo drc aliwachekea Wapinzani mwisho wake Wapinzani wakaiharibu Congo sasa ni machafuko kila siku huko Congo
Ni bora watu wawili au watatu waumie ili Watanzania milion 50 wawe salama
Tanzania tuna chama cha kizalendo kimoja tu ambacho ni Ccm na Tanu Hivi vyama vingine vimeletwa na Mabeberu kuja kuharibu Amani ya Nchi yetu
Naomba serkali ifutie uraia na kufunga wasaliti wa Nchi yote
Uingereza juzi imefutia uraia watu wengi kutokana na kusaliti Nchi yao
Serkali Kwanini inawaogopa hawa?
Jamaa ana I'd zaidi ya mia lazima ajichanganye tuMkuu, nadhani ulitaka kulog in kwa user nyingine ili ujicomentie comment hii,lakini kwa bahati mbaya umejikuta ukicomment kwa user hii hii. Nimecheka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafanyaje? Si useme wazi tu?Ni Aibu Mtanzania amesomeshwa kwa kodi zetu anaenda kwa Mabeberu kutukana Nchi yake
Hatutakubali
Ni kivipi demokrasia inazalisha wasaliti? Nipe mfano wa usaliti unaosababishwa na demokrasia na mimi nikupe mifano ya kutosha ni kwa vipi ukosefu wa demokrasia unazalisha kusalitiana na vita ya wenyewe kwa wenyewe.Kama demokrasia inazalisha Wasaliti ndani ya Nchi ina faida gani haswa?
Mbona juzi tu kule bungeni spika wa wanaCCM walikuwa wanamfokea Zitto kwamba anasababisha mkose misaada. Kwa nini mnalilia misaada toka kwa Mabwenyenye?Huko kwa Mabwenyenye mnapoenda kuwalamba viatu
Hovyo sana Wapinzani
Ni kivipi demokrasia inazalisha wasaliti? Nipe mfano wa usaliti unaosababishwa na demokrasia na mimi nikupe mifano ya kutosha ni kwa vipi ukosefu wa demokrasia unazalisha kusalitiana na vita ya wenyewe kwa wenyewe.