Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

Acheni watu tufurahie maisha aisee! Mtu akitupa hela chini serikali haipati na wala haipotezi chochote.
Nalog off
 

Wacha kujisifu , wewe hata hujatembelea Chato beach resort , huko Florida hata ugolo original from Chato hakuna😛
😛
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema kuanzia sasa mtu yeyote atakayetunza kwenye sherehe kwa kutupa hela chini atashtakiwa mahakamani.

Chanzo: Eatv!
Nimegundua kumbe wivu ni mbaya sana
 
CCM kwenye ubora wao, kuingilia maisha binafsi ya watu
 
Ila Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kwahiyo serikali imeamua ianze kuingilia hadi kwenye furaha za watu shereheni!

Tutafika Mbinguni tukiwa tumechoka sana[emoji23][emoji23]
 
Wale wanaokanyaga katiba hawaoni! Tena ye akiwa Waziri wa KATIBA na sheria!
 
Sisi wazee mapapaa wa live band tutayamba mapepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…