Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version)

Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni.

Mpaka nakutana na hii habari leo almost 25 years ago down the line.

RIP Mshkaj wangu Deo.. ulikuwa mbele ya Muda.
 
Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako walao mara moja kwa Kwaka hasa wakati wa Pasaka...(Unless kuna updated version)

Sasa tukiwa vijana wadogo kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni.

Mpaka nakutana na hii habari leo almost 25 years ago down the line.

RIP Mshkaj wangu Deo.. ulikuwa mbele ya Muda.

View attachment 3167658
Mbona ghafla sana...🤔
Inamaana umemaliza kusimulia..😶
 
Mtu na akili zako kabisa na bichwa lako unaenda KUUNGAMA kwa padre au kwa Askofu pengo?

Unapiga goti kabisa unabinua tako moja unaomba msamaha?

Hivi tumelogwa na nani?

Cc: secretarybird johnthebaptist Poor Brain
Kutoa ushuhuda kanisani ni kuungama mbele ya watu wote ikiwemo na wanaoangalia TV. Sasa sijui kipi bora, mbele ya Padri au mbele ya watu wote duniani
 
Ila Father yupo sahihi kabisaa yani ukaungame oooh nililawiti watoto saba nimetubu sasa kwahiyo uachwe hapo lazima ukalale mbele na nawakumbusha askari magereza waone vile vile na wamepooza wanyongee na wamekosa nuru wakipita huku mtaani ,

Jela ni wafalme wa dunia kabisaaa wale ingia 18 zao utaelewa
 
Hii habari haina ukweli , kanisa halija fika hapo kamwe.
Huyu padre huwa anachafuliwa sana yeye binafsi kwa sababu ya nafasi yake ya utendaji katika baraza la maaskofu katoliki, yeye anakaa nafasi ya usemaji wa maazimio, matakwa, hoja , na chochote kinacho azimiwa katika mikutano yao.
Anapojitokeza hadharani kusema wayu wengi hudhani anasema kwa niaba yake kumbe ametumwa tu, imepelekea kutukana sana na wanao guswa na kile anachokisema kwa niaba ya Maaskofu.
Kwa hio hata hii habari si ya kweli , kuungama kanisa linakichikilia hikikitendo kwa umakini sana kiasi hata kwa bunduki padre haruhusiwi kusema kile mtu amekuja kuungama kwake, la ingekua ni kinyume chake ingekuwa imetoka moja kwa moja vatikani.
 
Mtu na akili zako kabisa na bichwa lako unaenda KUUNGAMA kwa padre au kwa Askofu pengo?

Unapiga goti kabisa unabinua tako moja unaomba msamaha?

Hivi tumelogwa na nani?

Cc: secretarybird johnthebaptist Poor Brain
Wewe braza chogo ndo kwanza humu ni senior member na bado unatumia lugha chafu..
We huogopi BAN au ujafundishwa kuhusu BAN hapa jf...

Licha ya hvo nafatilia comments zako unaandika mambo ya matako matako hivo wewe umelogwa..

Blaza kuna mwenzako alikua kama wewe ila sasa kala ban huyu wa kwNza ni bichwa komwe na mwingine division four...
Sasa wewe endelea mi nakushauri kama kaka ako wa jf hapa acha matusi

Kingine una diploma ya kitu gani..?
😀😀
 
Back
Top Bottom