Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

E1D77AAF-957E-41A0-B7D0-C1B476DFE5C7.jpeg
 
Kwahiyo kumbe ni wewe ndo ulikuwa unamroga ndugu diwani?😒 walimwengu bhana
Hamna diwani sio mtu mbaya na ni mshika dini haswaa na ana rekodi tamu sana kuanzia urpc,ukuu wa mkoa na sehemu nyingine alizopita ila si mara zote unaweza kufaulu sehemu zote,kusema ukweli idara yetu ya usalama wa taifa ilipwaya sana kwenye suala la ujasusi wa kiuchumi hili lipo wazi thus why nkawish siku moja afanyiee replacement tupate bora zaidi yake sio kwamba roho yangu ilijifunga kwa yeye kuwa DG wa TISS....
 
Sijui kwanini leo kabla ya uteuzi niliwaza kama ningekuwa raisi ningempangia majukumu mengine diwani Athumani,nashangaa jioni hii napata taarifa ambayo ilikuwa ni wish yangu nimejikuta natabasamu tu🙂
Aisee..
 
Hamna diwani sio mtu mbaya na ni mshika dini haswaa na ana rekodi tamu sana kuanzia urpc,ukuu wa mkoa na sehemu nyingine alizopita ila si mara zote unaweza kufaulu sehemu zote,kusema ukweli idara yetu ya usalama wa taifa ilipwaya sana kwenye suala la ujasusi wa kiuchumi hili lipo wazi thus why nkawish siku moja afanyiee replacement tupate bora zaidi yake sio kwamba roho yangu ilijifunga kwa yeye kuwa DG wa TISS....
Ni wakati uleee wa Mwendazake, aliingia Idara ilikuwa imeshakuwa hovyo kabisa.
That he survived thus far is a wonder!
 
Nafasi ya mkurugenzi wa usalama wa taifa ni kubwa sana hivyo kama mtu hajafikisha umri wa kustaafu basi huwa utamaduni ni kumpeleka ubalozini huko nje.

Ninategemea mhe rais atarekebisha hapo kutunza heshima ya huyo aliyehamishiwa hapo ikulu.
 
Kwani w

Mods ikiwapendeza msiunganishe uzi.
Kwani wame kurupushwa? Nadhani wamejadiliana na kukubaliana wapi wamuweke
 
Nafasi ya mkurugenzi wa usalama wa taifa ni kubwa sana hivyo kama mtu hajafikisha umri wa kustaafu basi huwa utamaduni ni kumpeleka ubalozini huko nje.

Ninategemea mhe rais atarekebisha hapo kutunza heshima ya huyo aliyehamishiwa hapo ikulu.

Mods ikiwapendeza msiunganishe uzi.
Wanamakusidi yao kwa sasa wanampima presha na mapokeo ya walichofanya. Hio ni Mipango ubalozi ataenda tu, na kama alishahudumu ubalozi hapo kabla basi kawaambia live kuwa ubalozi hawezi kurudi tena.
 
Nendeni mkajifunze historia mjue Dr Hassy Kitine na Mzena baada ya kutoka kuwa ma DG wa TISS walipelekwa wapi?

Katibu Mkuu Ikulu sio cheo cha mchezo mchezo Dunia nzima

hadhi ya Balozi ni ndogo kuliko hadhi ya Katibu Mkuu wa Foreign affairs

hadhi ya Katibu Ikulu ni kubwa kuliko Katibu wa Wizara yeyote
 
Hamna diwani sio mtu mbaya na ni mshika dini haswaa na ana rekodi tamu sana kuanzia urpc,ukuu wa mkoa na sehemu nyingine alizopita ila si mara zote unaweza kufaulu sehemu zote,kusema ukweli idara yetu ya usalama wa taifa ilipwaya sana kwenye suala la ujasusi wa kiuchumi hili lipo wazi thus why nkawish siku moja afanyiee replacement tupate bora zaidi yake sio kwamba roho yangu ilijifunga kwa yeye kuwa DG wa TISS....
Ujasusi WA kiuchumi ndio ukoje?
 
Back
Top Bottom