Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

Kuvaa hijabu ni amri ya Mwenyezi Mungu kwa wanawake wote wa Kiislamu. Na hii inawasidia wenyewe wasiudhiwe hasa kutokana na maungo yao kuwa ya kuvutia kwa hivyo wakijisitiri hawapati usumbufu.
Haya mavazi ndio hayo hayo aliyoyavaa Mama yake Issa/Yesu (Yaani Mariamu) na ndivyo wanavyo vyaa masista wa katoliki.

QURAN 33: 59
" Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wanawake waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo kutafanya watambulikane (kuwa ni wenye kujiheshimu) wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."
The 1995 Beijing Women's Conference.

The Beijing Declaration was made during the Fourth World Conference on Women convened by the United Nations during 4 -1 5 September 1995 in Beijing, China.

Chanzo ndio hicho hapo mkuu 50/50 usawa wa kijinsia

Ukivaa suruali na yeye muache avae

Ukinyoa kiduku na yeye muache anyoe kiduku

Ukitembea kifua wazi muache na yeye atembee kifua wazi

It's all about gender equity n gender equality

Ushaelewa
 
Matukio ya unyanyasaji wa kijinsia na kingono yanatokana na wanawake kutembea uchi, si kila mwanaume anaweza kudhibiti mihemko yake pindi auonapo uchi wa mwanamke.

Uislam ni complete package, una maelekezo toka mtu anazaliwa mpaka pale anaporudi mavumbini katika asili yake.
 
Back to the topic Beijing Women's Conference 1995
 
Na uchi wa mwanaume ni baina ya kitovu na magoti, so mwanaume unatakiwa ufunike maeneo hayo.
😂😂😂 Yaan hapo tu ndio kuna uchi wa mwanaume ila uchi wa mwanamke matiti chuchu dede kasima pekeake, midomo lips km lips, nyuchi km nyuchi kitu mbususu, mattercall km mattercall amejaaaziajazia nyuma kubeba mzigo wa kuni yaan eenhe hivyo yaan au nmewaza kwa sauti?
 
Wewe nawe uliambiwa Mungu alipo umba kulikuwa na kiwanda cha majinzi? Watu walifunikwa utukufu.(kumaanisha mioyo ilikuwa safi hakuna tamaa za kijinga.) Sasa unakuta mtu kavaa hijabu soksi nyeusi miwani myeusi na gloves ila ukimfuatilia wazee wamesha mla kisamvu huo ni unafiki
Vaeni nusu uchi wakristo, hili mapadri wenu wasipate tabu wakitaka kuwapelekea paipu
 
Duniani tunaishi kwa taratibu fulani tulizojiwekea au zilizowekwa kulingana na mahitaji au kukidhi madhumuni fulani.

Taratibu hizi zinaweza kubadilika kulingana na mahitaji ya wakati husika.
Lakini pia taratibu zinaweza kutofautiana baina ya eneo moja na jingine, tamaduni moja na nyingine, n.k

Kwa ambao dini yao inawalazimisha kuvaa mavazi ya aina fulani, acha wafuate taratibu hizo kwa mujibu wa dini yao.

Wale ambao dini haiwalazimishi kuenenda katika namna hiyo, acha wasiyafanye hayo.

Kinacholeta fujo na machafuko duniani ni kujaribu kulazimishana kufuata mfumo fulani mahsusi wa maisha.

Mungu yeye hana baya, alitoa haki kamili ya mtu kujichagulia namna ya kuishi, na kuwa tayari kwa matokeo (consequences) za chaguo hilo.

Dunia ngumu sana hii.
Sawa kabisa kila mmoja afuate dini yake na utashi wake. Ila kwa mfano huko Iran kila mwanamke anatakiwa kuvaa kama ni dini yake au la. Pia hatakiwi kubadilisha dini yake akiona haamini tena. Hapo chanzo cha vurugo tunaosikia kutoka Irani siku hizi.
 
Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na nywele fupi kutokana na umuhimu wake na sababu zake. Mfano, Mungu amekifunika kichwa cha kila mtu kwa nywele ndefu bila kujali jinsia yake, kabila wala dini yake, Mungu akakifunika kinena cha kila mtu aliyebalehe kwa nywele ndefu tunazoziita mav*zi. Hakuishia hapo akakifunika kidevu na kifua cha mwanaume kwa nywele ndefu pia kwa sababu zake mungu mwenyewe. Hakuishia hapo akaifunika ngozi ya mwili ya watu wote kwa nywele fupi tunazoziita malaika kwa sababu zake pia, akatupa pia nyusi, kope na nyweli puani bila ya kumuomba. Hivyo kila nywele ilikuwa na sababu yake na ilitosha kabisa kuifanya kazi iliyokusudiwa kufunikwa na kukingwa. Hii ni kuonyesha kuwa Mungu anayajuwa mahitaji yetu yooote.

Ni nani ambae hataki kumuona mwanamke ambae asiyefunika nywele zake? Je, ni mwanamke mwenyewe kwa sababu zipi? Je, ni mwanaume kwa sababu zipi na je, ni Mungu aliyetufanya tuzaliwa uchi lakini akatufunika kwa nywele kwa sababu zipi?

Utafiti wangu kwenye hili ni kwamba, sio Mungu anaetaka wanawake wavae Hijab bali ni wanaume tu kwa sababu ya wivu na kujifanya kuwa wao ni dhaifu kwa kutazama tu nywele, matiti, mapaja na vitovu vya wanawake wakasahau kuwa Mungu angetaka asingeshindwa kuwafanya wanawake wazaliwe wakiwa na hijab tayari. Tuache ujinga wa kuwadhulumu wanawake kwa kujificha kwenye kichaka cha dini. Nini sio Hijab wala nywele za mtu.

Ona haya mauaji na maandamano ya kijinga kabisa, eti msichana hakuvaa hijab.

Ulizaliwa ukiwa uchi unasubiri Nini maana inaonyesha umeshafanya maandali utakuwa umeshafuga mavuzi ya kutosha ili kufinika uchi wako Anza kutembea hivyo tutakula big up na like za kutosha
 
Hapa ndipo nilipoona ujinga wako Kavulata. Inaonesha hujui chochote kuhusu Uislam. Ungekuwa unafahamu kuhusu Uislam usingeandika hivi. Ungekuwa unajua kuwa katika Uislam mbora ni yule MchaMungu usingeandika hivyo.

يَـٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَـٰكُم مِّن ذَكَرٍۢ وَأُنثَىٰ وَجَعَلْنَـٰكُمْ شُعُوبًۭا وَقَبَآئِلَ لِتَعَارَفُوٓا۟ ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ ٱللَّهِ أَتْقَىٰكُمْ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌۭ ١٣

O humanity! Indeed, We created you from a male and a female, and made you into peoples and tribes so that you may ˹get to˺ know one another. Surely the most noble of you in the sight of Allah is the most righteous among you. Allah is truly All-Knowing, All-Aware.1 (Qur'an 49:13)

Ungekuwa unajua kuwa katika Uislam hakuna ubora wa Mwarabu juu ya asiyekuwa Mwarabu, au Asiye Muarabu juu ya Muarabu, wala hakuna ubora wa Mweupe juu ya Mweusi wala Mweusi juu ya Mweupe isipokuwa UchaMungu, usingeandika hivyo.

Abu Nadrah reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:

Ungekuwa unajua kuwa "Miji haitakasi watu", kuwa Abu Jahl, Utba bin Rabi'ah, Walid bin Mughirah, Umayyah ibn Khalaf na wenzao walikuwa Maquraish wakiishi karibu na Ka'abah lakini walimkataa Mtume na kufa katika Ushirikina hivyo kuishi kwao Makkah hakutowafaa kitu, ungekuwa unajua hilo usingeandika hivi. Ungekuwa unajua kuwa Abu Lahab, baba yake mdogo Mtume (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam), ataingia motoni tena alibashiriwa Moto katika Qur'an, usingeandika hivyo. Ungekuwa umesoma na kuifahamu kisha kuitafakari Sura hii ya Qur'an, nadhani wala usingeandika hayo;

1.Surat Al-Masad

Imeshuka MakkaIna aya 5

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 1

2. Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 2

3. Atauingia Moto wenye mwako. 3

4. Na mkewe, mchukuzi wa kuni, 4

5. Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 5

Ungekuwa umesoma Hadith hii ifuatayo, Wala usingeandika maneno yako hayo.

