Kuvaa saa enzi hizi za dijitali ni mbwembwe au usharobaro?

Je simu ikiisha chaji utaangalia nn?? Binasi napenda saa na sivai kama urembo naivaa kwasababu nktu muhimu kuwa nacho kwan kilautendalo linategemea muda iliuweze kulitenda kwa wakati lazima ujue majira.
 
Kwahiyo jamaa hapa chini tulitarajia atoe simu yake achek muda?

111030_barack_obama_605_ap.jpg
 
View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.

Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili – ni pambo la kike.

Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.

:israel:

acha ushamba.saa na simu ni tofauti
 
Ndugu yangu muanzisha mada.... Ni bora ungeuliza ili uone watu watashauri vipi kuliko kuanza na critical minds zako.... Umechemka sana na every body had proved that... You are not a genleman..

Next time anzisha uzi kwa kuuliza na sio ku critisize.....hii itakusaidia sana kuimprove...kuliko kuanzisha uzi.. Ukaishiwa kuumbuliwa ndio ujifunze.

Saa ina nafasi yake kubwa sana kutambulisha aina ya utu wako..acha mawazo potofu. Na ndio maana mpaka leo bei ya saa (za ukweli) ni kubwa kuliko bei ya simu yoyote unayoijua wewe na thamani ya saa haina hata dalili ya kushuka.

Binafsi sioni hatari hata nikinunua saa kwa milioni kumi.

Kweli kaka, kuna saa aina ya Rolex inauzwa mitaa ya karibu na nnapoishi (ughaibuni) ni Million 2.8, hiyo pesa ukiivunja vunja ukaiweka kwenye pesa yetu ya madafu ni Million 40 na ushee. Sasa sijui kama kuna simu Nyumbani kwetu inayoweza kufika gharama hii wajuaji wa mambo wanaweza kutuambia.
 
Mtoa mada bado haujaelewa mambo mengi yaliyojificha kwenye saa. Can you imagine unafanya presentation kwenye ofisi za watu na unafukuzia kazi alafu unatoa simu kuangalia saa?. Saa huonesha personality na smartness ya mtu. Vilevile kama ulikuwa hujui kuanzia leo jua kuwa saa za kike na za kiume ni tofauti. Usijekumpa demu wako saa yako unless kama unavaa saa za kike.
 
View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.

Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili – ni pambo la kike.

Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.

:israel:

We jamaa utakuwa umeathiriwa na mawazo ya kijijini. Nyie ndo mnavaa suruali bila mkanda, viatu bila soksi sababu unachukulia kila kitu for granted yaani kirahisirahisi tu.
 
View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.

Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili – ni pambo la kike.

Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.

:israel:

Nyie ndo mnachomekea suruali bila mkanda, viatu bila soksi kwa sabau hujui kazi za ziada za vitu hiyo. Hujui advantage na disadvantage za digital vs analogue ila umekaririshwa toka kijijini kwenu.
 
mkuu hujanielewa bado. nimetumia neno dijitali kusisitiza usasa...naona umeninukuu vibaya.

Hahaha Tpaul,umelianzisha mwenyewe mkuu,watu wanaponda ile mbaya.
Ukiona hivyo ujue wote wanavaa saa.
Nimependa kwamba umekuwa mvumilivu hujibu maneno makali unayopewa,ndio uungwana.
Maana wengine umetuudhi kweli,lakini kila anaeleta mada ikapondwa basi na wale wanaopondwa ipo siku walileta mada na yenyewe ikapondwa vilie vile.
Kwahiyo ni seheme ya burudani ya JF
What goes around comes perpendicular
 
mleta mada kuvaa ni hobby wapo watu ambao ni machizi saa tena mmoja wapo mimi napenda sana saa....kila mtu anapendelea kitu fulani wengine neckles wengine braslet...labbda wewe unapendelea nn
 
Uh! Nimefuatilia hii thread tangu majuzi kweli mtoa mada unastahili pole, hopeful umejifunza kwa ajili ya wakati ujao
 
View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.

Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili – ni pambo la kike.

Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.

:israel:

Hivi kwa nini wanawake wanavaa bangili, chain, heleni, n.k.? Mi nadhani saa ina two-fold meanings behind it, apart from being a time-watcher.
 
Back
Top Bottom