Kutumia nguvu kubaki kwenye nafasi ambayo hukuitafuta ni kumkosea Mungu

Fungua kanisa, saa yoyote, waumini nakuja nao
 
Wewe mtoa post unathibitishaje kuwa hakuna free and fair election? Why all these rhetorics?
 
Nimekusoma vyema, kwa mara ya kwanza. Andiko limenyooka vizuri.

Sasa nikuombe mkuu 'Benso Mramba', na naomba nikazie, hili ni OMBI; ikikupendeza, tafuta nafasi utupangilie kwa ufundi mkubwa kama ulioonyesha hapa, somo juu ya : Ulaghai/uongo/hadaa na mengi ya aina hiyo yanayoweza kuwa nyenzo za watu wa aina hiyo ya huyo unaye mwongelea katika mada yako.
Hilo litakuwa fundisho zuri sana kwetu sote.
 
Wewe mtoa post unathibitishaje kuwa hakuna free and fair election? Why all these rhetorics?
"... rhetorics."!Bila shaka msukumo wa kuandika hicho kimstari hapo ulilenga tu kutumia hilo neno 'rhetorics', maana sioni maana yoyote kuhusu mstari mzima.
 
Kumbe nimeingia cha kike. Irrelevant thread, ndg watanzania ndio tunamtaka we kachague wa kwako tukutane Oktoba.
 
"... rhetorics."!Bila shaka msukumo wa kuandika hicho kimstari hapo ulilenga tu kutumia hilo neno 'rhetorics', maana sioni maana yoyote kuhusu mstari mzima.
Wewe ulichoandika umekisoma kwanza?
Au mimi na wewe tutumie lugha ya Kiingereza ili unielewe vizuri? Sema!!!!
 
Ndio Ile watu wangu waangamia Kwa kukosa maarifa,Naam, Ufahamu!
 
Hata hueleweki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…