عَنْ أَنَسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ أَنَّ رَجُلا قَالَ : يَا رَسُولَ اللَّهِ ، أَيْنَ أَبِي ؟ قَالَ: ((فِي النَّارِ)) فَلَمَّا قَفَّى دَعَاهُ ، فَقَالَ: ((إِنَّ أَبِي وَأَبَاكَ فِي النَّار)) مسلم

Kutoka Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Ewe Mjumbe wa Allaah, baba yangu yuko wapi? Akasema: ((Motoni)). Alipogeuka akamwita kisha akamwambia: ((Baba yangu na baba yako wako motoni)) [Muslim]

Ushawahi kumsoma Bilal ibn Rabah (Radhiya Allahu 'Anhu)?

Fahamu, kuwa ubora wa watu utakuja kwa kule kushikamana na dini hii ya Allah kama alivyoifundisha Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) juu ya ufahamu wa Sahaba zake (Radhiya Allahu 'Anhum) ambao walimuamini Mtume kwanza kuliko watu wengine waliofuatia, wakachukua mafundisho yake moja kwa moja na wao ndio wakaisambaza dini na wakawazidi wengine katika Ummah huu kwa UchaMungu wao na kule kumnusuru kwao Mtume.

Hivyo huyo Akhi uliyemnukuu huenda akawa bora zaidi kuliko hao mabinti wa Iran hata kama , kama unavyodai, wanakaribiana zaidi kinasaba na Mtume. Si ajabu ukakuta wengi wao hapo ni Mashia, wajinga wasiofahamu dini, Masekula ambao hawataki dini kabisa (wakiwemo Atheists) na wengine huenda wakawa ni Majusi (Zoroastrians) au Waislam maasi, jambo ambalo haliwafanyi kuwa bora.

Na Allah anajua zaidi.
Babu yangu alikuwa mganga, lakini uganga wake sio pale nyumbani kwake, pale kijijini kwetu alikuwa haagui na sisi alikuwa hatuagui hata tukiumwa. Uganga wake alikuwa anaufanyia hukooo wilaya na mikoa ya mbali. Huyu alikuwa mganga au tapeli? Charlity begins at home.
 
Ni dini gani iliyojenga viwanda vya kutengeneza Hijab, kanzu, suti au majuba? Mungu alitosha, anatosha na atatosha hata kesho, mavazi sio dini, hayatengenezwi na dini na wala hayatoki mwa mungu na hutaenda peponi kwa mavazi tu. Tunawaonea wanawake kwanini? Mbona wanaume nao wanatembe vichwa, vifua na mabaya vikiwa wazi? mbona wanawake hawahoji?
Ona jinga ili! [emoji23].
 
Babu yangu alikuwa mganga, lakini uganga wake sio pale nyumbani kwake, pale kijijini kwetu alikuwa haagui na sisi alikuwa hatuagui hata tukiumwa. Uganga wake alikuwa anaufanyia hukooo wilaya na mikoa ya mbali. Huyu alikuwa mganga au tapeli? Charlity begins at home.
Mfano wako wa uganga hauendani na Utume wa Mtume (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam). Mtume alipopewa Utume watu wa kwanza ambao alianza kuwalingania ni jamaa zake wa karibu. Alikuwa ni kheri kubwa kwao sababu ujio wake kwao ulikuwa ni Rahma. Ila sasa wapo waliomkataa na walipomkataa kule kuwa nae karibu kinasaba hakukuwafaa chochote. Kheri ilikuwa kwa wale jamaa zake wa karibu waliomfuata. Hivyo Mtume alianza kwa jamaa zake wa karibu (alianza nyumbani), wale waliomuamini ndio wakapata faida na kule kuwa kwao karibu na Mtume kinasaba ndio kukawafaa na kuwaongezea ubora. Ila waliomkataa na wale waliokufa katika Ushirkina, hao hakutawafaa kitu kule kuwa kwao karibu kinasaba na Mtume.

