mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
huna genye??Tukutane hata mara 10 hivi ana kwa ana, halafu tuwe tunapiga stories muda usiopungua saa 3,hapo nakuzoea na hata ukihitaji sasa nakupa bila tatizo
Kuyajenga kwanza siyo kufanya
kwasababu ni ngumu....Kwa nini ushindwe kuvumilia ?
Lol 😂Tukutane hata mara 10 hivi ana kwa ana, halafu tuwe tunapiga stories muda usiopungua saa 3,hapo nakuzoea na hata ukihitaji sasa nakupa bila tatizo
Kuzoeana kwanza
Basi mazoea fanya kwenye simu siku mkionana mnavunja amri ya sita ya Mungu (sishauri)Kihisia wanaume na wanawake tupo tofauti, ili nienjoy lazima niwe tumezoeana , si vinginevyo
Aloo we jamaa upewe ulinziSasa hata ukimfahamu si utaliwa tuuu.
Kikubwa we jua ukienda kwa mwanaume unaenda kuliwa hayo ya kuwa mpaka kufahamiana ni ya watoto wa chekechea
Mnafahamiana kwani mnampango wa kufunga ndoa. Kula/liwa endelea na maisha mengine.
Maigizo igizo ni kupoteza muda na fedha zisizo za lazma kupotea
Ukweli ni kwamba Wanawake mnajua kua siku hizi ukimpa Mwanaume k kwa Mara ya kwanza ni Wanaume wachache sana huwa wanarudi,wengi hukimbia mazima, ndiyo maana mnataka kuchuna kwanza ndiyo baadae huko mbeleni utowe k yako,na unakua huna wasiwasi kua hata akikimbia wwe Usha chuna zako za kutosha huna hasara!!Kihisia wanaume na wanawake tupo tofauti, ili nienjoy lazima niwe tumezoeana , si vinginevyo
Chukua goma hilohuna genye??
kwa staili hii wanaume watakukimbia sana😂
sio kwa kubania hukoChukua goma hilo
no one can stop genye[emoji23]
Good pointSasa hata ukimfahamu si utaliwa tuuu.
Kikubwa we jua ukienda kwa mwanaume unaenda kuliwa hayo ya kuwa mpaka kufahamiana ni ya watoto wa chekechea
Mnafahamiana kwani mnampango wa kufunga ndoa. Kula/liwa endelea na maisha mengine.
Maigizo igizo ni kupoteza muda na fedha zisizo za lazma kupotea
Ukiimpa swaga za kiume, mbona atavua mwenyewe tusio kwa kubania huko
Kwa namna hii maisha lazma yawe magumuMwanaume ukitaka kuheshimika be gentle,
Maintain kuropoka
Maintain mwili usiwe bonge na mwembamba
Vindevu vya uongo na kweli ,usiwe na mandevu holela
Pamba kali za kigentle na siyo kitoto wala kibishoo,
Afu balance shobo,
Utaombwa ww shoo na mdada ,na mkazie kwanza kidogo usiwe mwepesi pili usiwe mwaname wa kila mdada ,utamaintain heshima