Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Wameona abaki Cuba!
TKama Samiah ni mcha Mungu atafakari Sana alichoambiwa na mleta mada.
TKama Samiah ni mcha Mungu atafakari Sana alichoambiwa na mleta mada.
ni vigumu lofa kuelewa mambo ya msingi kwa kukurupuka na mihemko 🐒Hata hueleweki!
Tusimfanye mtoa kudra ajute au akasirike. Viti vya enzi ni vya Mungu pekee na humpa amtakaye. Tusilazimishe kudra za Mungu kubaki mahali ambapo hajataka au ziondoke mahali ambapo hajataka.Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo mwenyewe.
Nimemsikia Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan sio mara moja au mbili akisema kuwa hakuwahi kuwaza kuwa Rais. Akaenda mbali akasema Urais wake ni kwa kudra za Mungu yaani Neema za Mungu.
Sasa ninapoona kama kuna dalili za kutaka kutumia mbinu mbinu kubakia kwenye Urais ambao Mungu kautoa kama kudra je huu sio usaliti kwa aliyetoa kudra?
Kwanini kusiwe na free and fare election kuanzia kwenye michakato ya Chama ili kama kudra inaendelea iendelee kama mtoa kudra kaona imetosha ampe mwingine kwa amani kwani kuna shida gani?
Tusimfanye mtoa kudra ajute au akasirike. Viti vya enzi ni vya Mungu pekee na humpa amtakaye. Tusilazimishe kudra za Mungu kubaki mahali ambapo hajataka au ziondoke mahali ambapo hajataka.
Mungu hadhihakiwi
Samia chaguo la Mungu, lazima tumpiganie kwa makubwa aliyoyafanya miaka hii 4. Hii nchi iingekuwa mikononi mwa Ndugai au Bashiru Ally sasa hivi tungekuwa kama Yemen au ZimbabweMungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo mwenyewe.