Kutumia nguvu kubaki kwenye nafasi ambayo hukuitafuta ni kumkosea Mungu

Tusimfanye mtoa kudra ajute au akasirike. Viti vya enzi ni vya Mungu pekee na humpa amtakaye. Tusilazimishe kudra za Mungu kubaki mahali ambapo hajataka au ziondoke mahali ambapo hajataka.

Mungu hadhihakiwi💪🏿📌🔨
 
Samia chaguo la Mungu, lazima tumpiganie kwa makubwa aliyoyafanya miaka hii 4. Hii nchi iingekuwa mikononi mwa Ndugai au Bashiru Ally sasa hivi tungekuwa kama Yemen au Zimbabwe


Muache agombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…