Kutumika Mbwa kwenye uokoaji Syria na Uturuki

Kama huna maswali ya maana basi tuangalie mpira sheikh,unaleta utoto
Jibu swali una uhakika gani kama mimi ni mtoto? nakuuliza quran ilishuka yote kwa pamoja? kama sivyo iweje iwe kitabu kamili wakati huohuo bado inashuka? kwa mujibu wa aya uliyotuma.
 
Jambo baya kabisa kukataa yale aliyoyazungumza mtume swalla llahu alayhi wa sallam.
 
Wanafik sana ndugu zetu. Sema ndio shida ya false religions. In real life ni hovyo, ila wakiongea utadhani yani wameshakabithiwa pepo yote 🤣
 
Qu'ran inafundisha malipo ya uovu ni Sawa na uovu wenyewe lakini kusamehe ni bora , sasa kama umeona katika maneno yake kuna tusi ambalo mimi nimeona kasema "mjinga mkubwa mpotoshaji" si ungemshambulia yeye binafsi Sawa na yale ambayo wewe unaona amekukosea kuliko kuingizia mambo ya wazazi ambayo ni kawaida ya watoto wadogo na vijana wa hovyo ?

 
Soma hiyo aya vizuri.. Katika vilivyohalalishwa ni pamoja na huyo muwindaji au kilichowindwa?
Kisharia kila Jambo ni halali Bali mpaka liharamishwe,hakuna Aya ya kuharamisha mbwa Bali Pana Aya ya kuonesha Kuna manufaa katika mbwa,Sasa kwa nini tunasema mbwa ni najisi!?
 
Jambo baya kabisa kukataa yale aliyoyazungumza mtume swalla llahu alayhi wa sallam.
Ni sawa kabisa na kupinga Qu'ran yenyewe
Jambo baya kabisa kukataa yale aliyoyazungumza mtume swalla llahu alayhi wa sallam.
Ni Sawa kabisa kupinga Qu'ran yenyewe kwani Qu'ran hiyo hiyo Allah anataka watu waende kwa Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah) akatoe hukumu baina yao tena zinasema Allah na Mtume wake kuhukumu hapo inatilia umuhimu Sunna ingekuwa Qu'ran tupu ingedirect moja kwa moja Qu'ran.

 
Kwa hiyo huo mfumo wa kitabu wakati huo Qu'ran ilikuwa ishaandikwa kabisa ? Kama ndio kivipi iwe hivyo wakati ilikuwa nado inaendelea kushuka ?
Aya ikishuka inaandikwa katika sura yake
 
Mosi sijatukana,pili alinianza..sikumchagulia tusi la kunitukana so nisichaguliwe namna ya kujibu..na hata Kama ningekua nimemtusi ilikua sahihi tusi kwa tusi,tatu Nina haki ya kulipa kisasi japo kusamehe ni bora
 
"Mwisho nikuulize wewe unaswali!? kama ndio umejuaje namna ya kuswali? wakati kwenye quran hakuna pahala pa muongozo wa namna ya kuswali?."
[emoji115]
Huwa nawasikia sana mkisema kuwa Quran haijaacha kitu. MBONA SASA QURAN IMEACHA KUTOA MUONGOZO WA NAMNA YA KUSWALI?
 
Hiyo aya mbona haitoi maelezo hayo kuwa anapopata wahyi anawaambia watu waandike na kujiridhisha kisha kuwaambia soma wewe umetoa wapi ? aya hiyo chini nionyeshe mahala popote panapo sapoti kauli yakoView attachment 2513160 ,
25:5
Na wakasema hivi ni visa vya watu wa kale alivyoviandikisha anavyosomewa asubuhi na
25:6
Sema,anayeteremsha haya ni ajuaye Siri za katika mbingu na ardhi,hakika yeye ni mwenye kusamehe,kurehemu
 
Una hamu ya kutumia Aya au..nimesema nadhani sababu sikua na uhakika ni namba gani ya sura na aya
 
Naam huwaoni watu wanamfuga kama pet? wa kumpakata pakata na kumbusu busu kumuweka kwenye makochi sebuleni.


Tena wao humuita "family member", na kama akifa huwa ni msiba mithili ya msiba wa mtu aliyekufa.
 
Utasikia Dini ya haki... Team Mnyaazi utawaweza basi
 
Usikute mbwa wenyewe wanajua sisi binadamu ni najisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] binadamu ndiyo kiumbe dhaifu kuliko wote Lakini hatari kuliko wanyama wote duniani hatabiriki,hana huruma,na mharibifu,ila kwasababu aliumbwa na akili kubwa IQ yake ndiyo inayomsaidia aweze kumfuga hata tembo [emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…