See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 479
- 1,495
Wakuu ni aje,
Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.
Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!
Wajuzi wa mambo kkar
Hata mimi nakuelewa sana.Nakuelewa sana mkuu sema wewe ndio hautaki kunielewa mimi , kwanza nikuelezee tu situmii,fake id kwa kuhofu chochote, ilitokea tu kutumia ila sasa naona ni vizuri nitumie tu ili tuweze kujadiliana na kila mtu , na kukuhakikishia kwa jinsi wa tz walivyo wanafki kuna watu wangetumia I'd zao za ukweli kuna wimbi kubwa humu lingegeuka machawa badala ya wachangiaji.
Mkuu ebu wewe changanya na zako tueweshe watu walijenga mnara wa babeli kumfikia Mungu.mkuu kuna sehemu imeandikwa nuhu aliingiza wanyama safinani
hebu tuwekee hapa tuone kama akili zako zipo sawa au unaambiwa tu na huchanganyi na za kwako
Kwa nini unapenda kutamani kujua baada ya kufa ila hauhoji kabla ya kuzaliwa?Hata mimi nakuelewa sana.
Mkuu inafurahisha sana, unatumia basi tu au ni sababu jamii forums ni mtandao wa siri ? Mkuu bwana maneno yako yanafurahisha sana😂😂
Kwahyo una hakika 500 miaka ijayo teknolojia itakuwa hivi hivi ila unahitimisha kwamba baada ya kifo hakuna kitu?
ila sisi wasukuma ni alfa na omega,just imagine asubuh wali wa kutosha au ugali<jipolo>lakin kuna raia chai ya rangi na mtu anadunda hadi mchana!!ni kweli mkuu. Ila sio universal standard kwamba wote itakuwa hivyo. Kuna wasukuma wanaenda kuchunga alfajiri wanapiga ugali wakutosha. Kuna mimi nPenda juisi, kuna wanaopenda supu n.k. Hayo ni mapendeleo ila tulishafanya kama utamaduni kwa wengi wetu lazima tunywe chai asubuhi.
Kwa mtamkaji Lina maana, kama kujifariji, kama faraja inapatikana.Huwa wanajiongelesha tu angalau wajifariji. Ila hilo neno halina maana kwa Mungu, kwao wala kwa marehemu
Unaijua story ya juma na uledi?unaposema kisafina una maana gani?
Maana tafsiri ya ki mara nying ni kitu kidogo na Li mara nyingi ni likitu likubwa.
Embu tueleweshe kisafina una maana gani?🤣🤣
mkuu changanya na zako pia ujue kuna lugha ya pichaMkuu ebu wewe changanya na zako tueweshe watu walijenga mnara wa babeli kumfikia Mungu.
Sasa na nyie wa8slamu mnapopiga dua kuwa Allah anwepushe marehemu na adhabu ya kaburi kulikoni ? Kuna adhabu gani huko hadi mpige dua?R.I.P Wameiga kwa makafiri wa kimagharibi, na haina maana yoyote, wao wanafikiri marehemu anaenda kupumzika!
Hahahaha lugha ya picha ili iweje mkuu .mkuu changanya na zako pia ujue kuna lugha ya picha
Ni kutokuwepo kwa kitu katika vitu vilivyopo na katika vipimo vya uwepo wa vitu vilivyopo.Hakuna kitu ni nini mkuu?
Hakuna kitu kinachoitwa kutokuwepo kwa kitu mkuu. Mara zote kuna kitu. Nothing ni terminology tuliyoiweka ili kuelezea uwepo wa kitu. Nothing is something that result into exist of another something.Ni kutokuwepo kwa kitu katika vitu vilivyopo na katika vipimo vya uwepo wa vitu vilivyopo.
How did nothing come to existence?Hakuna kitu kinachoitwa kutokuwepo kwa kitu mkuu. Mara zote kuna kitu. Nothing ni terminology tuliyoiweka ili kuelezea uwepo wa kitu. Nothing is something that result into exist of another something.
mkuu wasukuma wapo vzuri. Asubuhi unapigwa ugali kilo5 na maziwa mtindi safi kabisa. Ukiingia kulima au kuchunga mtu anakufutia heka moja😂😂😂 heshima yenu mnachapa kaziila sisi wasukuma ni alfa na omega,just imagine asubuh wali wa kutosha au ugali<jipolo>lakin kuna raia chai ya rangi na mtu anadunda hadi mchana!!
sasa mkuu unasemea kipi? Juma na uledi au stori ya nuhu na Kisafina?🤣🤣bado sijakupataUnaijua story ya juma na uledi?
swali zuri tunasubiri majibu yaoKwa nini unapokula kitoweo chochote, hukiambii kipumzike kwa amani?
Hizo zote ni hadithi za kusadikika , ngoja nilale mkuu.sasa mkuu unasemea kipi? Juma na uledi au stori ya nuhu na Kisafina?🤣🤣bado sijakupata
lala mkuu upumzike maana kushinda Jf si mchezo kaka🤣😆😂Hizo zote ni hadithi za kusadikika , ngoja nilale mkuu.