Mtume yeye ni Mjumbe tu wa Allah na Mbora wa Mitume na Manabii wote na Viumbe vyote. Hakuwa anafanya chochote kwa matamanio yake. Ubora wa watu wake wa karibu na wengine ukawekwa katika kuukubali Ujumbe wake aliopewa na Allah, na kumfuata yeye;

25_56.gif

56. Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji. 56

25_57.gif

57. Sema: Sikukuombeni ujira juu yake; ila atakaye na ashike njia iendayo kwa Mola wake Mlezi. 57

(Qur'an 25 : 56-57)

21_107.gif

107. Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote. 107
(Qur'an 21:107)

Sahih al-Bukhari 6482
Narrated Abu Musa:
Allah's Messenger (ﷺ) said. "My example and the example of the message with which Allah has sent me is like that of a man who came to some people and said, "I have seen with my own eyes the enemy forces, and I am a naked warner (to you) so save yourself, save yourself! A group of them obeyed him and went out at night, slowly and stealthily and were safe, while another group did not believe him and thus the army took them in the morning and destroyed them."

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ الْعَلاَءِ، حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، عَنْ بُرَيْدِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ أَبِي بُرْدَةَ، عَنْ أَبِي بُرْدَةَ، عَنْ أَبِي مُوسَى، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ مَثَلِي وَمَثَلُ مَا بَعَثَنِي اللَّهُ كَمَثَلِ رَجُلٍ أَتَى قَوْمًا فَقَالَ رَأَيْتُ الْجَيْشَ بِعَيْنَىَّ، وَإِنِّي أَنَا النَّذِيرُ الْعُرْيَانُ فَالنَّجَا النَّجَاءَ‏.‏ فَأَطَاعَتْهُ طَائِفَةٌ فَأَدْلَجُوا عَلَى مَهْلِهِمْ فَنَجَوْا، وَكَذَّبَتْهُ طَائِفَةٌ فَصَبَّحَهُمُ الْجَيْشُ فَاجْتَاحَهُمْ ‏"‏‏.‏

Reference: Sahih al-Bukhari 6482
In-book reference: Book 81, Hadith 71
USC-MSA web (English) reference: Vol. 8, Book 76, Hadith 489
(deprecated numbering scheme)

Sahih al-Bukhari 6483
Narrated Abu Huraira:
I heard Allah's Messenger (ﷺ) saying, "My example and the example of the people is that of a man who made a fire, and when it lighted what was around it, Moths and other insects started falling into the fire. The man tried (his best) to prevent them, (from falling in the fire) but they overpowered him and rushed into the fire. The Prophet (ﷺ) added: Now, similarly, I take hold of the knots at your waist (belts) to prevent you from falling into the Fire, but you insist on falling into it."

حَدَّثَنَا أَبُو الْيَمَانِ، أَخْبَرَنَا شُعَيْبٌ، حَدَّثَنَا أَبُو الزِّنَادِ، عَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، أَنَّهُ حَدَّثَهُ أَنَّهُ، سَمِعَ أَبَا هُرَيْرَةَ ـ رضى الله عنه ـ أَنَّهُ سَمِعَ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ ‏ "‏ إِنَّمَا مَثَلِي وَمَثَلُ النَّاسِ كَمَثَلِ رَجُلٍ اسْتَوْقَدَ نَارًا، فَلَمَّا أَضَاءَتْ مَا حَوْلَهُ جَعَلَ الْفَرَاشُ وَهَذِهِ الدَّوَابُّ الَّتِي تَقَعُ فِي النَّارِ يَقَعْنَ فِيهَا، فَجَعَلَ يَنْزِعُهُنَّ وَيَغْلِبْنَهُ فَيَقْتَحِمْنَ فِيهَا، فَأَنَا آخُذُ بِحُجَزِكُمْ عَنِ النَّارِ، وَأَنْتُمْ تَقْتَحِمُونَ فِيهَا ‏"‏‏.‏

