Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?

Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?

Natanguliza shukrani.
 
Wala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .

Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?

Natanguliza shukrani .
Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma

Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.
 
Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Ikulu (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara h

Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.
Asante kwa Ufafanuzi
 
Sijui kwanini leo kabla ya uteuzi niliwaza kama ningekuwa raisi ningempangia majukumu mengine diwani Athumani,nashangaa jioni hii napata taarifa ambayo ilikuwa ni wish yangu nimejikuta natabasamu tu🙂
 
Wala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .

Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?

Natanguliza shukrani .
Hizi ni Taasisi mbili tofauti kwaio kulinganisha ni ngumu kidogo ila cha msingi kama mshahara wa Tiss kama ni kubwa kuliko KM ateendelea kulipwa huo mshahara ila kama wa KM ni mkubwa atalipwa wa KM waio hana cha kupoteza
 
Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Ikulu (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma

Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.
Mkuu wa makatibu wakuu pamoja na mabalozi cndio
 
Back
Top Bottom