Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

Yes na mm niliona humu.
 
Mkuu umeme wangu ukiisha ki vipi? Na je umene huo unakua umetokea wapi?
Mita inafungwa kwny chumba chako au apartment yako katika nyumba assume ww ni mpangaji mpo na wapangaji wengine ww unafunga submeter yako unajaza token yako ya umeme kwa submeter na kupaste kwny mita kubwa ya nyumba unit zako ulizoweka zikiisha chumba chako au apartment yako umeme unazima wenzako wanadunda au wenzako ukiisha umeme unakata kwao ww unaendelea.
 
Bei zake huwa zipoje
Ninazojua mm ni tsh 180,000/= ndio zipo vizuri na zina simple operation.

Japo nasikia zipo zingine lakini unazioperate manually kwa kufanya callibration umeme ukiisha kwako zinazima ila unaweza kukopeshwa umeme kutoka mita kuu na ukaendelea kutumia hizi zinahitaji mtu msomi a layman hawezi kutumia maana inabidi huwe na app ya kugawanyia umeme na kukopesha umeme .🤔🤔🤔
 
Yes ipo hvyo hvyi
 
Sawa
 
Unalipia sh ngapi?
 
Haiwezekani kufanya bila kupita tanesco??
Wewe nae mbona hauelewi. Tanesco ni shirika mama la umeme Tanzania. Wao ndio wanahusika na kuunganisha line za umeme kitoka katika mistimu kuja katika nyumba pamoja na utoaji na ufungaji wa mita kwenye nyumba.

Kinyume na hapo, hakuna watu wengine wanaofanya kazi za tanesco.
 
Mnajidanganya sana. Sub meter lazima ipate umeme baada ya Meter ya TANESCO. Sasa meter ya TANESCO ikimaliza umeme (meter ya LUKU) hiyo submeter itapata wapi umeme.
 
Hiyo submeter inakuwa imesajiliwa TANESCO?
Nimegundua watu hawana uelewa kabisa humu kama wewe.
 
Mnajidanganya sana. Sub meter lazima ipate umeme baada ya Meter ya TANESCO. Sasa meter ya TANESCO ikimaliza umeme (meter ya LUKU) hiyo submeter itapata wapi umeme.
Ata mimi nilikuwa nawaza apa hyo technology....mimi ninavyojua mita kuu ikiisha umeme na kwako unakatika Ila units zako zinabaki vilevile ktk kifaa chako.

Ila lau kungekuwa na system ya kile kidude kujitegemea umeme,naamini ingekuwa poa sanaa...Mana hizi nyumba za kupanga changamoto Sana,mimi kuna nyumba nimepanga umeme wa 5000 tunatumia sku mbili, sometimes huwa nawaza kuna mtu anakiwanda umu ndani.
 
Kwani sub meter haitegemei mita kuu ya TANESCO? Kwamba mita kuu ikiishiwa na yenyewe inazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…