Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

kuungama kwa wakatoliki ni sacrament na ni sehemu ya Ibada,na haiwezi kufikia hapo kwn kabla ya maungamo kuna vazi maalum linavaliwa na padre na kuna sala maalum inasaliwa hivo haifikii sehemu ya kuwa wapelelezi wa serikali au kufanya Kaz ya
 
kuungama kwa wakatoliki ni sacrament na ni sehemu ya Ibada,na haiwezi kufikia hapo kwn kabla ya maungamo kuna vazi maalum linavaliwa na padre na kuna sala maalum inasaliwa hivo haifikii sehemu ya kuwa wapelelezi wa serikali au kufanya Kaz ya
Hizo taratibu za kijinga
Dhambi ni faragha, kumtajia binadamu mwenzako dhambi ambayo umemkosea Mungu ni kuuza uhuru na utu wako
Padre ni binadamu anaweza akaacha update akakusema, akapata ugonjwa wa akili akakusema,
Kuungama ni kujuta motoni na kuazimia kuacha na Mungu atakusamehe tu
 
Yeye Padri anaungama wapi ? Anayepokea maungamo na msamaha ni Yesu pekee. Padri sio MUNGU.
Anaungama kwa padre mwenzie, kadhalika na askofu huungama kwa padre na pope nae huungama kwa padre.
 
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.

Utamuungamia nani sasa mkuu?
Si unamuungamia uliye mkosea na Mungu tu?
 
Me ni mkatoliki ila siwezi kuungama dhambi Kwa padre
Mimi niliachia katikati baada ya tafakari nzito sana mwaka 2008 . Lakin siachi kuomba toba na Rehema mbele za mwenyezi Mungu moja kwa moja kwani wanadamu hatukosi madhaifu yanayohitaji Rehema za mwenyezi Mungu !
 
Mi labda sielewi,umebaka watoto,utaungama Mungu akusamehe ila lazima ukubali kulipia gharama ya ulichofanya.Sidhani kama hata Mungu atakuelewa kama unaenda kuungama we muuaji alafu unarudi mtaani unakula maisha.
 
Aki-report au kuelezea dhambi zako hata ziwe mbaya kiasi gani popote; m-report kwa askofu wake. Ataachishwa kazi with immediate effect.
 
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.

Utamuungamia nani sasa mkuu?

Nyinyi kwa nyinyi; naweza ungama kwa jirani? Au?
 
Mh! sidhani kama inaukweli ndani yake maana hata mtu akisema alilawiti, mkisema mumpeleke mahakamani mtathibitisha vipi..?
ukute tukio alilifanya miaka huko mtendewa anaweza asitajwe na hata kama akitajwa kupimwa ni ngumu maana muda ushapita sana hivyo ushahidi unakuwa ushapotea!.

Na hata kama muhalifu mkimpeleka mahakamani anaweza kukana!, nafikiri ni kitu kisichokuwa na nguvu labda tukio liwe na uthibitisho!.
By the way nyie katubuni tu sie tunawa zoom..😅
 
Waanzilishi wa maungamo lengo lao lilikuwa ni kufanya upelelezi....
 
Paulo nadhan alimaanisha kwa wapakwa mafuta ambao ni Mapadre na Wachungaji

Nani huwa anapaka mafuta? Mwanadamu au Mungu? Kama ni Mungu, yeyote aliyempokea kapakwa mafuta,

Siwezi ingama kwa mtu aliyempawiti mtoto wa mfagiaji wa Kanisa!
 
Sin is an imaginary disease invented to sell an imaginary cure.
Dhambi si ya kufikirika. Ukiiba, ukizini, ukiua kwa kusudi, ukisema uongo nk ni kosa kibinadamu juu ya mwenzio. Uwe na dini au la. Hapa sio cha kufikirika ni tendo ovu lisilokubalika kibinadamu. NDIO DHAMBI.
 
Ushaambiwa siri itatunzwa kwa watu wawili endapo mmoja amekufa.

Otherwise, jichanganye
 
Back
Top Bottom