chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Ah nguvu ya madarakaWaziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema kuanzia sasa mtu yoyote atakayetunza kwenye sherehe kwa kutupa hela chini atashtakiwa mahakamani.
Source: Eatv!
Mi natumia hela na imeshanizowea kijana,kama hapa nina hangover za hennesy naelekea bichkidimbwi kupata supu moroooooo ya bata mzinga,maisha ndio haya haya
Hao ni Pro PESAMojawapo wa maprofesa wa hovyo kuwahi kutokea duniani. Apuuzwe tu.
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema kuanzia sasa mtu yeyote atakayetunza kwenye sherehe kwa kutupa hela chini atashtakiwa mahakamani.
Chanzo: Eatv!
Mkuu unataka kutuaminisha kwamba wewe sheria zote wazijua,Sasa ngoja ukiwa kizimbani utajua ni sheria ipi inayokuhukumu.Kwa sheria ipi?
Na kama anatunza pesa za kigeni je itakuaje?
Mkuu leo nipo beachkidimbwi, naendelea kutunza pesa nilizozipata kwa jasho langu,kama wewe ni muhusika au ndio Kabudi mwenyewe njoo unikamate uone navyokutoa knockout mahakamani,hakuna sheria iliyopitishwa na Bunge ya hivyoMkuu unataka kutuaminisha kwamba wewe sheria zote wazijua,Sasa ngoja ukiwa kizimbani utajua ni sheria ipi inayokuhukumu.
Hahaha kwahiyo kulewa Hennessy ndio kuwa na hela hahahahaMi natumia hela na imeshanizowea kijana,kama hapa nina hangover za hennesy naelekea bichkidimbwi kupata supu moroooooo ya bata mzinga,maisha ndio haya haya
Huna hela tulia weweeHahaha kwahiyo kulewa Hennessy ndio kuwa na hela hahahaha
Vijana wa Bongo bana. Tena kwenda Hapo jalalani Beach Kidimbwi ndio unajiona umeyapatia maisha.
Watu tumefika SEASIDE AMELIA BEACH, FLORIDA na tumekaa kimya. Wewe kufika hapo uswekeni Beach Kidimbwi huoni hata aibu kuongea mbele za watu eti ulikuwa beach [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wabongo tembeeni hata hapo CAPETOWN
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
tutaitafsri kwa pesa yakitanzania yaani madafu Kama unanibishia Mimi kabudi jaribKwa sheria ipi?
Na kama anatunza pesa za kigeni je itakuaje?
Mimi huwa nawambia hawa vijana utakuta kavimba hapo na Kigali chake anaona kafika! Hawana malengo wapo wapo kutafuta sifa zisizo na maana! Ukimuuliza ushatoka hata nje ya nchi hata nchi jirani tu hapa hamna kitu! Tena hawa vijana wengi wa hapo Dar vichwa pamzi sana!Hahaha kwahiyo kulewa Hennessy ndio kuwa na hela hahahaha
Vijana wa Bongo bana. Tena kwenda Hapo jalalani Beach Kidimbwi ndio unajiona umeyapatia maisha.
Watu tumefika SEASIDE AMELIA BEACH, FLORIDA na tumekaa kimya. Wewe kufika hapo uswekeni Beach Kidimbwi huoni hata aibu kuongea mbele za watu eti ulikuwa beach [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wabongo tembeeni hata hapo CAPETOWN
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hivi ni atakayetunza au atakayetuza? Hili neno huwa linanipa shida.. Hasa pale ninapomsikia Diamond akitamka "kumtunza"
Hahaha yani mkuu acha tu,
Watu ambao hamkwenda shule hupenda sana kujiliwaza.Mojawapo wa maprofesa wa hovyo kuwahi kutokea duniani. Apuuzwe tu.
Aisee! Kumbukizi: Profesa Kabudi akimwita Magufuli Mheshimiwa MunguWaziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema kuanzia sasa mtu yeyote atakayetunza kwenye sherehe kwa kutupa hela chini atashtakiwa mahakamani.
Chanzo: Eatv!