Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

Dini ya Uislaam inataka mwanamke afiche nywele zake hiyo ni Amri na sababu zilizotolewa ni kwamba mwili wa mwanamke ni karubia wote ni Uchi kwamba anatamanisha kwa hiyo anatakiwa auhifadhi.
huko ni kuudhoofisha uwezo wa MwenyeziMungu. kama mwili wa mwanamke ungekuwa na chaajabu hivyo basi Mungu asingeruhusu azaliwe bila nguo sawa na mtoto wa kiume. Hiyo sio kweliiii. Tukumbuke kuwa tofauti pekee ya maana kati ya mke na mume ni mfumo wao wa uzazi tu baasi. Na hii sio kwa binadamu tu bali ni kwa viumbe vyote. Lazima tukubaliane kuwa dini zetu na vitabu vyake vyooooote ni kazi ya wanaume pekee. Waliandika kama wanavyotaka iwe kwa faida yao.
 
Ulichoandika hakina maana ni uchafu mtupu!! Haya usivae nguo uone ,Hayo mambo ni katika kuslow down mahaswi kutokana na Tamaa za kibadamu kinaweza kuchochea uzinifu .

Hakuna mahali umelazimishwa ila kama unataka kuifuata uislamu basi tii Sheria hyo kwa mwanamke kwa nn unapenda kufuatilia vitu havikuhusu ,nenda kaangalie masisters wanavaaje kanisani kama hujui hekima ya wao kuvaa ile hijabu ni ishu za kujistiri angalia na mapadre ulishawai kuona wapo padre kavaa kipensi, nenda hata ofisini uvae kipensi uone .
Kwahiyo adhabu yake ni mtu kufa. Hivi ni maaswi gani hayo yanazuiwa na Hijab? kwahiyo jamii isiyovaa hijabu ni wazinifu sana na inayovaa hijab sio wazinifu, utafiti huo umeufanyia wapi? Yaani mimi nikishaziona nywele za mwanamke basi najisikia kumzini. Huu ni udhaifu ambao Mungu tunamsingizia kuwapa wanaume. Ni ujinga sawa na ujinga mwingine. Yaani ukiona tu nywele za dada yako, mama yako na shangazi yako basi unajisikia kutaka kumzini?
 
Unachoongea hujielewi😂😂😂 hayo ni mavazi ya kujistiri wala sio uislamu wala ukristo Mila nyingi bongo watu wanavaa nenda iringa na mbeya wanashina fully magauni mpaka ushungi wa juu
Mbona unakwepa hoja
Kuna kuvaa kawaida na kuvaa hijabu na kuvaa kama kahaba
Sasa kuvaa kawaida ndio kuvaa kama kahaba?
 
huko ni kuudhoofisha uwezo wa MwenyeziMungu. kama mwili wa mwanamke ungekuwa na chaajabu hivyo basi Mungu asingeruhusu azaliwe bila nguo sawa na mtoto wa kiume. Hiyo sio kweliiii. Tukumbuke kuwa tofauti pekee ya maana kati ya mke na mume ni mfumo wao wa uzazi tu baasi. Na hii sio kwa binadamu tu bali ni kwa viumbe vyote. Lazima tukubaliane kuwa dini zetu na vitabu vyake vyooooote ni kazi ya wanaume pekee. Waliandika kama wanavyotaka iwe kwa faida yao.
Huna hata akili yaani we akili zako binadamu na ng'ombe watembee uchi sawa ,sasa wewe mbona unavaa nguo?
 
Unachoongea hujielewi😂😂😂 hayo ni mavazi ya kujistiri wala sio uislamu wala ukristo Mila nyingi bongo watu wanavaa nenda iringa na mbeya wanashina fully magauni mpaka ushungi wa juu
Na mtu asipovaa hijabu maana yake ni kuwa hajaji sitiri, amevaa kama kahaba sio?
 
Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi kwa sababu gani ni utashi wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na nywele fupi kutokana na umuhimu wake na sababu zake. Mfano, Mungu amekifunika kichwa cha kila mtu kwa nywele ndefu bila kujali jinsia yake, kabila wala dini yake, Mungu akakifunika kinena cha kila mtu aliyebalehe kwa nywele ndefu tunazoziita mav*zi. Hakuishia hapo akakifunika kidevu na kifua cha mwanaume kwa nywele ndefu pia kwa sababu zake mungu mwenyewe. Hakuishia hapo akaifumika ngozi ya mwili ya watu wote kwa nywele fupi tunazoziita malaika kwa sababu zake pia. Hivyo kila nywele ilikuwa na sababu yake na ilitosha kabisa kuifanya kazi iliyokusudiwa.

