Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Kuna Mnikulu, huyu ni Katibu mkuu wa ikulu au Ndo huyo myeka?

..Mnikulu kwa Kiingereza anaitwa State House Comptroller.

..Huyu anashughulika na mambo mengi ya Ikulu ikiwemo matengenezo, etc.

..Katibu Myeka kwa Kiingereza ni Presidents Private Secretary.

..Huyu ndiye anapangilia ratiba zote za shughuli za Raisi. Ndiye msimamizi wa wasaidizi wa Raisi.

..Mtu yeyote anayetaka kuzungumza na Raisi ni lazima apitie kwa Katibu Myeka, kwasababu Katibu Myeka anafahamu ratiba nzima ya Raisi.

..Raisi anapochaguliwa naamini uteuzi wa kwanza huwa ni wa Katibu Myeka halafu Mwanasheria Mkuu. Naomba kusahihishwa.

..Labda nikikumbusha waliopata kuhudumu ktk nafasi ya Katibu Myeka tutaweza kuelewa zaidi kuhusu nafasi hiyo.

..Wakati wa Mwalimu alikuwepo Major.Joseph Butiku. Wakati wa Mzee Ruksa alikuwepo Balozi Andrew Daraja. Balozi Patrick Mombo wakati wa Mkapa. Wakati wa JK alikuwepo Ndugu Jairo.
 
Chief of staff (katibu wa Ikulu) ni nafasi nyeti sana and very senior kwenye serikali yeyote duniani.

Nchi nyingine hasa zenye unitary constitution kama muundo wa UK (ambao tume-copy) ni mkubwa kushinda katibu mkuu kiongozi ambae ni head of civil services (which includes idara za usalama).

In other words Diwani Athumani hiyo ni promotion.
Tofautisha katibu mkuu kiongozi na katibu mkuu ofisi ya Rais ni vitu viwili tofauti
 
Majukumu ya Katibu Mkuu Kiongozi

As Permanent Secretary of the President

Chief Secretary is the Permanent Secretary of the President. In that position, he is the CEO of the Office of the President. In addition, he is the head of the Public Service and Secretary to the Cabinet of Ministers.Duties of the Chief Secretary include:

Advise the President on matters relating to discipline and employment in the Public Service..

Receive and deal appropriately with reports from various committees of the Commission and the President as well as the Public Service Commission.

Address the operational issues of TISS and PCCB.

Provide a link between the President and the MDAs on all matters pertaining to the implementation of various issues concerning the Government and the country in general.

Advise the President on all matters pertaining to the operation of government and the country in general.

Undertake any work that the President shall assign.

As Cabinet Secretary

The post of Cabinet Secretary has been referred to in Article 60 of the Constitution of the United Republic of Tanzania. The Cabinet Secretary is the Chief Executive of the Cabinet of Ministers.His duties include:

Prepare a schedule of meetings and a list of activities for each Cabinet meeting.

Writing and keeping records of meetings of the Cabinet.

Providing information and details of the decisions of the Council for each person or public body concerned.

Providing information and details of the decisions of the Council for each person or public body concerned.
Engaging Ministries and Ministers in all their activities submitted to the Cabinet or its Committees.

Coordinate the implementation of the decisions and directives by the Cabinet the Committees.

To perform any other functions as directed by the President from time to time.
Tofautisha katibu mkuu kiongozi na katibu mkuu ofisi ya Rais ni vitu viwili tofauti
Soma link ya juu, mdau aliweka majukumu ya KMK ni kuwa katibu mkuu ofisi ya raisi pia na majukumu yameelezwa. Moreover ni ‘cabinet secretary’ pia na majukumu yake yameelezwa.

Kwa maana hiyo katibu wa Ikulu awezi kuwa na majukumu hayo hayo (kuwa katibu mkuu wa raisi).

Naelewa nchi zingine (mfano U.K) PM ana katibu mkuu wake na kuna katibu mkuu kiongozi, but then Katibu Mkuu kiongozi afanyi kazi ofisi ya PM ni ‘cabinet secretary’ only, plus other duties za kusimamia departments za serikali.
 
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?

Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?

Natanguliza shukrani.
Katibu mkuu ikulu mshahara wake mkubwa kuliko DG Tiss yangu ni hayo. Promotion au demotion sijui
 
Upo serious kweli? From mkurugenzi wa usalama wa taifa to Katibu wa ikulu afu unauliza swali kama hili? Ndo maana unamshabikia mbowe
Katika hali yeyote Profesa wa siasa lazima atajwe hata pasipo husika now I see Mbowe ni mtu na nusu [emoji16][emoji16][emoji16]

We jiulize kwa nini humtajitaji Kabudi Profesa wa mchongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukitaka Kujua nani ana Power zaidi hapo angalia Yupi Rais yupo tayari kumsikiliza Immediately, Unagundua DGIS wa TISS ni More powerful kuliko uyo katibu wa Ikulu, Tena ukienda mbali unakuta ata DG wa TISS ana Monitor moves za katibu Mkuu wa Ikulu, Haina afya Msaidizi wa Diwani aanze kumonitor activities za Boss wake, Ubalozi kwangu ungekuwa mzuri zaidi afu Diwani anaweza kuwa apo Ikulu na asiwe na Influence na Hio Role yake ikawa taken na mtu mwingine na yeye akabaki tu kama Kivuli
 
Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma

Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.
Asante kwa maelezo. Duh, hili jiserikali la Tanzania ni kubwa mno, yataka kitabu cha kurasa 32 kufahamu tu majukumu ya viongozi! Nani kaleta mfumo huu wa kula kupita kiasi? Makatibu, Makatibu wakuu, Mkuu wa Makatibu wakuu, na Mkuu wa Mkuu wa makatibu wakuu!
 
Ila wamefanya vizuri kuchukua insider anayejua shughuli za kila siku
 
Huenda ikawa yeye ndo alikuwa engineer wa aliyokuwa akifanya Magu....

Ukute hata zile statement za usiongee nao, yeye ndo alikuwa akizitoa
 
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?

Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?

Natanguliza shukrani.
Mi naona kashushwa..kutoka kujua siri ya nchi nzima. Mpaka kujua siri za ikulu tu hata geti huvuki
 
Katika hali yeyote Profesa wa siasa lazima atajwe hata pasipo husika now I see Mbowe ni mtu na nusu [emoji16][emoji16][emoji16]

We jiulize kwa nini humtajitaji Kabudi Profesa wa mchongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wengine ni matapeli wanaojulikana. They dont act like they are not
 
Upo serious kweli? From mkurugenzi wa usalama wa taifa to Katibu wa ikulu afu unauliza swali kama hili? Ndo maana unamshabikia mbowe
Mkuu labda alijua anaenda kuwa katibu mkuu kiongozi
 
Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma

Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.
sio KATIBU MKUU amekuwa KATIBU ofisi ya rais BASI.
 
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?

Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?

Natanguliza shukrani.
Sisi tunaokaa gizani siku nzima tukisubiri umeme ktk shughuli zetu za unyozi,

Au sie tunaolima na kutumia gharama kubwa na kurudi kuangalia juu mawinguni tukisubiri mvua,

Kiukweli HAYATUHUSU Wala HAYATUSAIDII chochote.
 
Back
Top Bottom