Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Chanzo cha habari chako ni kipi? Kilichosema kuwa angemaliza Ukraine ndani ya siku 2. Hata USA hawezi ichukua Tanzania kwa siku 2
Tanzania ana nini cha kuzuia hao mabeberu kutwaa nchi hata karakana ya vipuri huna
 
Westerners wapo vizuri kwenye propaganda. Russia hata kama awe anaumwa Ukraine hamuwezi. Kiutuzima Zelensky kwwa kuwajali wananchi wake alitakiwa aitishe majadiliano toka mwanzo.
Majadiliano yapo ila ugumu ni Putin anataka luhansk na donestic yale majimbo yawe nchi huru Ukraine hataki
 
Sasa mbona babu Putin alidai atamaliza kazi kwa siku mbili tu?!
Wengi wanachanganya Russia ya zamani ya uzalendo ambapo Askari waliweza kupigana Siberia kwenye barafu kali wakiwa hata sweta hawana kupigania Dola ya Russia wakiapa kuwa wako tayari kufa hata kwa barafu wakiwa vifua wazi kulinda mama Russia!!

Sasa hivi Jeshi la Russia lina vitoto vya dot .com vinataka good war working environment !! ikiwemo magari na vifaru vyenye heater nk na warm clothes!! Kama sharti la kupigana.!!! Kuwa there must be good working conditions!!!!
Magenerali wazee wakiviamrisha vikamanda vya platuni kuwa songeni mbele mpigane vinadai boresha kwanza working conditions ili tusonge mbele kupiga Ukraine!! Vinagoma

Jeshi shupavu la Ukraine lisilojali hali linaua magenerali wao na vitoto dot .Com vya jeshi vya Russia vivaa miregesheo vinauawa na vinakimbia mbio na kutekwa na vikitekwa vinalililia mama zao ohh mma mma nyau

Ndio maana Putin anahangaika kuagiza wapiganaji toka Syria lakini hopeless wale Syria wazoefu vita za maeneo ya Joto na jangwa sio baridi kali ya Ukraine wanauawa kama ngedere

Urusi ina magenerali wazee na wapiganaji dot com ambao waliingia jeshini kiupendeleo, kifisadi na Rushwa hawana wanajeshi vijana wanajeshi credible
 
Hivi unajitambua kweli?hakuna jeshi lililo organized na hatari kuliko Russia hii ni kutokana na military expects wa ulaya.unajidanganya sana
 
Hivi unajitambua kweli?hakuna jeshi lililo organized na hatari kuliko Russia hii ni kutokana na military expects wa ulaya.unajidanganya sana
Russia hii ya sasa ni zero kwenye employment ya wanajeshi mahili zero upendeleo na Rushwa tu kuajiriwa jeshini

Sasa wanavuna walichopanda hao waliowaajiri kwa upendeleo na Rushwa wanauawa kama ngedere na Jeshi la Ukraine lililokuwa linachuja vizuri wataka ajira jeshini
 
Russia hii ya sasa ni zero kwenye employment ya wanajeshi mahili zero upendeleo na Rushwa tu kuajiriwa jeshini

Sasa wanavuna walichopanda hao waliowaajiri kwa upendeleo na Rushwa wanauawa kama ngedere na Jeshinla Ukraine lililokuwa linachuja vizuri wataka ajira jeshini
Tulisha waambia watu hapa Russia hawezi kuipiga hata France. Kuna mtu alienda mbali zaidi akasema hata Poland tu Russia hamwezi. Huwa inashangaza sana baadhi ya watu kufikiri Russia anaweza kuitikisa NATO
 
Sababu inajulikana mheshimiwa. Kumbuka Ukreine alitaka kujiunga na umoja wa kujihami wa nchi za magharibi yaani NATO. Na Rusia anaipinga hatua hiyo kwa kuwa tendo LA ukreine kuwa kwenye jumuia hii ni sawa na kumkaribisha mmarekani Rusia. Kumbuka Rusia na Ukreine wanashare mpaka na baadhi ya raia wa pande hizi mbili wana muingiliano warusia wanaishi ukreine na waukreine wanaishi Rusia hivyo ni kama nchi moja.
Kwani Ukraine kushare mpaka na Nato wamepata madhara gani? Lakini Ukraine anajuta kushare mpaka na Russia
 
chini ya wiki 1 Nato ilikuwa tayali imeitiisha Kabul na walipoteza Askari kama 10 tu.
na kwa miaka yote 20 ya kuikalia Afghanistan wamepotezea askari kama 2 elfu.
Wakati Urus kwa miaka 9 ya kuikalia Afghanistan alipoteza zaid 15 elfu askari.
sijui wanashida gani ndani ya jeshi lao!!.
Kuna jambo hulijui au unapotezea makusudi kama hulijui.
Kule Afghanistan Urusi alikuwa anapambana na majeshi/wanamgambo waliokuwa wanapewa msaada na wamarekani wa silaha, fedha na mafunzo.

