Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

Wakuu ni aje,

Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.

Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!

Wajuzi wa mambo kkar
 
Nakuelewa sana mkuu sema wewe ndio hautaki kunielewa mimi , kwanza nikuelezee tu situmii,fake id kwa kuhofu chochote, ilitokea tu kutumia ila sasa naona ni vizuri nitumie tu ili tuweze kujadiliana na kila mtu , na kukuhakikishia kwa jinsi wa tz walivyo wanafki kuna watu wangetumia I'd zao za ukweli kuna wimbi kubwa humu lingegeuka machawa badala ya wachangiaji.
Hata mimi nakuelewa sana.
Mkuu inafurahisha sana, unatumia basi tu au ni sababu jamii forums ni mtandao wa siri ? Mkuu bwana maneno yako yanafurahisha sana😂😂
Kwahyo una hakika 500 miaka ijayo teknolojia itakuwa hivi hivi ila unahitimisha kwamba baada ya kifo hakuna kitu?
 
mkuu kuna sehemu imeandikwa nuhu aliingiza wanyama safinani
hebu tuwekee hapa tuone kama akili zako zipo sawa au unaambiwa tu na huchanganyi na za kwako
Mkuu ebu wewe changanya na zako tueweshe watu walijenga mnara wa babeli kumfikia Mungu.
 
Hata mimi nakuelewa sana.
Mkuu inafurahisha sana, unatumia basi tu au ni sababu jamii forums ni mtandao wa siri ? Mkuu bwana maneno yako yanafurahisha sana😂😂
Kwahyo una hakika 500 miaka ijayo teknolojia itakuwa hivi hivi ila unahitimisha kwamba baada ya kifo hakuna kitu?
Kwa nini unapenda kutamani kujua baada ya kufa ila hauhoji kabla ya kuzaliwa?
 
ni kweli mkuu. Ila sio universal standard kwamba wote itakuwa hivyo. Kuna wasukuma wanaenda kuchunga alfajiri wanapiga ugali wakutosha. Kuna mimi nPenda juisi, kuna wanaopenda supu n.k. Hayo ni mapendeleo ila tulishafanya kama utamaduni kwa wengi wetu lazima tunywe chai asubuhi.
ila sisi wasukuma ni alfa na omega,just imagine asubuh wali wa kutosha au ugali<jipolo>lakin kuna raia chai ya rangi na mtu anadunda hadi mchana!!
 
R.I.P Wameiga kwa makafiri wa kimagharibi, na haina maana yoyote, wao wanafikiri marehemu anaenda kupumzika!
Sasa na nyie wa8slamu mnapopiga dua kuwa Allah anwepushe marehemu na adhabu ya kaburi kulikoni ? Kuna adhabu gani huko hadi mpige dua?
 
Ni kutokuwepo kwa kitu katika vitu vilivyopo na katika vipimo vya uwepo wa vitu vilivyopo.
Hakuna kitu kinachoitwa kutokuwepo kwa kitu mkuu. Mara zote kuna kitu. Nothing ni terminology tuliyoiweka ili kuelezea uwepo wa kitu. Nothing is something that result into exist of another something.
 
Hakuna kitu kinachoitwa kutokuwepo kwa kitu mkuu. Mara zote kuna kitu. Nothing ni terminology tuliyoiweka ili kuelezea uwepo wa kitu. Nothing is something that result into exist of another something.
How did nothing come to existence?

Nothing ina eleza uwepo wa kitu gani?

Kwanza kitu gani ni nothing?
 
ila sisi wasukuma ni alfa na omega,just imagine asubuh wali wa kutosha au ugali<jipolo>lakin kuna raia chai ya rangi na mtu anadunda hadi mchana!!
mkuu wasukuma wapo vzuri. Asubuhi unapigwa ugali kilo5 na maziwa mtindi safi kabisa. Ukiingia kulima au kuchunga mtu anakufutia heka moja😂😂😂 heshima yenu mnachapa kazi
 
Back
Top Bottom