Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

Kwani sub meter haitegemei mita kuu ya TANESCO? Kwamba mita kuu ikiishiwa na yenyewe inazima?
nimetumia neno "paste" nikimaanisha vitu vinavyowasiliana .Kwa watu wa Programming au computer wanaelewa mtu anaposema una paste code kutoka device moja kwa nyingine maana yake there is mutual communication between two devices.

Baada ya pasting wakati wa kuweka token inamaana Mita kuu inaambiwa kwamba iache amount ya umeme ya submeter fulani let say submeter X incase umeme wa watumiaji wengine ukiisha utakaobaki kwa mita kuu na ukasomwa ni wa submeter X
 
Huduma hii imeanza link kma IPO kweli itakuwa mkombozi maana hta ukinunua hyo mita cku ukihama unahama nayo tu
 

Hiyo submeter inakuwa imesajiliwa TANESCO?
Nimegundua watu hawana uelewa kabisa humu kama wewe.
Jana tu nimetoka kumfungia mpangaji wangu ww ndio unahitaji kuelimishwa coz inawezekana unasikia story tu ila mm ni fundi umeme by passion,engineer by proffesion .

Unaongea vitu vya kwny madesa wakati wenzako tuliacha madesa longtime now tupo kwny practical life.Inawezekana swali lako likawa la kijinga .
 
Huduma hii imeanza link kma IPO kweli itakuwa mkombozi maana hta ukinunua hyo mita cku ukihama unahama nayo tu
Hii nimemfungia mwenyewe jana mpangaji wangu jana ,kazi yake ni kuhesabu unit ila nimekonekt kwny switch ambayo naweza kuzima umeme chumbani kwake nikiwa chumbani kwangu km unit zake zitaisha.Kulia ni switch ipo chumbani kwngu nyumba ya pili inazima vyumba vya wapangaji kimoja kimoja.

Hizi ni separating mita za elfu 25 ,switch elfu 40k.

Zipo automatic ndio 180k
 

Attachments

  • 16096588459081834591519.jpg
    153.1 KB · Views: 58
  • 16096590607051464699458.jpg
    130.5 KB · Views: 57
Hiyo mita kuu ina support vipi 'pasting' kutoka sub- meter hapo pagumu kidogo!
 
Hivi wewe unatufanya sisi wajinga sio?! Tunazungumzia mita ya tanesco ile yenye network sio hizi submeter za kusoma units tu....
 
Wewe sasa haujamuelewa mleta uzi. Mwenzako anaongolea ile mita kubwa ambayo unaingizia umeme mwenyewe.

Sio hizi zinazosoma units za matumizi kutoka kwenye mita kubwa. Kwa kifupi zile mita zinasambazwa na tanesco tu, na hata ukipata ya magumashi, utajiunganishaje line kutoka kwenye nguzo za tanesco?!
 
Umeme wa buku 5 ni kama units 18 hivi, assume mko wapangaji 4 na mna TV, pasi, friji, radio/sub ufa etc kwa nini zisiishe?

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…