Ni nani ambae hataki kumuona mwanamke ambae asiyefunika nywele zake? Je, ni mwanamke mwenyewe kwa sababu zipi? Je, ni mwanaume kwa sababu zipi na je, ni Mungu aliyetufanya tuzaliwa uchi lakini akatufunika kwa nywele kwa sababu zipi?

Utafiti wangu kwenye hili ni kwamba, sio Mungu anaetaka wanawake wavae Hijab bali ni wanaume tu kwa sababu ya wivu na kujifanya kuwa wao ni dhaifu kwa kutazama tu nywele, matiti, mapaja na vitovu vya wanawake wakasahau kuwa Mungu angetaka asingeshindwa kuwafanya wanawake wazaliwe wakiwa na hijab tayari. Tuache ujinga wa kuwadhulumu wanawake kwa kujificha kwenye kichaka cha dini. Nini sio Hijab wala nywele za mtu.

Ona haya mauaji na maandamano ya kijinga kabisa, eti msichana hakuvaa hijab.

Katika utafiti wako umefikia uamuzi gani kuhusu wanadamu kujifunika miili yao kwa mavazi? Kuna sababu gani ya wazazi wako kuficha tupu zao kwako wakati Mungu hakukuumba na mavazi? Unalionaje hili ewe mtafiti bobezi?
 
huko ni kuudhoofisha uwezo wa MwenyeziMungu. kama mwili wa mwanamke ungekuwa na chaajabu hivyo basi Mungu asingeruhusu azaliwe bila nguo sawa na mtoto wa kiume. Hiyo sio kweliiii. Tukumbuke kuwa tofauti pekee ya maana kati ya mke na mume ni mfumo wao wa uzazi tu baasi. Na hii sio kwa binadamu tu bali ni kwa viumbe vyote. Lazima tukubaliane kuwa dini zetu na vitabu vyake vyooooote ni kazi ya wanaume pekee. Waliandika kama wanavyotaka iwe kwa faida yao.
Haya maswali inafaa yarudi ndani ya nyumba, mwenye shaka awaulize wazazi wake, kwa nini wanafichaficha baadhi ya sehemu za miili yao ilhali Mwenyezi Mungu aliwaumba uchi?
 
Na mtu asipovaa hijabu maana yake ni kuwa hajaji sitiri, amevaa kama kahaba sio?
Umenielewa hijabu ni vazi Linaweza kuvaliwa Kwa namna nyingi tunachotakiwa kujistiri mbona masisters wanavaa kwani huoni.
 
Kuvaa hijabu ni amri ya Mwenyezi Mungu kwa wanawake wote wa Kiislamu. Na hii inawasidia wenyewe wasiudhiwe hasa kutokana na maungo yao kuwa ya kuvutia kwa hivyo wakijisitiri hawapati usumbufu.
Haya mavazi ndio hayo hayo aliyoyavaa Mama yake Issa/Yesu (Yaani Mariamu) na ndivyo wanavyo vyaa masista wa katoliki.

QURAN 33: 59
" Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wanawake waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo kutafanya watambulikane (kuwa ni wenye kujiheshimu) wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."
Hayo sio maneno ya MwenyeziMungu ambae ni Mungu wangu mimi pia., Mwenyezimu hatengenezi nguo wala mavazi na wala hashushi viwanda vya kutengeneza mavazi. Mungu hana kitu kinachoitwa nguo, yeye ana kitu kinaitwa nywele, manyoya, viganja na matawi ya miti, baasi. naomba msimsingizie Mungu. Unazaliwa bila nguo sio kwamba ni kwasababu Mungu anashindwa kukuvisha nguo wakati unazaliwa.
 
Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi kwa sababu gani ni utashi wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na nywele fupi kutokana na umuhimu wake na sababu zake. Mfano, Mungu amekifunika kichwa cha kila mtu kwa nywele ndefu bila kujali jinsia yake, kabila wala dini yake, Mungu akakifunika kinena cha kila mtu aliyebalehe kwa nywele ndefu tunazoziita mav*zi. Hakuishia hapo akakifunika kidevu na kifua cha mwanaume kwa nywele ndefu pia kwa sababu zake mungu mwenyewe. Hakuishia hapo akaifumika ngozi ya mwili ya watu wote kwa nywele fupi tunazoziita malaika kwa sababu zake pia. Hivyo kila nywele ilikuwa na sababu yake na ilitosha kabisa kuifanya kazi iliyokusudiwa.

