DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Si alama Ya Ukristo maana Kuna Baadhi ya Madhehebu ya Kikristo hayatumii Msalaba kama Ishara Yao..DR Mambo Jambo
Unataka kusema Nini Mkojani ?
Waarabu wanatumia lugha gani?? Quran inatumia lugha gani?? Wewe ukiruhusu akili yako ifanye kazi,Mungu anaongea kiarabu??Hakuna utamaduni wa kiarabu unaoingiliana na uislam
Mungu anaongea lugha gani?..ulitaka lugha gani itumike?..au telepathy?Waarabu wanatumia lugha gani?? Quran inatumia lugha gani?? Wewe ukiruhusu akili yako ifanye kazi,Mungu anaongea kiarabu??
Uislam umeagiza namna ya kuvaa kwa wanawake, maana yake waarabu hawakuwa wakivaa hivyo kabla ya uislamLugha ni sehemu ya utamaduni fulani.
Waarabu walikuwa wanavaa vipi?? Waislamu vazi lao kuu ni lipi??
Mitala ilikuwepo kila mahali alipo binaadam, ikiwemo afrika, Quran imeagiza ndoa ziwe vipi kuanzia posa,mahari, maisha ndani ya ndoa na talaka, waarabu hawakuwa wakifuata ndoa kama walivyoagizwa na Quran kabla ya ujio wa mtumeMavazi ni sehemu ya utamaduni ya jamii fulani.
Ndoa za waarabu zilikuwa vipi?? Uislamu ulikuja kuziondoa mitala??
Kwa muktadha wa uislam dini ni mfumo wa maisha,hata ubepari ni dini,mfumo wa maisha kea maana ya namna ya maingiliano yote ya kimaisha,Ndoa ni sehemu ya utamaduni ya jamii fulani.
Dini ni sehemu ya utamduni
Quran imekamilika ndiyo na ilishushwa,hutumii tu vizuri akili yako kuelewa imeshuka vipi,unadhani imeshuka kama ndege au mvua,usiitegemee sana akili yako,ina ukomo, Quran siyo kitabu cha sayansi bali miongozo kwa binaadam kumjua muumba wake na kuishi kama alivyoagizaIli ujue haya ni lazima uruhusu akili yako ifanye kazi vizuri coz usipotumia akili vizuri ndiyo bado utashikilia kuwa Quran imeshuka, imekamilika,sayansi zote zimo ndani yake kumbe zote ni propaganda.
Msalaba anaousema Paulo hapo anamaanisha lile gogo au?????Korinto 1:18-31
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa.
Kila mtu ana uhuru wa kutumia anachotaka kama alama ya dini yake.Msalaba ni zana ya kunyongea wahalifu ya utawala wa Warumi (weapon of execution) kama ilivyo kamba ya kunyogea, kiti cha umeme, sindano ya sumu au jambia la kuchinjia. Kama Yesu angechinjwa kwa jambia je tungekuwa tunaweka alama ya ya upanga/jambia juu ya jengo la kanisa au kuivaa kifuani???
Sawa mkuu. Nilitaka tu hoja yangu iamshe mawazo ya wakristo. Thanks for your contribution.Kila mtu ana uhuru wa kutumia anachotaka kama alama ya dini yake.
Wakikubali wenyewe poa tu.
Kama hutaki unaweza kuanzisha dini yako ukatumia alama yako.
One.Sawa mkuu. Nilitaka tu hoja yangu iamshe mawazo ya wakristo. Thanks for your contribution.
Mimi sifahamu Mungu anaongea lugha gani.Pia naamini Mungu haongei kiarabu.Wewe unaweza kuniambia Mungu anaongea lugha gani??Mungu anaongea lugha gani?
Nimekuambia vazi kuu la waarabu ni vazi gani,waislamu vazi kuu ni vazi gani?? Wewe umeelezea jinsi ya kuvaa hilo vazi.Uislam umeagiza namna ya kuvaa kwa wanawake, maana yake waarabu hawakuwa wakivaa hivyo kabla ya uislam
Ndoa za mitala ilikuwa sehemu ya utamaduni wa kiarabu, uislamu haukulikataza.Wewe umeelezea taratibu za ndoa.Mitala ilikuwepo kila mahali alipo binaadam, ikiwemo afrika, Quran imeagiza ndoa ziwe vipi
Dini haiwezi kuwa mfumo wa maisha, dini ni sehemu ya utamaduni.Kwa muktadha wa uislam dini ni mfumo wa maisha
Acha kumeza propaganda,Quran haijashuswa na haijakamilika.Quran imekamilika ndiyo na ilishushwa
Unasahau hata ulichoandika mwanzo,ulidhihaki waislam kutumia kiarabu,ukauliza huyo Mungu anaongea kiarabu tu,nikakuuliza Mungu anaongea lugha gani,so unapaswa kujibu, kusema hujui Mungu anaongea lugha gani siyo jibuMimi sifahamu Mungu anaongea lugha gani.Pia naamini Mungu haongei kiarabu.Wewe unaweza kuniambia Mungu anaongea lugha gani??
