Unasafiri 'kikazi' na ulalamikie 5000 ya chakula, wewe ni FUTUHI tu.Tumia akili.
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.
Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.
Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
Inshu Sio msosi, madereva wanalipwa kati ya sh 15000 hadi 30000 inategemea na hotel.kila akileta abiaria na timu yake Kula buresijawai ona hotel ya hadhi ya juu barabara zote za mkoa ambapo magari husimama kwa ajili ya vyakula ni upigaji tu wa madereva ili wapewe msosi wa bure
Hii inaitwa ''unoko standard''inawezekana hivi vihotel vya barabarani vinamilikiwa na wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wao. haiwezekani unakuta msikaki wa vipande vitatu tu vidogo unauzwa 1000 kwenye kihoteli kichafu, watu wanakula karibu kabisa na vyoo, serikali za mikoa na wilaya zipo zinaangalia tu.
wachukue hatua. chakula kinauzwa mazingira machafu kwa bei ghali sawa na hoteli za kitalii huku wataalamu wa afya ya jamii wapo wanalipwa mishahara tu nao wakuu wa mikoa na wilaya wanaona tu hawachukui hatuaHii inaitwa ''unoko standard''
Hiyo sio solution unadhani kila mmoja akifanya hivyo uchumi wa Nchi itakuwa?? Mamlaka husika zinatakiwa zifanye kazi.Mbona hili jambo kila siku linajadiliwa humu, mwisho juzi thread kama hii ilikuwemo humu.
Suluhisho ni moja tu, beba kiporo chako cha ubwabwa na ndondo usafiri nacho kama ukiona humudu gharama za chakula humo barabarani. Uzuri ni kwamba hushurtishwi kununua hicho chakula ni hiari yako.
Ni dunia huru chief. Wewe fikiria uchumi wa nchi acha wenye ukomo wa upeo wafikirie uchumi wa mifuko yao. Na hiyo hasa ndio hadhira lengwa ya comment yangu.Hiyo sio solution unadhani kila mmoja akifanya hivyo uchumi wa Nchi itakuwa?? Mamlaka husika zinatakiwa zifanye kazi.
Beba msosi wako kutoka nyumbani kwako wa kula safarini.ndiyo njia pekee ya kuwakomoa hawa.Hili janga ni kama limerejea tena kwa speed ya kasi mnooo fikiria unapokuwa safarini sahani ya wali maharage unanunu kwa 4000, wali nyama. 5000, kuku robo ni 10,000, Chaji ya rangi 1000.
Kuwa msafiri sio kuwa kosa la kulanguliwa vitu bei juu au ndio kusema na wao wameathiriwa na vita vya Ukraine?
Tumekupata bana kobaazTumia akili.
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.
Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.
Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
Mtandikiwe tu pia mikeka hadharani mswali kuwaringishia watu nyinyi ni watu wa diniTumia akili.
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.
Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.
Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
Na beer za bure.Sisi wasafiri wa ndege tunauziwa chai na mkate shs 50,000/=
Watu waache ubuge safarini wawe na nidhamuHili janga ni kama limerejea tena kwa speed ya kasi mnooo fikiria unapokuwa safarini sahani ya wali maharage unanunu kwa 4000, wali nyama. 5000, kuku robo ni 10,000, Chaji ya rangi 1000.
Kuwa msafiri sio kuwa kosa la kulanguliwa vitu bei juu au ndio kusema na wao wameathiriwa na vita vya Ukraine?
vitu vimepanda bei kama ni hivyo msilalamike kuleni au mfunge, mbona kwa pisi huwa mnatuma ya safari nayakutolea hamulalamikiTumia akili.
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.
Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.
Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
kweli wabongo watu waajabu kabisa hao ndo sawa na wale wakuagiza chakula cha elf10 lakini safarini anaona taabu kulipia choo cha mia mbili yuko radhi kukaa na mafi hadi mwisho wa safari aingie choo cha bureUnasafiri 'kikazi' na ulalamikie 5000 ya chakula, wewe ni FUTUHI tu.
Waambie haoShida ya wabongo tunapenda sana kula safarini, safari fupi tu ya Dar -Moshi/Dodoma/Iringa mtu anataka ale nyama choma kuku/mbuzi.! Wakati unaweza kukausha tu ukafika kwako ukapika ugali maharage ukashiba bila gharama
kabisa yani 😀[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kweli shida ya nini,
Kama vitu gharama bora ubebe poti lako usisumbue watu Mambo ni mengi