Ni nani ambae hataki kumuona mwanamke ambae asiyefunika nywele zake? Je, ni mwanamke mwenyewe kwa sababu zipi? Je, ni mwanaume kwa sababu zipi na je, ni Mungu aliyetufanya tuzaliwa uchi lakini akatufunika kwa nywele kwa sababu zipi?

Utafiti wangu kwenye hili ni kwamba, sio Mungu anaetaka wanawake wavae Hijab bali ni wanaume tu kwa sababu ya wivu na kujifanya kuwa wao ni dhaifu kwa kutazama tu nywele, matiti, mapaja na vitovu vya wanawake wakasahau kuwa Mungu angetaka asingeshindwa kuwafanya wanawake wazaliwe wakiwa na hijab tayari. Tuache ujinga wa kuwadhulumu wanawake kwa kujificha kwenye kichaka cha dini. Nini sio Hijab wala nywele za mtu.

Ona haya mauaji na maandamano ya kijinga kabisa, eti msichana hakuvaa hijab.

Ukienda Zenj,waswahili weusi wanajiona ni waarab zaidi kuriko Waarab wenyewe,wanaona kuvaa hijab,ni Swala la kimaadili sana,wakati wanawake wanachepuka bslaa kwenye magesti na wanaingia na hizo hijab,
 
We mtoa mada kama unaamini Mungu ndie ameumba wanaadamu basi lazma ujue kuna sheria zake zinazopatikana katika misingi ya dini. Kasome dini ya uislamu ufahamu vzr na ukristo ufahamu vzr ndio ulete tena mada. Maana hapo umebwabwaja pumba tupu.
 
Ukienda Zenj,waswahili weusi wanajiona ni waarab zaidi kuriko Waarab wenyewe,wanaona kuvaa hijab,ni Swala la kimaadili sana,wakati wanawake wanachepuka bslaa kwenye magesti na wanaingia na hizo hijab,
Sio hivyo tu, hata Rais Mwinyi analalamika sana kuhusu wizi na ubadhilifu wa mali ya umma kule Zanzibar, ripoti ya mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali, CAG anafichua wizi kila siku. Bila shaka wezi wote hawa wamevaa hijab, baibui, kanzu na balaghashia na wanaswali.
 
Umenielewa hijabu ni vazi Linaweza kuvaliwa Kwa namna nyingi tunachotakiwa kujistiri mbona masisters wanavaa kwani huoni.
Ndio hijabu ni vazi, swali ni mwanamke kutokuvaa hijabu kuna tatizo?
Hao masista wanavaa kama alama tu, haimaanishi kutokuvaa sio kutojisitiri maana waumini Wakatoliki hawalazimishwi kuvaa hivyo
 
😂😂😂Kichwa cha mwanamke kinaweza kuswekwa nakshi nakshi na kuleta fitina katika matamanio si unaona leo ishu za wigi na Rasta hayo mambo unachanganya ila binafsi mwanamke akivaa hijabu namuona mzuri kuliko aliyevaa wigi sijui Rasta
 
Kwa hiyo kumbe hijab inamfanya mwanaume amtamani mwanamke kuliko hata ambavyo angevaa rasta?
 
Ila kwa makanisa yote ya kikristo nilazima ukienda kanisani unajisitiri kuanzia kichwani hadi chini kanisani ni mahali patakatifu
 
Kwa sasa Marekani amewekeza nguvu kubwa kwenye kuhamasisha Americanization! Ndani ya hiyo Americanization policy utakutana na kila aina ya ujinga! Ushoga, kuhamasisha civil wars kwenye nchi asizo fungamana nazo, au zile zenye malighafi adimu! Kuhamasisha ugaidi, mmomonyoko wa maadili kupitia mavazi, nk.

Ikumbukwe chokochoko za machafuko kote duniani, chanzo kikuu ni Marekani and Co. Ltd.
 
Dini ya Uislaam inataka mwanamke afiche nywele zake hiyo ni Amri na sababu zilizotolewa ni kwamba mwili wa mwanamke ni karubia wote ni Uchi kwamba anatamanisha kwa hiyo anatakiwa auhifadhi.
Udhaifu tu wa baadhi ya wanaume wa kiislam, hasa wanaojiita masheikh, wengi wazinzi wanaogopana kugongeana mzigo tu, dini hiyo imejengwa kwa hisia za kimwili zaidi kuliko kiroho
 
Hijab ilibuniwa na Umar na Muhammad aka copy kutoka kwake , ilikuwa wake zake muhammad wanavaa ovyo wale gang member wa muhammad wakawa wakiingia wanawatamani , Umar ndio akaja na idea ya Hijab

Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Back
Top Bottom