Waislam hawana vazi kuu, isipokua hijabu kwa wanawake,na hijab ni amri ya Quran, waarabu hawakuvaa hijab kabla ya uislam,kama unadhani kanzu ni vazi kuu la waarabu basi kumbuka yesu na warumi walivaa kabla muhammad hajazaliwaNimekuambia vazi kuu la waarabu ni vazi gani,waislamu vazi kuu ni vazi gani?? Wewe umeelezea jinsi ya kuvaa hilo vazi
Mitala mfalme selemani alikua nayo kule israel,ulaya walikua nayo, africa kwa wingi,mitala siyo utamaduni wa kiarabu.
Ndoa za mitala ilikuwa sehemu ya utamaduni wa kiarabu, uislamu haukulikataza.Wewe umeelezea taratibu za ndoa.
Hili inabidi ueleze wewe unayezijua taratibu za ndoa za kiarabu kabla ya uislam,maana umedai uislam umeiga hukoUnaweza kuelezea taratibu za ndoa za utamaduni wa kiarabu??
Uelewa wako wa dini ndiyo upo hivyo,lakini uislam unasimamia/elekeza mambo yote ya maisha kuanzia ndoa,mavazi,kula, biashara,mahusiano baina ya jamii,utasemaje siyo mfumo wa maisha,mfumo wa maisha ni nini?Dini haiwezi kuwa mfumo wa maisha, dini ni sehemu ya utamaduni.
Wewe kwa kutumia akili yako, kipi ni kikubwa kati ya utamaduni na dini??
Unarudiarudia vitu visivyo na msingi,sisi wenye Quran tunaijua yote na iliyoelekeza,hakuna utamaduni wa kiarabu, maelekezo hayo wakipewa waarabu awali kabla ya walimwengu, waarabu wakiambiwa waache tamaduni zao wafuate QuranQuran imeuweka utamaduni wa kiarabu kwa njia ya maandishi.
Humo ndani kuna mambo mengi.
Nb: Tamaduni huwa zinaingiliana na kumezwa pia.
Quran kushushwa na kukamilika kunahusiana nini na binaadam kuunda roketi,simu na magari!?..hivi unaelewa hata Quran ni kitu gani!?Acha kumeza propaganda,Quran haijashuswa na haijakamilika.
Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia yaliyoletwa hapa duniani unahisi yaliletwa kwa kusoma Quran?
Nadhani umeamua kukaza fuvu,hutaki kuelewa, waarabu wa makkah walimpiga vita mtume na kumfukuza kwa kuharibu tamaduni zao?
Nafikiri umetumia jazba na hisia zaidi kuliko uhalisia.Nimekuambia tumia akili yako vizuri.Toka nje ya boksi.
Huwezi kuutenganisha utamaduni wa kiarabu na uislamu kwa namna moja ama nyingine.
Sio sahihi wewe kama nani? Wenye ukristu wao wameona msalaba unafaa. Anzisha dini yako ambayo hautatumia msalama, and trust me hutakosa watejaMsalaba ni zana ya kunyongea wahalifu ya utawala wa Warumi (weapon of execution) kama ilivyo kamba ya kunyogea, kiti cha umeme, sindano ya sumu au jambia la kuchinjia. Kama Yesu angechinjwa kwa jambia je tungekuwa tunaweka alama ya ya upanga/jambia juu ya jengo la kanisa au kuivaa kifuani???
