UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
- Thread starter
- #41
Jamaa alitupiga na kitu kizito kichwani.Wamakonde wa mtwara hawana hamu naye. Aliyegawa gesi yetu atakuwa na lipi la kushauri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alitupiga na kitu kizito kichwani.Wamakonde wa mtwara hawana hamu naye. Aliyegawa gesi yetu atakuwa na lipi la kushauri?
Nakwazika sana mtu akitoa maoni kama haya,ni maoni ya kinyonge na ya kukata tamaa,naamini sana kwenye nguvu ya umma ndo yanaweza kuleta mabadiliko na mambo ya kumwachia MunguDamu ya watanzania itadaiwa juu yake na uzao wake
Kuna mambo sisi wananchi tunaweza kulaumu sana, ila hatujui sababu na undani wake. Yawezekana tunalaumi kuwa Tanzania hatuna ujasusi wa kiuchumi, ila tunapozifanyia kazi taarifa za kijasusu tunarudi kwenye kulalamika tena. Je tukiambiwa kuwa, tusipowakubalia DP World hapa watakwenda kuwekeza Maputo msumbiji na bandari ya Dar ndio itakufa kabisa, je itakuwa ni habari njema kwetu? Sitetei hili, Mimi na watanzania wenzangu letu ni Moja. Ila kwenye kujadili twendeni taratibu bila maneno makali, matusi na kebehi maana yawezekana Hawa tunaowatukana ndio wako kwenye hatua za kulisaisaidia Taifa. Mimi pia mwanzo nilihamaki, ila Kuna sauti inaniambia niwe mpole pengine hili linafanyika kwa Nia nzuri. ILA KAMA KUNA VIPENGELE VIBOVU VIWEKWE SAWA AU VIONDOLEWE KABISA.Ndugu zangu watanzania wenzangu,
Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba wa kisen** unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu.
Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake?
Mimi binafsi sijasikia akisema chochote juu ya sakata hili. Ina maana yeye halimgusi, au halimhusu?
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye taswira au kioo cha ccm kwa sasa. Yeye anasimama kwenye nafasi ya Baba wa taifa mwl Nyerere, na pia mwanamapinduzi John Pombe Magufuli; anayo nafasi kubwa ya kuonyesha njia kwetu kama taifa kujua kule tunakoelekea.
Swali langu: Je, kuna mtu amesikia sauti ya JK juu ya hili? Amesimama upande gani?
Je, anasubiri tuuzwe kwanza kwa waarabu ndipo ajitokeze?
Napenda nimpe taarifa: asiposimama sasa kukemea na kuitetea nchi yake (Tanganyika/Tanzania), damu ya watanzania itadaiwa mikononi mwake na uzao wake daima milele.
Aliyesikia kauli ya kikwete atujuze.
Pasco na yeye mchumiaaaHv PASCO na ujanja wako woote wa mjini kweli haujui ilieko nyuma ya hili gem! Ama unapotezea tu kimtindo.
MkuuHamna kitu kitafanyika bila baraka za JK
Ulipo mgusia PK ndio umenileta kwenye picha mkuu! Ile ziara ile[emoji848] pia PK nae ni MUUMINI wa DP WORLDNo Mkuu!nafsi yangu inasema no jk kwenye hilo hayumo ni Mama,pk na waarabu na mashirika ya kijasusi ya nje mama akitaka kuungwa mkono na hayo mashirika ya kijasusi!!
Jk hawezi injinia huu Mpango halafu kijana wa pk aje kia ceo wa kampuni hiyo TZ never!!
Hii ni gem nyingine!!
Fuatilia body language ya mama na jk pale Dom wakati wa uzinduzi wa IKULU you can smell the rotten rat!!
Mkuu
Ungeanza na hayati JPM kwani yeye ndio kiini cha hii biashara ya DP World, mwaka 2015 alipojenga SGR akawa ametengeneza mazingira ya kuwezekana kufanyika kwa makubaliano ya kibiashara baina ya pande mbili.Ndugu zangu watanzania wenzangu,
Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba wa kisen** unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu.
Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake?
Mimi binafsi sijasikia akisema chochote juu ya sakata hili. Ina maana yeye halimgusi, au halimhusu?