Reference: Sahih al-Bukhari 6483
In-book reference: Book 81, Hadith 72
USC-MSA web (English) reference: Vol. 8, Book 76, Hadith 490
(deprecated numbering scheme)

Kisai

Allah anajua zaidi
 
We ushapigwa muhuri wa ukafiri bakia hukohuko kwa watembea uchi wenzio
Ha...ha...ha

Si nipe hiyo Aya ndani ya Qurani inayosema mwanamke wa Kiislamu ajifunike Hijabu sehemu zinazo lazimishwa kufunikwa.

Maneno matupu hayana maana.
 
Mfano wako wa uganga hauendani na Utume wa Mtume (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam). Mtume alipopewa Utume watu wa kwanza ambao alianza kuwalingania ni jamaa zake wa karibu. Alikuwa ni kheri kubwa kwao sababu ujio wake kwao ulikuwa ni Rahma. Ila sasa wapo waliomkataa na walipomkataa kule kuwa nae karibu kinasaba hakukuwafaa chochote. Kheri ilikuwa kwa wale jamaa zake wa karibu waliomfuata. Hivyo Mtume alianza kwa jamaa zake wa karibu (alianza nyumbani), wale waliomuamini ndio wakapata faida na kule kuwa kwao karibu na Mtume kinasaba ndio kukawafaa na kuwaongezea ubora. Ila waliomkataa na wale waliokufa katika Ushirkina, hao hakutawafaa kitu kule kuwa kwao karibu kinasaba na Mtume.

Mtume yeye ni Mjumbe tu wa Allah na Mbora wa Mitume na Manabii wote na Viumbe vyote. Hakuwa anafanya chochote kwa matamanio yake. Ubora wa watu wake wa karibu na wengine ukawekwa katika kuukubali Ujumbe wake aliopewa na Allah, na kumfuata yeye.

Kisai

Allah anajua zaidi
Yaani Muhammadi ndio mbora wa mitume.
Mbora kwa jambo lipi zuri na jipya, liweke hapa moja tu.
 
Hapa ndipo nilipoona ujinga wako Kavulata. Inaonesha hujui chochote kuhusu Uislam. Ungekuwa unafahamu kuhusu Uislam usingeandika hivi. Ungekuwa unajua kuwa katika Uislam mbora ni yule MchaMungu usingeandika hivyo.

يَـٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَـٰكُم مِّن ذَكَرٍۢ وَأُنثَىٰ وَجَعَلْنَـٰكُمْ شُعُوبًۭا وَقَبَآئِلَ لِتَعَارَفُوٓا۟ ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ ٱللَّهِ أَتْقَىٰكُمْ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌۭ ١٣

O humanity! Indeed, We created you from a male and a female, and made you into peoples and tribes so that you may ˹get to˺ know one another. Surely the most noble of you in the sight of Allah is the most righteous among you. Allah is truly All-Knowing, All-Aware.1 (Qur'an 49:13)

Ungekuwa unajua kuwa katika Uislam hakuna ubora wa Mwarabu juu ya asiyekuwa Mwarabu, au Asiye Muarabu juu ya Muarabu, wala hakuna ubora wa Mweupe juu ya Mweusi wala Mweusi juu ya Mweupe isipokuwa UchaMungu, usingeandika hivyo.

Abu Nadrah reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:

Ungekuwa unajua kuwa "Miji haitakasi watu", kuwa Abu Jahl, Utba bin Rabi'ah, Walid bin Mughirah, Umayyah ibn Khalaf na wenzao walikuwa Maquraish wakiishi karibu na Ka'abah lakini walimkataa Mtume na kufa katika Ushirikina hivyo kuishi kwao Makkah hakutowafaa kitu, ungekuwa unajua hilo usingeandika hivi. Ungekuwa unajua kuwa Abu Lahab, baba yake mdogo Mtume (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam), ataingia motoni tena alibashiriwa Moto katika Qur'an, usingeandika hivyo. Ungekuwa umesoma na kuifahamu kisha kuitafakari Sura hii ya Qur'an, nadhani wala usingeandika hayo;

1.Surat Al-Masad

Imeshuka MakkaIna aya 5

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 1

2. Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 2

3. Atauingia Moto wenye mwako. 3

4. Na mkewe, mchukuzi wa kuni, 4

5. Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 5

Ungekuwa umesoma Hadith hii ifuatayo, Wala usingeandika maneno yako hayo.

