Kutumia nguvu kubaki kwenye nafasi ambayo hukuitafuta ni kumkosea Mungu

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo mwenyewe.

Nimemsikia Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan sio mara moja au mbili akisema kuwa hakuwahi kuwaza kuwa Rais. Akaenda mbali akasema Urais wake ni kwa kudra za Mungu yaani Neema za Mungu.

Sasa ninapoona kama kuna dalili za kutaka kutumia mbinu mbinu kubakia kwenye Urais ambao Mungu kautoa kama kudra je huu sio usaliti kwa aliyetoa kudra?

Kwanini kusiwe na free and fare election kuanzia kwenye michakato ya Chama ili kama kudra inaendelea iendelee kama mtoa kudra kaona imetosha ampe mwingine kwa amani kwani kuna shida gani?

Tusimfanye mtoa kudra ajute au akasirike. Viti vya enzi ni vya Mungu pekee na humpa amtakaye. Tusilazimishe kudra za Mungu kubaki mahali ambapo hajataka au ziondoke mahali ambapo hajataka.

Mungu hadhihakiwi
 
Utamu umemkolea hadi sasa kutoa damu za watanzania
 
Mtoa kudura hutoa ghadhabu pia

Kama alitoa kudra yake tena kwa upendo wake usio na gharama, na aliyepewa yeye haoni hilo na hathamini kudura ya mtoaji na hana shukrani, atakapoamua kutoa ghadhabu, kali ya kuondoa hicho kiburi cha uzima, wanaoonewa watajisikiaje kwa mfano

Mi nadhani, ni mhimu sana kutokuwafanya watu washerehekee kitu ambacho kinatia majonzi
 
Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo mwenyewe.

Nimemsikia Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan sio mara moja au mbili akisema kuwa hakuwahi kuwaza kuwa Rais. Akaenda mbali akasema Urais wake ni kwa kudra za Mungu yaani Neema za Mungu.

Sasa ninapoona kama kuna dalili za kutaka kutumia mbinu mbinu kubakia kwenye Urais ambao Mungu kautoa kama kudra je huu sio usaliti kwa aliyetoa kudra?

Kwanini kusiwe na free and fare election kuanzia kwenye michakato ya Chama ili kama kudra inaendelea iendelee kama mtoa kudra kaona imetosha ampe mwingine kwa amani kwani kuna shida gani?

Tusimfanye mtoa kudra ajute au akasirike. Viti vya enzi ni vya Mungu pekee na humpa amtakaye. Tusilazimishe kudra za Mungu kubaki mahali ambapo hajataka au ziondoke mahali ambapo hajataka.

Mungu hadhihakiwi
Atakuteka ohooo!
 
Ukipata neema hutakiwi kuipigania kwasababu tu ilikuja pasipo kuitafuta? Huyu Mungu ni wako peke yako kwamba wewe uendelee kusubiri kupewa kinachogombaniwa na wenzako?
 
Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo mwenyewe.

Nimemsikia Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan sio mara moja au mbili akisema kuwa hakuwahi kuwaza kuwa Rais. Akaenda mbali akasema Urais wake ni kwa kudra za Mungu yaani Neema za Mungu.

Sasa ninapoona kama kuna dalili za kutaka kutumia mbinu mbinu kubakia kwenye Urais ambao Mungu kautoa kama kudra je huu sio usaliti kwa aliyetoa kudra?

Kwanini kusiwe na free and fare election kuanzia kwenye michakato ya Chama ili kama kudra inaendelea iendelee kama mtoa kudra kaona imetosha ampe mwingine kwa amani kwani kuna shida gani?

Tusimfanye mtoa kudra ajute au akasirike. Viti vya enzi ni vya Mungu pekee na humpa amtakaye. Tusilazimishe kudra za Mungu kubaki mahali ambapo hajataka au ziondoke mahali ambapo hajataka.

Mungu hadhihakiwi
Gentleman,
ni ulofa wa kiwango cha juu sana kwa vibaka na matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo nchini, kulazimisha mambo ambayo sio mahitaji wala vipaumbele vya wananchi na waTanzania bali kwaajili ya maslahi yao binafsi na familia zao zinazolelewa na wazingu huko ng'ambo.

Nonsense kama hiyo haitakubalika Tanzania 🐒
 
Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo mwenyewe.

Nimemsikia Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan sio mara moja au mbili akisema kuwa hakuwahi kuwaza kuwa Rais. Akaenda mbali akasema Urais wake ni kwa kudra za Mungu yaani Neema za Mungu.

Sasa ninapoona kama kuna dalili za kutaka kutumia mbinu mbinu kubakia kwenye Urais ambao Mungu kautoa kama kudra je huu sio usaliti kwa aliyetoa kudra?

Kwanini kusiwe na free and fare election kuanzia kwenye michakato ya Chama ili kama kudra inaendelea iendelee kama mtoa kudra kaona imetosha ampe mwingine kwa amani kwani kuna shida gani?

Tusimfanye mtoa kudra ajute au akasirike. Viti vya enzi ni vya Mungu pekee na humpa amtakaye. Tusilazimishe kudra za Mungu kubaki mahali ambapo hajataka au ziondoke mahali ambapo hajataka.

Mungu hadhihakiwi
 
Attachments

  • 5986551-61f1b67f23255f4739f868aa266c64cb.mp4
    161.7 KB

Umenena jambo kubwa sana.
 
Washika tonge hawawezi kukuelewa
 
Back
Top Bottom