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye taswira au kioo cha ccm kwa sasa. Yeye anasimama kwenye nafasi ya Baba wa taifa mwl Nyerere, na pia mwanamapinduzi John Pombe Magufuli; anayo nafasi kubwa ya kuonyesha njia kwetu kama taifa kujua kule tunakoelekea.
Swali langu: Je, kuna mtu amesikia sauti ya JK juu ya hili? Amesimama upande gani?
Je, anasubiri tuuzwe kwanza kwa waarabu ndipo ajitokeze?
Napenda nimpe taarifa: asiposimama sasa kukemea na kuitetea nchi yake (Tanganyika/Tanzania), damu ya watanzania itadaiwa mikononi mwake na uzao wake daima milele.
Aliyesikia kauli ya kikwete atujuze.
No Mkuu!nafsi yangu inasema no jk kwenye hilo hayumo ni Mama,pk na waarabu na mashirika ya kijasusi ya nje mama akitaka kuungwa mkono na hayo mashirika ya kijasusi!!
Jk hawezi injinia huu Mpango halafu kijana wa pk aje kia ceo wa kampuni hiyo TZ never!!
Hii ni gem nyingine!!
Fuatilia body language ya mama na jk pale Dom wakati wa uzinduzi wa IKULU you can smell the rotten rat!!
Mkuu
No. Moja ajaye Mungu akubariki. Kwa hakika tunacheza mdundo mmoja. Hii inaweza kuwa ni game changer.No Mkuu!nafsi yangu inasema no jk kwenye hilo hayumo ni Mama,pk na waarabu na mashirika ya kijasusi ya nje mama akitaka kuungwa mkono na hayo mashirika ya kijasusi!!
Jk hawezi injinia huu Mpango halafu kijana wa pk aje kia ceo wa kampuni hiyo TZ never!!
Hii ni gem nyingine!!
Fuatilia body language ya mama na jk pale Dom wakati wa uzinduzi wa IKULU you can smell the rotten rat!!
Mkuu
Bwashee tupe ushahidi basi kuthibitisha kuwa haya ni matokeo ya maamuzi magumu ya JPM.Ungeanza na hayati JPM kwani yeye ndio kiini cha hii biashara ya DP World, mwaka 2015 alipojenga SGR akawa ametengeneza mazingira ya kuwezekana kufanyika kwa makubaliano ya kibiashara baina ya pande mbili.
Tunapenda kumhusianisha JK na SSH bila hata ya kuwa na uelewa mpana wa nani haswa aliyekuwa nyuma ya maamuzi mazito. JPM tulipenda kumuita kiongozi mwenye maamuzi magumu.
Kwa taarifa tu huu mradi ni matokeo ya maamuzi magumu na ujasiri wa hayati JPM.
Nani kakudanganya haumizi watu huyo?Siku hz habari haiwi habari bila kumtukana jk.
Ee Mungu, nijaalie moyo wa kijasiri uliojaa subra na uvumilivu kama wa jk niweze kuyakabila ya dunia hii ovu bila ya kuwaumiza wanaokesha kwa ajili ya kuniumiza!
Magufuli kila alichofanya mlijielekeza kwingine kabisa na lengo la alichokifanya. 2015 alipoanza ujenzi wa SGR watu walikuja na kejeli kumbe ule ulikuwa ni mwanzo wa kujenga mazingira ya kuuwezesha huu mradi mkubwa wa DP World.Bwashee tupe ushahidi basi kuthibitisha kuwa haya ni matokeo ya maamuzi magumu ya JPM.
Huna nyimbo wewe unapiga porojo tu.Magufuli kila alichofanya mlijielekeza kwingine kabisa na lengo la alichokifanya. 2015 alipoanza ujenzi wa SGR watu walikuja na kejeli kumbe ule ulikuwa ni mwanzo wa kujenga mazingira ya kuuwezesha huu mradi mkubwa wa DP World.
Porojo mbaya ni zile wanazokuja nazo hao wanaosema nchi imeuzwa na hawana ushahidi wa aina yoyote ule wa mauzo.Huna nyimbo wewe unapiga porojo tu.