Mbona ghafla sana...🤔Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako walao mara moja kwa Kwaka hasa wakati wa Pasaka...(Unless kuna updated version)
Sasa tukiwa vijana wadogo kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni.
Mpaka nakutana na hii habari leo almost 25 years ago down the line.
RIP Mshkaj wangu Deo.. ulikuwa mbele ya Muda.
View attachment 3167658
Dah hii kaliKuna padri alimpa wife list ya malaya zangu wote
Umekuwa Mkatoliki lini? Hiyo dhana ya 'kwa Padri' inaeleweka kwa Wakatoliki tu, wengine wataendelea kusema hivyo hivyo kuwa ni 'kwa Padri'Me ni mkatoliki ila siwezi kuungama dhambi Kwa padre
Kutoa ushuhuda kanisani ni kuungama mbele ya watu wote ikiwemo na wanaoangalia TV. Sasa sijui kipi bora, mbele ya Padri au mbele ya watu wote dunianiMtu na akili zako kabisa na bichwa lako unaenda KUUNGAMA kwa padre au kwa Askofu pengo?
Unapiga goti kabisa unabinua tako moja unaomba msamaha?
Hivi tumelogwa na nani?
Cc: secretarybird johnthebaptist Poor Brain
Wewe braza chogo ndo kwanza humu ni senior member na bado unatumia lugha chafu..Mtu na akili zako kabisa na bichwa lako unaenda KUUNGAMA kwa padre au kwa Askofu pengo?
Unapiga goti kabisa unabinua tako moja unaomba msamaha?
Hivi tumelogwa na nani?
Cc: secretarybird johnthebaptist Poor Brain
Swali zuri sana.Ndio mkome. Kwani Papa yeye huungama kwa nani?
Yeye Padri anaungama wapi ? Anayepokea maungamo na msamaha ni Yesu pekee. Padri sio MUNGU.Me ni mkatoliki ila siwezi kuungama dhambi Kwa padre