عَنْ أَنَسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ أَنَّ رَجُلا قَالَ : يَا رَسُولَ اللَّهِ ، أَيْنَ أَبِي ؟ قَالَ: ((فِي النَّارِ)) فَلَمَّا قَفَّى دَعَاهُ ، فَقَالَ: ((إِنَّ أَبِي وَأَبَاكَ فِي النَّار)) مسلم

Kutoka Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Ewe Mjumbe wa Allaah, baba yangu yuko wapi? Akasema: ((Motoni)). Alipogeuka akamwita kisha akamwambia: ((Baba yangu na baba yako wako motoni)) [Muslim]

Ushawahi kumsoma Bilal ibn Rabah (Radhiya Allahu 'Anhu)?

Fahamu, kuwa ubora wa watu utakuja kwa kule kushikamana na dini hii ya Allah kama alivyoifundisha Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) juu ya ufahamu wa Sahaba zake (Radhiya Allahu 'Anhum) ambao walimuamini Mtume kwanza kuliko watu wengine waliofuatia, wakachukua mafundisho yake moja kwa moja na wao ndio wakaisambaza dini na wakawazidi wengine katika Ummah huu kwa UchaMungu wao na kule kumnusuru kwao Mtume.

Hivyo huyo Akhi uliyemnukuu huenda akawa bora zaidi kuliko hao mabinti wa Iran hata kama , kama unavyodai, wanakaribiana zaidi kinasaba na Mtume. Si ajabu ukakuta wengi wao hapo ni Mashia, wajinga wasiofahamu dini, Masekula ambao hawataki dini kabisa (wakiwemo Atheists) na wengine huenda wakawa ni Majusi (Zoroastrians) au Waislam maasi, jambo ambalo haliwafanyi kuwa bora.

Na Allah anajua zaidi.
Usippteze nguvu zako kumpigia mbuzi gitaa, huyo hajaja hapa kuelimishwa bali kukosoa na kupotosha. Hata umpe aya na maneno gani hawezi kuonesha kuelewa, atalazimisha watu waamini chuki zake ndiyo kweli.
 
Kila mtu kaumbwa na Mungu na kuzaliwa peke yake, hivyo kazi ya kumuamini, kumshukuru na kumuabudu ni jambo na kazi binafsi pia. Kusimangana, kupigana na kushurutishana juu ya Mungu sio sawa na sio jukumu la mtu mwingine. Ndio maana Mungu akasema atamheremu na kumuokoa yule amtakae. Na hajasema huyo atakaeokolewa atakuwa ana sifa gani, kavaaje au anaabuduje,
Point.
 
lakini mbona huwa mwajibu kwa jazba na matusi mkiulizwa maswali magumu?

je kuna aya in quran inaamrisha wanawake wavae hayo mabaibui na kufunika nywele?
Wala tusiende mballi sana kuna mstari katika kitabu chenu unaozungumzia hilo!11
Nyie amuuooni kwa vile hamna mamlaka ya kufunua kitabu mpaka pastor awaamrishe mfungue wapi na wapi.
pitia

1 Wakorintho 11:5​

Japokuwa kila kitu kiliwekwa wazi ila mmelifanya andiko kuwa limepitwa na wakati.
 
Marekani anazidi kuwachokonoa waislamu , huku anampelekea Moto Putin , Irani naye yupo under hot soups, [emoji16][emoji16][emoji16] badae atamfinish North Korea kiulaiiiiiiiiiiiiini
Tukio la namna hii linaweza kugharimu serikali ya iran pakubwa sana, lkn matukio ya kibaguzi na kuuana us ndio anaongoza lkn watu huona kawaida sijui kwanini

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom