Mickbrown
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 409
- 496
Kakosea kipi mtu ameomba kufahamishwa .Upo serious kweli? From mkurugenzi wa usalama wa taifa to Katibu wa ikulu afu unauliza swali kama hili? Ndo maana unamshabikia mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakosea kipi mtu ameomba kufahamishwa .Upo serious kweli? From mkurugenzi wa usalama wa taifa to Katibu wa ikulu afu unauliza swali kama hili? Ndo maana unamshabikia mbowe
Ndio moja kati ya majukumu yao makubwaTiss ina influence nje ya nchi kumbe?
Umeandika nondo sana mkuuNdio maana hiyo wizara ni sensitive sana, katibu mkuu wake ni afisa usalama nchi nyingi matter of fact top senior civil servants wote nchi za wenzetu ni maafisa usalama kwa sababu wana deal na siri za nchi.
Sisi tumearibu mfumo kutoka huko tulipo copy au kutokuelewa ascendency ya kufika kuwa katibu mkuu wa wizara, kwingine hizo ni very sensitive posts na kufika hapo sio shughuli ndogo kabisa, ukistaafu wengi wanaishia kwenye board za mashirika makubwa.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]?Amepanda sanaaaaa. Diwani kwa sasa ni boss wa kila mtu anaereport kwa presdaa. Mkuu wa majeshi anarwport kwa rais. Mawaziri wote wanareport kwa rais. Idara ya usalama wa taifa inareport kaa raia. Yeye niboss co for now he is the boss og watumishi wootw wa raia
Hapana. KMK ndio mwenye access na rais vibaya mno na ndio maana pale ndani anaitwa Katibu wa raisKwa maana hiyo KM Ikulu ndio mshauri wa karibu zaidi wa Rais kuliko KMK na DG wa Usalama. Hivyo ana nguvu kwa maana ya mshauri wa karibu zaidi wa Rais.
Kama makungu tu alivyogoma kwenda ubalozini, kule njaa imetawalaWanamakusidi yao kwa sasa wanampima presha na mapokeo ya walichofanya. Hio ni Mipango ubalozi ataenda tu, na kama alishahudumu ubalozi hapo kabla basi kawaambia live kuwa ubalozi hawezi kurudi tena.
Kimsingi cheo cha katibu mkuu ni kikubwa kwani ndio the most senior possition kwenye utumishi wa uma, ila kiuhalisia DGIS is a very powerful possition in this country! Maana ni Taasisi kubwa na nyeti.so morelesly anaonekana kapanda ila hatakuwa na majukumu makubwa ya jumla ka alivyokuwa DGISWala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?
Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?
Natanguliza shukrani.
Chief Secretary ndo Katibu Mkuu KiongoziKwa kizungu mmoja ni chief of staff na mwingine ‘cabinet secretary’ hapo Ikulu.
Sasa chief of staff na secretary, kwenye jengo moja nani mkubwa. Kwa akili ya kawaida tu. Hakuna mtu mkubwa Ikulu nyingi duniani kwa civil servants kumzidi chief of staff (sijasema na Tanzania ni ivyo ovyo).
It’s so obvious that if you ask inabidi tuangalie ni kina nani unawashabikiaKakosea kipi mtu ameomba kufahamishwa .
Kweli kabisa emepaa sana!!Sasa kutoka udiwani hadi ikulu si kama dodo chini ya mnazi
Kuna kitu kinaitwa MSHAHARA BINAFSI ukihamishiwa Taasisi ambayo ina mshahara mdogo kuliko unapotoka, utaendelea kulipwa mshahara wa awali.Kwa nini asilipwe wa Katibu Mkuu Ikulu hata kama ni mdogo au mkubwa kuliko wa TISS?
Hii pangua ya watu wa ikulu na usalama wa taifa anaifanya Rais na naniDiwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma
Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.
si kweliIt’s so obvious that if you ask inabidi tuangalie ni kina nani unawashabikia
Sorry kwa uelewa zaidi;Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma
Be serious ndugu!Chief of staff (katibu wa Ikulu) ni nafasi nyeti sana and very senior kwenye serikali yeyote duniani.
Nchi nyingine hasa zenye unitary constitution kama muundo wa UK (ambao tume-copy) ni mkubwa kushinda katibu mkuu kiongozi ambae ni head of civil services (which includes idara za usalama).
In other words Diwani Athumani hiyo ni promotion.
Ndio shida kuu tuliyonayo kama Taifa watu wengi wanafikiria maslahi na kipato sio kuitumikia Nchi ! Na hiyo ndio sababu kila mtu anafikiria akipata kazi akapige dili za maana ili akirudi uraiani asichekwe !! Bado tupo mbali sana !!Shida ni cheo!?..tunatumikia nchi,hatujali vyeo
Sema mkuu kuwa makini na ufuasi wa mbowe😅😂unless labda kama unamtumia as a laddersi kweli
Mwendazake DG wa TISS alijifanya yeye,Jaji mkuu ni yeye,spika wa bunge ni yeye,CAG ni yeye yaani alikuwa a vurugu sana huyu bwana..Mungu amlaze mahali pema peponi