Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasmaWala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .
Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?
Natanguliza shukrani .
Asante kwa UfafanuziDiwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Ikulu (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara h
Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.
Sirro alishuka ama kapanda?Wala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .
Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?
Natanguliza shukrani .
Kuuliza si ujinga , kapanda au kashuka ?Upo serious kweli? From mkurugenzi wa usalama wa taifa to Katibu wa ikulu afu unauliza swali kama hili? Ndo maana unamshabikia mbowe
Bavicha ina ukomo wa Umri , haiwezekani mimi niwe bavicha mileleBavicha
Hizi ni Taasisi mbili tofauti kwaio kulinganisha ni ngumu kidogo ila cha msingi kama mshahara wa Tiss kama ni kubwa kuliko KM ateendelea kulipwa huo mshahara ila kama wa KM ni mkubwa atalipwa wa KM waio hana cha kupotezaWala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .
Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?
Natanguliza shukrani .
Duuh!!Demotion
Shida ni cheo!?..tunatumikia nchi,hatujali vyeoWala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .
Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?
Natanguliza shukrani .
Sijui kwanini leo kabla ya uteuzi niliwaza kama ningekuwa raisi ningempangia majukumu mengine diwani Athumani,nashangaa jioni hii napata taarifa ambayo ilikuwa ni wish yangu nimejikuta natabasamu tu🙂
KashukaWala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .
Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?
Natanguliza shukrani .
Mkuu wa makatibu wakuu pamoja na mabalozi cndioDiwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Ikulu (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma
Mtu aliyepanda cheo ni Moses Kusiluka ambaye anakuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), huyu ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote.