Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

Ata ukijafanye huoni ila andiko lipo wazi nimeweka
Kinachotakiwa mjibu ilikuwaje Allah akachukua wazo la hijab kutoka kwa Umar akaliweka kwenye koran
Yan Allah achukue mawazo Kwa Umar😭😭😭😭inasikitisha sana
 
Yan Allah achukue mawazo Kwa Umar😭😭😭😭inasikitisha sana
Soma maandiko yenu waislamu
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Hadi hapa umeshajionesha ni jinsi gani usivyo na akili na hujui mambo yalianzia vipi na hijab ilikuwaje ikafikia kuvaliwa. Na hata maana ya hijab huijui vyema.

Siku nyingine kuliko kujidhalilisha hivi ni bora ukauliza ueleweshwe
Umueleweshe ujinga!
 
Soma maandiko yenu waislamu
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Ndivyo walivyo hawa jamaa zetu.
Ukiwawekea maandiko yao wenyewe wanaona mwongo na usiye faa.

Mimi binafsi hadi sasa nimeshindwa kuwaelewa.
 
Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na nywele fupi kutokana na umuhimu wake na sababu zake. Mfano, Mungu amekifunika kichwa cha kila mtu kwa nywele ndefu bila kujali jinsia yake, kabila wala dini yake, Mungu akakifunika kinena cha kila mtu aliyebalehe kwa nywele ndefu tunazoziita mav*zi. Hakuishia hapo akakifunika kidevu na kifua cha mwanaume kwa nywele ndefu pia kwa sababu zake mungu mwenyewe. Hakuishia hapo akaifunika ngozi ya mwili ya watu wote kwa nywele fupi tunazoziita malaika kwa sababu zake pia, akatupa pia nyusi, kope na nyweli puani bila ya kumuomba. Hivyo kila nywele ilikuwa na sababu yake na ilitosha kabisa kuifanya kazi iliyokusudiwa kufunikwa na kukingwa. Hii ni kuonyesha kuwa Mungu anayajuwa mahitaji yetu yooote.

Ni nani ambae hataki kumuona mwanamke ambae asiyefunika nywele zake? Je, ni mwanamke mwenyewe kwa sababu zipi? Je, ni mwanaume kwa sababu zipi na je, ni Mungu aliyetufanya tuzaliwa uchi lakini akatufunika kwa nywele kwa sababu zipi?

Utafiti wangu kwenye hili ni kwamba, sio Mungu anaetaka wanawake wavae Hijab bali ni wanaume tu kwa sababu ya wivu na kujifanya kuwa wao ni dhaifu kwa kutazama tu nywele, matiti, mapaja na vitovu vya wanawake wakasahau kuwa Mungu angetaka asingeshindwa kuwafanya wanawake wazaliwe wakiwa na hijab tayari. Tuache ujinga wa kuwadhulumu wanawake kwa kujificha kwenye kichaka cha dini. Nini sio Hijab wala nywele za mtu.

Ona haya mauaji na maandamano ya kijinga kabisa, eti msichana hakuvaa hijab.

Wakristo mmeruhusiwa kuvaa nusu uchi, Waislamu Mungu wao amehamrisha wanawake wajistili kimavazi, kwahiyo nyie wavaeni nusu uchi yesu kawaruhusu
 
Mtoto anazaliwa na nywele zake Mungu alizeweka kwa maksudi ila
Wasabato wanaabiwa wasizisuke (sijui ndilo lilikuwa kusudi la Mungu?)

Waislamu wamaambiwa wazifunike (na ni kosa linalo weza kupelekea kifo uliziacha wazi ☺☺🤔🤔🤔) sijui ndio kusudi la Allah?
Yesu amewaruhusu mvae nusu uchi, waacheni wenzenu wajistil.

Nyie mmeruhusiwa makanisani muende hata na vichupi
 
Kwahiyo adhabu yake ni mtu kufa. Hivi ni maaswi gani hayo yanazuiwa na Hijab? kwahiyo jamii isiyovaa hijabu ni wazinifu sana na inayovaa hijab sio wazinifu, utafiti huo umeufanyia wapi? Yaani mimi nikishaziona nywele za mwanamke basi najisikia kumzini. Huu ni udhaifu ambao Mungu tunamsingizia kuwapa wanaume. Ni ujinga sawa na ujinga mwingine. Yaani ukiona tu nywele za dada yako, mama yako na shangazi yako basi unajisikia kutaka kumzini?
Wakristo yesu kawaruhusu mvae nusu uchi, vaeni tu ruksa
 
Udhaifu tu wa baadhi ya wanaume wa kiislam, hasa wanaojiita masheikh, wengi wazinzi wanaogopana kugongeana mzigo tu, dini hiyo imejengwa kwa hisia za kimwili zaidi kuliko kiroho
Sawa,nyie yesu kawaruhusu mvae nusu uchi, vaeni, ndiomaana mapadri wanawafffff#irrra maana mnawaonyesha masaburi na vibikini huko kwenye ibbada, tembeeni nusu uchi yesu anaangalia moyo haangalii masaburi yenu
 
Mtu anaweza kuikataa dini (chama) lakini hawezi kumkataa Mungu (nchi), hakuna mtu hata mmoja anaeweza kumkataa mungu hata kwa dakika 5 akabaki kuwa hai. Ukubwa, utukufu na amri za Mungu zinaonekana kwenye kuvuta, punzi, kula chakula, kulala usingizi, kulia kwa maumivu, huzuni, kutoka jasho, kujisikia baridi, kwenda masalani, nk. Kila mtu lazima atii amri hizi za Mungu yeye mwenyewe bila kutuma mtu hata kama angekuwa tajiri namna gani na hakuna mtu atadanganya wala kuzipuuzia shurti hizi za mungu. Je, ni tajiri yupi, mfalme hupi anaweza kukataa kwenda chooni kujisaidia?

Dini hizi my friend ni jitihada za mtu mmoja kwa kutumia ndoto ili kuisaidia jamii yake kufanikisha jambo fulani Ili kuepuka kuulizwa maswali magumu na wenzake wanaomzunguuka akina Abu Jahl, Utba bin Rabi'ah, Walid bin Mughirah, Umayyah ibn Khalaf anakimbilia kwenye ndoto (nilioteshwa ndoto, niliteremshiwana, Jiburiru) na akiendelea kuhoji atajibiwa kwa upanga ikibidi. Hii ni sawa na mtu anaetaka kuhalalisha tozo kwa wananchi wanaohoji uhalali wake kwa kujibu kuwa tozo inajenga madarasa, vituo vya afya, kusambasa maji, umeme vijijini, nk ili watu wakubali umuhimu wao kwao kuwa bila tozo vitu hivyo haviwezi kupatikana, lakini mtu huyo hayuko tayari kueleza pia juu ya matumizi ya fedha zinazokusanywa kwenye vyanzo vingine kama madini, bandari, nk kuwa navyo vinajenga kitu gani, ukimuuliza maswali hayo utapigwa panga la pajini,
Nasikitika sana nilichoandika mimi na unachonijibu ni mbali kabisa. Nilichoandika mimi ni kukujibu hoja yako uliyomuandikia zebri. Ndio nikawa nakukosoa hicho ulichokiandika. Sasa kwa bahati mbaya sana naona unazungumza kitu mbaali kabisa. Ambacho kimsingi naona hakihusiani na nilichokujibu.
 
Wakristo mmeruhusiwa kuvaa nusu uchi, Waislamu Mungu wao amehamrisha wanawake wajistili kimavazi, kwahiyo nyie wavaeni nusu uchi yesu kawaruhusu
Hakuna Aya kwenye Qurani inayoamrisha wanawake wavae Hijabu.
Iweke hapa mimi nitasilimu leo humu humu jamii forum.
 
Sawa,nyie yesu kawaruhusu mvae nusu uchi, vaeni, ndiomaana mapadri wanawafffff#irrra maana mnawaonyesha masaburi na vibikini huko kwenye ibbada, tembeeni nusu uchi yesu anaangalia moyo haangalii masaburi yenu
Wewe nawe uliambiwa Mungu alipo umba kulikuwa na kiwanda cha majinzi? Watu walifunikwa utukufu.(kumaanisha mioyo ilikuwa safi hakuna tamaa za kijinga.) Sasa unakuta mtu kavaa hijabu soksi nyeusi miwani myeusi na gloves ila ukimfuatilia wazee wamesha mla kisamvu huo ni unafiki
 
Kwa mujibu wa uislam mwili wote wa mwanamke ni uchi na hili kila mwanaume rijali hawezi kulipinga, kuna mtu akitizama nywele tu za mwanamke tayari kashasisimka, kuna ambao wakiona mguu tu tayari akili zao zishavurugika. Mungu kwasababu anatujua wanaume tulivyo, akatoa amri wanawake wajistiri.

Na uchi wa mwanaume ni baina ya kitovu na magoti, so mwanaume unatakiwa ufunike maeneo hayo.
 
Wewe nawe uliambiwa Mungu alipo umba kulikuwa na kiwanda cha majinzi? Watu walifunikwa utukufu.(kumaanisha mioyo ilikuwa safi hakuna tamaa za kijinga.) Sasa unakuta mtu kavaa hijabu soksi nyeusi miwani myeusi na gloves ila ukimfuatilia wazee wamesha mla kisamvu huo ni unafiki
Kwanini Adam na hawa baada ya kula tunda na nyuchi zao kudhihirika walikimbilia kujifunika na majani ndani ya bustani ya eden??
 
Kwanini Adam na hawa baada ya kula tunda na nyuchi zao kudhihirika walikimbilia kujifunika na majani ndani ya bustani ya eden??
Utukufu uliondoka. Sasa utukufu hauwepo kwa kujifunika mahijab huku moyoni umejaa takataka. Hao wanao protest wanaishi kwenye nchi yenye sheria za kidini wewe unawazidi nini mtu uliyepokea dini ambayo iliambatana na biashara za utumwa?
 
Wewe unajuaje ya moyoni mwa aliyevaa hijab? Je umepewa funguo ya kuuona uchamungu wa mtu ambao upo moyoni?
 
Sitetei kabisa mauaji ya huyo mwanamama na sheria ya uislam haisemi kuwa mwanamke asipovaa hijab auawe!! Ila ningependa taratibu za dini ziheshimiwe, uislam unamtaka mwanamume (baba,mume,kaka,babu,mjomba) wasimamie wanawake waliochini yao wajistiri miili yao kwa hijab.
 
Back
Top Bottom