Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Vitani NATO wameshaingia kupitia vikwazo vya kiuchumi una miwazo ya kizamani mno unadhani kupigana ni ngumi, mateke na mirisasi tu

Russia anachakazwa na vikwazo vya kiuchumi vya NATO
Kwamaana hiyo Urusi wanashindwa kumtandika hadi vikwazo vya kiuchumi?
Yani unasubiri mtu akonde ndio umpige is it working perfect?
 
Umejibiwa post #8
Timu Putin wabishi sana[emoji23][emoji23]
Yule kaweka mapicha ambayo hata mimi naweza kuweka.

Kama general kapugwa shaba si mnaenda kumpiga picha ili tuamini

Anatuletea picha za walio hai nawawekea [emoji777][emoji777] eti ndio kigezo ndio maana nikampuuza sikutaka kumjibu
 
Kama Taliban wangepewa Ant Aircraft system kama Ukraine unafikiri ndege za US zingeruka hewani zinavyotaka? Acha masikhara Ukraine amepewa msaada wa kiwango cha juu kabisaa
Ukraine hapo kapewa msaada na Urusi hoi je wangeingia vitani physically NATO na Marekani wenyewe watoa misaada dhidi ya Russia Putin si angekimbilia Tanzania kama mkimbizi
 
Chanzo cha habari chako ni kipi? Kilichosema kuwa angemaliza Ukraine ndani ya siku 2. Hata USA hawezi ichukua Tanzania kwa siku 2
Watuambie US pamoja na washirika wake watumia muda gani walioo ivamia Iraq? Russia ni nchi moja. Us pamoja na Nato yake walitumia muda gani?
 
Ukraine hapo kapewa msaada na Urusi hoi je wameingia vitani physically NATO na Marekani wenyewe watoa misaada dhidi ya Russia Putin si angekimbilia Tanzania kama mkimbizi
Hawawezi kuingia vitani wanapenda sana kuishi kuliko kufa, vitani unakufa kweli hakuna utani ndio maana wamewaacha Ukraine maana hawa sababu ya kupigana wanayo hata wakifa
 
Kuna mwanajf mmoja hapa aliwahi zungumza kuwa product nyingi za Russia sio bora kuliko za Ulaya. Nikisoma hapa na maelezo yako ndo nazid kuamin.
Russia jirani yake China fake products ziko nyingi sana za China na Russia
 
Hapo ndio unajua kwamba baadhi ya wachangiaji wanaendeshwa na Mahaba TU. Yaani mtu Kabla ya kuropoka anashindwa hata ku-Google? Eti kieneo Ukraine ni kubwa kuliko Tanzania? Ndio maana Sasa hivi sitaki hata kuchangia make Kuna Form one humu nao wanajifanya kuijui URUSI au Ukraine nje ndani.
Mkuu nakuunga mkono. Hata mimi sichangii maana naona wengi wetu hatujui vizuri historia ya Nchi hizi mbili. Hata ukiwaeleza kuwa Putin alishakuwa Rais na baadaye baada ya kumaliza muda wake, kwa hila akateuliwa kuwa Waziri Mkuu then baada ya Rais mteule kumaliza muda wake, Putin tena akafanya hila na kuwa Rais wa Urussi kwa mara ya pili; WATAKUBISHIA TU.
 
Urusi na ukrain ni pua na mdomo ingekuwa urusi ndio inapigana vita ya mbali hivyo basi huenda ingechukua miaka 10.

Usa na Japan vita ilichukua dk 5 tu na bomu moja tu kwa taarifa, japan akasalim amri.

Pale IRAQ mlichukua muda gani NATOO [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom