It happened to Me, Kuna Mgahawa unaitwa Tanzanite halafu ile Menu niliposoma nikadhani utakuwa ni Msosi wa maana kumbe ni Chapati siyo kaangwa na Mafuta na haina chumvi na Kibirika kina Chai ya Spices kibao kama unakula Pilipili. Bili inakuja kama 17,000?=. Ushamba sometimes ni hasaraπππ
Sasa unasuburi mpaka nilewe ndio uje kunikumbusha nimekunywa local bia 7 naletewa bill 32000KUULIZA BEI KABLA YA KULA UWAPO OUTING NI AKILI NA KUJIAMINI LAKINI MALOFA HUONA AIBU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mmetoka out, mmefika kwenye mgahawa, mnaagiza chakula. Huoni aibu kuagiza chakula lakini unaona aibu kuulizia bei Kabla ya kuagiza. Hivi unaakili kweli? Ukiitwa Mshamba unarusha ngumi.
Kwa sasa Dar es salaam
ππPole sana mm Huwa nauliza sana tu sijui ndio umaskiniIt happened to Me, Kuna Mgahawa unaitwa Tanzanite halafu ile Menu niliposoma nikadhani utakuwa ni Msosi wa maana kumbe ni Chapati siyo kaangwa na Mafuta na haina chumvi na Kibirika kina Chai ya Spices kibao kama unakula Pilipili. Bili inakuja kama 17,000?=. Ushamba sometimes ni hasara
ππPole sana mm Huwa nauliza sana tu sijui ndio umaskini
πππ π Nilijichanganya sana aisee halafu hiyo Chapati ilinishinda na ile chai ilikuwa na viungo vikali balaaa kama unakula Pilipili.
Halafu , you are not a Masikini bhana, You are growing . πππππππ
Kwakweli ela inaniuma mno hata nikitolewa nipo km mchawi yaani nitauliza tu πππHalafu , you are not a Masikini bhana, You are growing . πππππ
Kuuliza sio Umasikini ndio inavuyotakiwa, Kila kitu lazima uwe na info za kutosha.Kwakweli ela inaniuma mno hata nikitolewa nipo km mchawi yaani nitauliza tu πππ
Sasa unasuburi mpaka nilewe ndio uje kunikumbusha nimekunywa local bia 7 naletewa bill 32000 View attachment 2732559
Huwa naona hata kwenye supermarkets za mabwanyenye wameandika bei za bidhaa. Mleta mada yupo sahihiSiyo malofa mkuu,pesa,pesa.... wenye pesa.ukiwa na pesa huteseki