The earth is full of natural resources sihitaji kuwa tapeli kwa jina la Mungu. Sasa wewe ukimuona ndugu yako anapotea usimuelekeze njia sahihi si biblia na mafundisho hayo hayo yamesema damu yake itadaiwa mikononi mwako? Wewe unasema niachane nae nianzishe dini yangu!!! Ufahamu wako una kasoro.Sio sahihi wewe kama nani? Wenye ukristu wao wameona msalaba unafaa. Anzisha dini yako ambayo hautatumia msalama, and trust me hutakosa wateja
Umejuaje kama anapotea na wewe huko ulipo haupotei? Unaweza niambia kitu gani kinakufanya uamini upo ulipo upo sehemu sahihi?The earth is full of natural resources sihitaji kuwa tapeli kwa jina la Mungu. Sasa wewe ukimuona ndugu yako anapotea usimuelekeze njia sahihi si biblia na mafundisho hayo hayo yamesema damu yake itadaiwa mikononi mwako? Wewe unasema niachane nae nianzishe dini yangu!!! Ufahamu wako una kasoro.
utamadunilakini uislam unasimamia/elekeza mambo yote ya maisha kuanzia ndoa,mavazi,kula, biashara,mahusiano baina ya jamii,
Kwamba hili bango lako ndo litafanya wabadilike? Upo serious kweli?The earth is full of natural resources sihitaji kuwa tapeli kwa jina la Mungu. Sasa wewe ukimuona ndugu yako anapotea usimuelekeze njia sahihi si biblia na mafundisho hayo hayo yamesema damu yake itadaiwa mikononi mwako? Wewe unasema niachane nae nianzishe dini yangu!!! Ufahamu wako una kasoro.
Kwa uelewa wangu mdogo. Msalaba uko na pembe nne zote zikiwa zimebeba maana ndani yake.Msalaba ni zana ya kunyongea wahalifu ya utawala wa Warumi (weapon of execution) kama ilivyo kamba ya kunyogea, kiti cha umeme, sindano ya sumu au jambia la kuchinjia. Kama Yesu angechinjwa kwa jambia je tungekuwa tunaweka alama ya ya upanga/jambia juu ya jengo la kanisa au kuivaa kifuani???
Dini ni neno la kiarabu ambalo limekopwa na kiswahili,hapo wanetafsiri toka kiingereza 'religion',dini kwa muktadha wa uislam ni mfumo wa maisha, ndiyo maana uislam una maelekezo kwa kila nyanja za maisha,kuanzia jinsi ya kuswali mpaka kuongea na watu,kula,kutembea nkutamaduni
mila, asili, jadi na desturi za kundi la jamii fulani
dini
1.imani inayohusiana na mambo ya kiroho kwamba kuna muumba ambaye aliuumba ulimwengu huu na kwamba ndiye mtawala wa kila kilichomo
2.mfumo fulani wa imani hii na njia ya kuabudu, kusali na kuheshimu/ kutii huyo muumba k.v. Ukristo, Uislamu, Uyahudi, Uhindu au Ubudha
Bado unazidi kukaza fuvu?? Penda kujifunza na kujielimisha coz unaonekana unapenda kubishana (sifa ya mtu mjinga)na siyo kuelekezana (sifa ya mtu mwerevu)
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%Dini ni neno la kiarabu
Hapa unachanganya coz uislamu unajitegemea na dini inajitegemea.dini kwa muktadha wa uislam ni mfumo wa maisha
Hapa kwa kutumia akili yako vizuri, huoni utamaduni??uislam una maelekezo kwa kila nyanja za maisha,kuanzia jinsi ya kuswali mpaka kuongea na watu,kula,kutembea nk
Tatizo hutaki kuelewa,ikiwa uislam unaelekeza jinsi ya kuishi na kufanya ibada,huo ni mfumo wa maisha,kama mfumo wa maisha si utamaduni,hilo siyo tatizo langu,kama mfumo wa maisha ni utamaduni basi uislam siyo utamaduni wa kiarabu sababu hayo maelekezo ya kwenye Quran walielekezwa kwanza waarabu ambao walikua na utamaduni wao kabla ya muhammad kuhubiri uislamNakubaliana na wewe kwa asilimia 100%
Hapa unachanganya coz uislamu unajitegemea na dini inajitegemea.
Bado unaamini dini ni mfumo au ni sehemu ya utamaduni??
Bado unaamini dini ni kubwa kuliko utamaduni??
Hapa kwa kutumia akili yako vizuri, huoni utamaduni??
Hii elimu yenu mnayofundishwa shule definitions za lugha, kwamba wanyama hawana lugha kisa hawana sijui konsonanti,irabu,nomino sijui vitu gani,inawapotoshaculture
the way of life, especially the general customs and beliefs, of a particular group of people at a particular time:
culture
1. the way of life, especially the general customs and beliefs, of a particularā¦dictionary.cambridge.org
The five aspects of culture are values and beliefs, language, symbols, rituals, and norms. These aspects shape all other customs.
norm
an accepted standard or a way of behaving or doing things that most people agree with:
norm
1. an accepted standard or a way of behaving or doing things that most peopleā¦dictionary.cambridge.org