Vivyo hivyo huko Ukraine wanasaidiwa na Marekani pamoja na wanachama wengine wa NATO silaha, pesa, mamluki na taarifa za intelijensia.

Lakini Marekani alipopigana Iraq, Afghanistan na kwingine kulikuwa hakuna nchi zilizo wasaidia hao adui waliokuwa wanapigana na Marekani. Wakati huo huo Marekani alikuwa anasaidiwa na nchi nyingi za NATO na zisizokuwa wanachama wa NATO.

Usahihi wa hoja yangu unapatikana Syria ambako Marekani na washirika wake wameshindwa kumuondoa Assad sababu alipewa msaada wa kijeshi na mengineyo toka kwa Urusi.

Wewe ni muhanga wa propaganda za western media.
 
Urusi ina historia ya kutoa kafara askari wake katika vita zote wanazopigana. Chini ya wiki 1 Nato ilikuwa tayali imeitiisha Kabul na walipoteza Askari kama 10 tu na kwa miaka yote 20 ya kuikalia Afghanistan wamepotezea askari kama 2 elfu.

Wakati Urus kwa miaka 9 ya kuikalia Afghanistan alipoteza zaid 15 elfu askari. Sijui wanashida gani ndani ya jeshi lao!!.

Uko Somalia wakati kikosi cha US kikiwa cornerd na City nzima na kila raia ana bunduki lakini walipoteza 19 askari tu. Hii ilikuwa ni Fwathaa iliyokuwa imeitishwa M, F Aidid kuyapiga majeshi ya kigen yaliyoletwa kulinda Amani.

NB: Before ya hii vita nilijua Urusi ni Mbabe wa US ila sasa picha ipo Clear kuwa nchi ya kuipiga US kijeshi haipo.
Pia wakati wa vita ya pili ya dunia licha ya kumpiga mjerumani lakini Urusi alipoteza sana askari wake kuliko nchi yoyote ile kwa kipindi kile sababu ikasemekana ni uniform za jeshi lao ndio ziliwaponza..Hizi recent wars sijui tatizo ni nini!!
 
Kwanza kabisa Russia walirudi 1999 na kuirudisha Chenchen mikononi. La pili Bado taarifa hizi za kuuawa kwa mameja jenerali zimeenda kua Siri kubwa coz haijatangazwa rasmi na wizara ya ulinzi ya Russia zaidi ya rumours za Ukraine.
Nb. Tusubiri kidogo ikiwa wamekufa hatutawaona tena
 
Nilishasema na nitasema tena, kitu pekee cha kuiogopa Russia ni silaha za nuclear tu. Ivi vifaa vingine vya kivita bado yupo nyuma sana ya mmarekani.
Vifaa inategemea unavitumia wapi mkuu.
 
Russia hii ya sasa ni zero kwenye employment ya wanajeshi mahili zero upendeleo na Rushwa tu kuajiriwa jeshini

Sasa wanavuna walichopanda hao waliowaajiri kwa upendeleo na Rushwa wanauawa kama ngedere na Jeshinla Ukraine lililokuwa linachuja vizuri wataka ajira jeshini
Wewe upo Gongolamboto unajua kinachoendelea ndani ya jeshi la urusi aisee wewe ni hatari hata wamarekani wenyewe hawana hiyo taarifa.
 
Nilishasema na nitasema tena, kitu pekee cha kuiogopa Russia ni silaha za nuclear tu. Ivi vifaa vingine vya kivita bado yupo nyuma sana ya mmarekani.
Walau kwa huu uzi watu wanaongea vitu katika uhalisia wake
 
Tulisha waambia watu hapa Russia hawezi kuipiga hata France. Kuna mtu alienda mbali zaidi akasema hata Poland tu Russia hamwezi. Huwa inashangaza sana baadhi ya watu kufikiri Russia anaweza kuitikisa NATO
Sasa kwanini NATO haiendi kuondoa urusi SASA kama wanauwezo? Urusi mwenzake ni Marekani Tu hivi akili zenu mnapeleka wapi hakuna nchi ya ulaya inayokaribia urusi kijeshi.
 
Back
Top Bottom