Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mleta mada kuvaa ni hobby wapo watu ambao ni machizi saa tena mmoja wapo mimi napenda sana saa....kila mtu anapendelea kitu fulani wengine neckles wengine braslet...labbda wewe unapendelea nn
Tangu mobile technology isambae ktk nchi za ulimwengu wa tatu.matumizi ya saa yamebadirika, na kwamba soko lake limepotea kama sio kwisha.kilichobakia ni kununua kwa sababu ya choices na sio basic kama ilivyokuwa hapo mwanzo.
Barua za mkononi kuna watu wanatumia, na huwaambii kitu!ingawa bado njia mbadala ya kufikisha taarifa kwa urahisi zipo.
Asante sana mkuu KIKOSIKAZI, wewe ndiye umeelewa hii mada kwa 101%, wengine wote, hasa wale wanaotukana, wako nje ya uelewa wa hoja. Hope kila mchangiaji angesoma hii comment yako angenielewa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Wachangiaji mmeona eeh?
Ndugu yangu muanzisha mada.... Ni bora ungeuliza ili uone watu watashauri vipi kuliko kuanza na critical minds zako.... Umechemka sana na every body had proved that... You are not a genleman..
Next time anzisha uzi kwa kuuliza na sio ku critisize.....hii itakusaidia sana kuimprove...kuliko kuanzisha uzi.. Ukaishiwa kuumbuliwa ndio ujifunze.
Saa ina nafasi yake kubwa sana kutambulisha aina ya utu wako..acha mawazo potofu. Na ndio maana mpaka leo bei ya saa (za ukweli) ni kubwa kuliko bei ya simu yoyote unayoijua wewe na thamani ya saa haina hata dalili ya kushuka.
Binafsi sioni hatari hata nikinunua saa kwa milioni kumi.
View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.
Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili ni pambo la kike.
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.
:israel:

kaka saa its more of addiction kwa baadhi ya watu. People pay up to millions of $ kwa ajili ya saa tu, afu we unasema bangili.
Saa ni chombo kupima muda.ukweli kabisa umuhimu wa saa ya mkononi unepungua kwa walio wengi baada kuwepo kwa substute yaani chombo cha kubeba mkononi lakini chenye saa.vinginevyo labda kama unavaa kwa malengo mengine tofauti na mahitaji ya muda mf. Urembo, prestige, n.k.mimi binafsi sivai saa kwa vile mahitaji ya muda nayapata kwenye simu.ki ukweli quantity ya wavaa saa imepungua !mie sioni sababu ya kumshambulia huyo jamaa.simu haya zile za bei ya chini zina saa.watu wanakwepa ukweli kwa kutetea kipendacho roho.