Enkaly
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 307
- 428
Umeshawahi kupigana na mtu yupo Relini?Ni kazi ngumu, unapigana na watu wanaojua vichochoro vyao vyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshawahi kupigana na mtu yupo Relini?Ni kazi ngumu, unapigana na watu wanaojua vichochoro vyao vyote
Kwamaana hiyo Urusi wanashindwa kumtandika hadi vikwazo vya kiuchumi?Vitani NATO wameshaingia kupitia vikwazo vya kiuchumi una miwazo ya kizamani mno unadhani kupigana ni ngumi, mateke na mirisasi tu
Russia anachakazwa na vikwazo vya kiuchumi vya NATO
Ubishi wako una vimelewa vya Kiha[emoji28][emoji28][emoji28]Hauna picha na hao majenerali wakiwa hai na wakiwa wamekufa? Tujiridhishe
[emoji851][emoji851][emoji851] jamaa unanikosea sana aiseeUbishi wako una vimelewa vya Kiha[emoji28][emoji28][emoji28]
Umejibiwa post #8[emoji851][emoji851][emoji851] jamaa unanikosea sana aisee
Umeeleza vizuri kabisa silaha za mrusi dhaifuUrusi ni dhaifu na chochote kinachotoka mikono mwake ni dhaifu pia. hata silaha zake zote alizokuwa anazipatia nchi kiarabu kuipigana na Israel hazikufanikiwa kwasababu ni dhaifu.
Ok tuletee hizo video basiMagenerali waliouawa walitangazwa na Urusi wenyewe na mazishi kuonyeshwa
Yule kaweka mapicha ambayo hata mimi naweza kuweka.Umejibiwa post #8
Timu Putin wabishi sana[emoji23][emoji23]
Ukraine hapo kapewa msaada na Urusi hoi je wangeingia vitani physically NATO na Marekani wenyewe watoa misaada dhidi ya Russia Putin si angekimbilia Tanzania kama mkimbiziKama Taliban wangepewa Ant Aircraft system kama Ukraine unafikiri ndege za US zingeruka hewani zinavyotaka? Acha masikhara Ukraine amepewa msaada wa kiwango cha juu kabisaa
Watuambie US pamoja na washirika wake watumia muda gani walioo ivamia Iraq? Russia ni nchi moja. Us pamoja na Nato yake walitumia muda gani?Chanzo cha habari chako ni kipi? Kilichosema kuwa angemaliza Ukraine ndani ya siku 2. Hata USA hawezi ichukua Tanzania kwa siku 2
Hawawezi kuingia vitani wanapenda sana kuishi kuliko kufa, vitani unakufa kweli hakuna utani ndio maana wamewaacha Ukraine maana hawa sababu ya kupigana wanayo hata wakifaUkraine hapo kapewa msaada na Urusi hoi je wameingia vitani physically NATO na Marekani wenyewe watoa misaada dhidi ya Russia Putin si angekimbilia Tanzania kama mkimbizi
Haki wewe Muha wa Mwanga Kigoma?Yule kaweka mapicha ambayo hata mimi naweza kuweka.
Kama general kapugwa shaba si mnaenda kumpiga picha ili tuamini
Anatuletea picha za walio hai nawawekea [emoji777][emoji777] eti ndio kigezo ndio maana nikampuuza sikutaka kumjibu
Russia jirani yake China fake products ziko nyingi sana za China na RussiaKuna mwanajf mmoja hapa aliwahi zungumza kuwa product nyingi za Russia sio bora kuliko za Ulaya. Nikisoma hapa na maelezo yako ndo nazid kuamin.
Mkuu nakuunga mkono. Hata mimi sichangii maana naona wengi wetu hatujui vizuri historia ya Nchi hizi mbili. Hata ukiwaeleza kuwa Putin alishakuwa Rais na baadaye baada ya kumaliza muda wake, kwa hila akateuliwa kuwa Waziri Mkuu then baada ya Rais mteule kumaliza muda wake, Putin tena akafanya hila na kuwa Rais wa Urussi kwa mara ya pili; WATAKUBISHIA TU.Hapo ndio unajua kwamba baadhi ya wachangiaji wanaendeshwa na Mahaba TU. Yaani mtu Kabla ya kuropoka anashindwa hata ku-Google? Eti kieneo Ukraine ni kubwa kuliko Tanzania? Ndio maana Sasa hivi sitaki hata kuchangia make Kuna Form one humu nao wanajifanya kuijui URUSI au Ukraine nje ndani.
Aaah wapi?Haki wewe Muha wa Mwanga Kigoma?
Pale IRAQ mlichukua muda gani NATOO [emoji16][emoji16][emoji16]
Naunga mkono hoja huyo mbishi muhaHaki wewe Muha wa Mwanga Kigoma?
Russia ni matapeli mno