gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Katibu Mkuu Ikulu, ni anasimamia Wizara ya Utawala bora, Takukuru, TIS na Mkurabita. Sasa jazia mwenyewe kama amepanda au ameshukaDiwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma
Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.